Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

Bora betting ila sio kuwa bodaboda kuhangaikia buku ambayo itakuletea ukilema dakika 1 yaani ukatwe miguu kisa buku akili Gani hii
Hivi wale walioporomokewa na jengo pale kariakoo walikuwa ni bodaboda?

Unaweza usiwe bodaboda ila ipo siku utakatwa miguu na utarudi mavumbini.

Acha kubeza kazi za wengine.
 
Hivi wale walioporomokewa na jengo pale kariakoo walikuwa ni bodaboda?

Unaweza usiwe bodaboda ila ipo siku utakatwa miguu na utarudi mavumbini.

Acha kubeza kazi za wengine.
Wale hawakujua kama watapolomokewa na majengo hayo ila bodaboda unajua kabisa pikipiki ikianguka body mwili wangu halafu unaendelea kukomaa kisa uvivu wa kulima
 
Samahani mkuu wewe ni she au He? Ila huyu anaetukana bado boda kwamba sio kazi ni mjinga labda kushabikia Timu ya Arsanal pia kumechangia ujinga wake.
 
Siku zote mwenye shibe humdharau mwenye njaa

Kikubwa haibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…