Endasak Masqaroda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,728
- 3,958
NIliwahi piga kenge moja keleb ya kufa mtu akataka kunivuta sehemu za siri. Nilikamata kichwa nikapiga kwenye frame ya mlango, I was mad kwa kweli. Akaona huyu jamaa ataniuwa, akaita dadake tuliyekuwa tunaishi naye ndani....dadaaa njoo ananiuwa. Nikazuia dada mtu kuingia chumbani.Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo
I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
Hakuna kuowana. Hapo ndipo shida inapoanzia. Kuna kuoa na kuolewa. Ishi humo.Sababu za Kuowana zipitiwe upya
Ndo wapenzi wenu wapya walivyo ?Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo
I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
min -me ametuwakilisha vzr wazee wa " Kingston ",hatupendi stress.Big Thank you, kwa hakika unajitambua sana, i send you my 😘😘😘
😂😂😂🙌min -me ametuwakilisha vzr wazee wa " Kingston ",hatupendi stress.
Nitumie na mimi huto tumaua basi Dr. Mariposa
Yeah,maana mwishowe mngeuana mkuuNIliwahi piga kenge moja keleb ya kufa mtu akataka kunivuta sehemu za siri. Nilikamata kichwa nikapiga kwenye frame ya mlango, I was mad kwa kweli. Akaona huyu jamaa ataniuwa, akaita dadake tuliyekuwa tunaishi naye ndani....dadaaa njoo ananiuwa. Nikazuia dada mtu kuingia chumbani.
Akatoka yeye akafata kisu. Dadake akamzuia asiingie chumbani na kisu.
It was her second time she holds a knife against me.
Hali ilivyotengemaa nikamdump for ever!
Katika pitapita zangu nilishakuwa na ngoma design hiyo halafu ni cha P.....Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo
I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
Kelele zinaumiza kichwa,hata wanapoongea watu wawili watatu kwa pamoja ni ngumu sana kukaa hapoUnaweza mchemsha mzima mzima
Si ndio🤣🤣😂😂😂Ashike adabu yake
Check wapuuzi wa kike walivyokusapoti kwenye huu utumbo wako...haikatazwi mwanamke kueleza hisia cha msingi heshima izingatiwe.Binafsi kwangu hakuna shida , kwa sababu nikioa nitakua nimeoa mtu ambae anakua huru kutoa hisia zake na sio kuishi na mimi kinafki/ mtumwa.
Hivi huku mnaingia mkiwa mmekula kweli? , hapo nimendika binafsi na hao wanawake walio ni sapoti wamefanya hivyo kwa maamuzi yao na simu zao mwenyewe , sasa wewe kinachokuwasha kitu gani?Check wapuuzi wa kike walivyokusapoti kwenye huu utumbo wako...haikatazwi mwanamke kueleza hisia cha msingi heshima izingatiwe.
Hahahahah unaona I'd unafikiria ni mtu mwenye akili unakuja gundua ni kiazi tuSiyo utumbo,ni maoni yake mkuu