Kwa huyu ukimkaza vizuri ndio kabisaa anasema unamchosha yeye sio pundaEndelea kumsoma ili kuweza kumfahamu vizuri
Huyo anaonekana ana hasira za karibu
Kama una mpa hela bado ana hasira, basi jitahidi kumkaza vizuri, huenda hafiki kibo hivyo kumfanya kuwa na vihasira vya hapa na pale
sana tu, sasa uyo anataka waangaliane kama miti msituni, duh..... ata akimlenga na mto anaweza tolewa ngeu na glass πila utani upo mnooo kwa watu wanao pendana, sasa huyo wa kwako sijui atakua na shida gani
Bado hujazijua code zake. Nenda nae mdogo mdogo utamtulizaWakuu,
Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!
Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.
Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
πππ inategemeana jamni na mood ya mtu,, sasa unikute nawaza vikoba alf uanze kunilenga na mto.... nitakurukia kama chuiπππsana tu, sasa uyo anataka waangaliane kama miti msituni, duh..... ata akimlenga na mto anaweza tolewa ngeu na glass π
Hahaha......pole mkuu, tafuta nafasi ukae naye umweleze nini unapenda na nini hupendi kutoka kwake, kuishi na mtu mliyekutana ukubwani kuna hitaji utashiKwa huyu ukimkaza vizuri ndio kabisaa anasema unamchosha yeye sio punda
apo uwakika, lazima niangalie upo kwenye mood gani, then nichukue plan B if.......πππ inategemeana jamni na mood ya mtu,, sasa unikute nawaza vikoba alf uanze kunilenga na mto.... nitakurukia kama chuiπππ
hahahaaaa! hao hayo mambo kwao si kipaumbele, job onπWeee kacheke na kutaniana na wengine nyumbani sura mbuzi.
Hujawahi kuona mke na mume wapo kwenye gari lkn ni km polisi na jambazi fuuuul minuno.
sijui ni kuoa ghafla, duh !Sahihi kabisa mkuu yani siku umpige na mto eti michezo ya kitandani hapo watafuta ugomvi usioisha ndani
Au ana mimba?Anafoka kweli na anaweza kukasirika hadi analia kwa kitu kidogo mpaka unashangaa hiki tu ndio kikukasirishe!
Mfano kuna weekend tulitoka out, tukiwa beach nikamtoroka nikaenda sehemu hanioni akapiga simu uko wapi nikamtania nimetoka ukimaliza utanikuta sehemu fulani alooh uo msala haukuwa wa nchi hii alipanic Ile serious hadi usafiri aligoma kupanda na alipuyanga kivyake na tulipokutana homu anafoka hatari eti kwanini nimemdanganya
vikoba na wewe hata hamuendani πππππ inategemeana jamni na mood ya mtu,, sasa unikute nawaza vikoba alf uanze kunilenga na mto.... nitakurukia kama chuiπππ
Nikabidhi mimi ili uondokane na huo usumbufu.Wakuu,
Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!
Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.
Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
Haya ni maajabu.Duh! Kwahiyo mkuu ukihitaji tendo unarukia tu au unabaka
sana tu, sasa uyo anataka waangaliane kama miti msituni, duh..... ata akimlenga na mto anaweza tolewa ngeu na glass π
Kwahiyo umeamuaje?Hana angekuwa nayo ni bora maana ningechukulia ni mimba