Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

Haombi ombi pesa mara nyingi namuunga vifurushi tuchati

Nimewahi kuhusiana ila hayakuwa serious naweza kusema nilikuwa nachapa malaya huyu tunafahamiana na ni wanyumbani kabisa wazazi wake na wangu wanafahamiana nilitaka ikiwezekana nimuweke ndani
 
Basi mchunguze Kuna mwanaume anaye mpenda zaidi Yako mwanamke akimpenda mtu hawezi kumuwekea standard
 
atakua masai
 
Amesha kujua wewe ni ziribwike kwaiyo anakuseti tu anavotaka acha kujikombakomba mpe pigo moja takatifu mpaka aamue asepe au abaki
Ziribwike ni nini🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…