Ninaishi na mke wangu na kwasasa ndoa yetu ina miaka 3 lakini moja ya changamoto ya ndoa yetu ni tabia ya mke wangu.
Uyu mwananke ana asira kibaya ni kuwa yeye hajuagi kabisa kudhiti asira yake na mara zote akiwa ana asira ninayeteseka ni mimi.
Maana anaweza kuokota chochote na kunirushia au kunipiga sehemu yeyote kwenye mwili wangu na mara nyingine ana nisukuma kabisa au kunitukana maneno yeyote bila kuangalia athari yake kisaikolojia
Mwanzo mwanzo nilichukulia ni mimba kwasababu alikuwa mjamzito but baada ya kujifungua tabia yake hiyo inaendelea kabisa anaweza akawa ameniumiza kabisa lakini atajinunisha mpaka tena mimi ambaye nilikosewa niende kumuomba msamaha au mimi niwe wa kwanza kumsemesha.
Sasa siku hizi father alikuja kuniangalia maana naumwa mafua na mwili wote unauma sana
Akaniomba niende kutupa uchafu maana ulikuwa umeshajaa nikamwambia No mke wangu kwasasa sijisikii sawa kabisa labda jioni akaninunia hapo hapo mbele ya mzazi wangu nakunionyesha dharau moja ya hatari japo kuwa baba alimshauria hakujibu chochote na alijifanya hamsikii kabisa kitu icho kwangu nimeona hii imekuwa too much.
Japo kuwa ni mwanamke mzuri akiwa hana asira lakini nimeanza sasa kuona kama mtu ana uwezo wakunionyesha dharau mbele ya baba yangu ana shindwa nini kuniua uyu.