RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Kioa mwanamme anahaki ya kuoa zaidi ya mke mmoja comrade kama yakobo,Musa alioa Kwa yethro na baadae mkushi,ibrahim,king Solomon n.k!Sio uchepukagi Yani huyo alikua anakuona bwege wake tu.
Je ungekua wa dini ya upande mwingine ambaye unaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja angekufanyia matukio hayo??
Ndoa ya mke mmoja ni Sheria ya kiuchumi ya mapinduzi ya viwanda ya mwaka 1800,ilikua ni rahisinsana kuisafirisha nuclear family toka kiwanda kimoja Hadi kingine kupunguza gharama ya usafiri yaani (mume,mke na watoto wawili)kuliko extended family!baadae kanisa katoliki ikaona inafaa hiyo wakaiweka kwenye mfumo Hadi Leo!!
Hata yesu,Paulo mtume walikuta mitara ndio maana Paulo anasisitiza"mashemasi,maaskofu wawe mume wa mke mmoja akishuhudiwa kutenda mema,basi kama wanapaswa wawe waume wa mke mmoja that means kulikua na Mitara kanisani isiyoruhusu wenye mitara kuwa maaskofu wala mashemasi!!
Mungu hawezi mhukumu mwanamme alieoa zaidi ya mke mmoja!!
Acheni kufinyangwa!!