Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hii itakuwa kweli, kama kuna njia ya uzazi wa mpango anatumia ni bora aache mara moja! Atumie njia za asili..tatizo la homoni aende hospital

Hapana,sio sawa kusema kuomba msamaha ni weakness,bali kuomba msamaha ni kuonyesha upo strong enough kukubali umekosea,na kukosea ni kawaida kwa mwanadamuKosa la kwanza ambalo ni kubwa zaidi na limeongeza dharau dhidi yako ni kwa wewe kumuomba msamaha,
Wanaume hua hatumuombi msamaha Mwanamke hata kama wewe ndio umemkosea,it's a sign of weakness.
Nafurahi kukubali kwamba umekosea, baada ya kujua hilo,sasa chukua hatua,haitakuwa rahisi kwa siku moja ila kuwa na subira wakati unamrekebishaUnachokisema ni ukweli tabia hizi nilianza kuziona mwanzo mwanzo kipindi cha ujauzito wake
Nilikuwa nashindwa kumfokea au kumuonyesha reaction yeyote yaukali
Kwasababu moja ya silaha kubwa ambayo alikuwa anatumia kipindi iki ni machozi yake kibaya tabia hii ilikuwa mpaka sasa leo nakula matunda ya ubwege wangu 😪
Pole sana aseee, 😢 mimi siwezi ningeshamuacha kama ndio tabia yake tangu tunajuanaNinaishi na mke wangu na kwasasa ndoa yetu ina miaka 3 lakini moja ya changamoto ya ndoa yetu ni tabia ya mke wangu.
Uyu mwananke ana asira kibaya ni kuwa yeye hajuagi kabisa kudhiti asira yake na mara zote akiwa ana asira ninayeteseka ni mimi.
Maana anaweza kuokota chochote na kunirushia au kunipiga sehemu yeyote kwenye mwili wangu na mara nyingine ana nisukuma kabisa au kunitukana maneno yeyote bila kuangalia athari yake kisaikolojia
Mwanzo mwanzo nilichukulia ni mimba kwasababu alikuwa mjamzito but baada ya kujifungua tabia yake hiyo inaendelea kabisa anaweza akawa ameniumiza kabisa lakini atajinunisha mpaka tena mimi ambaye nilikosewa niende kumuomba msamaha au mimi niwe wa kwanza kumsemesha.
Sasa siku hizi father alikuja kuniangalia maana naumwa mafua na mwili wote unauma sana
Akaniomba niende kutupa uchafu maana ulikuwa umeshajaa nikamwambia No mke wangu kwasasa sijisikii sawa kabisa labda jioni akaninunia hapo hapo mbele ya mzazi wangu nakunionyesha dharau moja ya hatari japo kuwa baba alimshauria hakujibu chochote na alijifanya hamsikii kabisa kitu icho kwangu nimeona hii imekuwa too much.
Japo kuwa ni mwanamke mzuri akiwa hana asira lakini nimeanza sasa kuona kama mtu ana uwezo wakunionyesha dharau mbele ya baba yangu ana shindwa nini kuniua uyu.
Naongezea tena Piga chiniiii sheitwan hilooooUnajitahidi sana kuvunja ndoa za watu jmn sasa ataacha wangapi? Hakuna malaika uko nje kila mtu ana magumu yake! Ni afadhali huyo shetani anaemjua! Ohooo..
Mkuu bado hujawajua wanawake vizuri,wazee tunawajua vizuri sana,ipo siku utaukumbuka huo ushauri wangu.Hapana,sio sawa kusema kuomba msamaha ni weakness,bali kuomba msamaha ni kuonyesha upo strong enough kukubali umekosea,na kukosea ni kawaida kwa mwanadamu
Ishu inakuja unaomba msamaha kwa lipi?
Tusikariri matukio,kuna mambo hupaswi kuomba msamaha na matukio mengine unaomba msamaha,kwani nikiomba msamaha inabadilisha uanaume wanguMkuu bado hujawajua wanawake vizuri,wazee tunawajua vizuri sana,ipo siku utaukumbuka huo ushauri wangu.
Sawa endelea kuwajali na kuomba misamaha.Tusikariri matukio,kuna mambo hupaswi kuomba msamaha na matukio mengine unaomba msamaha,kwani nikiomba msamaha inabadilisha uanaume wangu
Mfano ulikuwa utoke na familia yako out na wanajua hilo,mara paap umepata emergency ya ghafla,je hapo kutoomba msamaha na kuomba kipi kinaboresha hapo?
Mjue wanawake nao ni viumbe wanahitaji kuonyesha unajali pia
ushauri:EPUKA KUOMBA OMBA MSAMAHA kwa mkeo!Tusikariri matukio,kuna mambo hupaswi kuomba msamaha na matukio mengine unaomba msamaha,kwani nikiomba msamaha inabadilisha uanaume wangu
Mfano ulikuwa utoke na familia yako out na wanajua hilo,mara paap umepata emergency ya ghafla,je hapo kutoomba msamaha na kuomba kipi kinaboresha hapo?
Mjue wanawake nao ni viumbe wanahitaji kuonyesha unajali pia
wanawake wa sisi ni broiler Kofi Moja unauaKuwa mwanamme halisi sio mvulana!, siku moja mshushie kipigo heavy mpaka aombe poo ili kurudisha heshima.
Pole wanasema chagua mfungwa mnayeelewana ili maisha ya gerezani yawe na amani.Iwapo ulioa jambazi,kubali kuishi maisha ya kijambazi kwa afya ya familia.Ila unyonge si poa sana.Mara moja moja anzisha varangati ili heshima iwepo.Ninaishi na mke wangu na kwasasa ndoa yetu ina miaka 3 lakini moja ya changamoto ya ndoa yetu ni tabia ya mke wangu.
Uyu mwananke ana asira kibaya ni kuwa yeye hajuagi kabisa kudhiti asira yake na mara zote akiwa ana asira ninayeteseka ni mimi.
Maana anaweza kuokota chochote na kunirushia au kunipiga sehemu yeyote kwenye mwili wangu na mara nyingine ana nisukuma kabisa au kunitukana maneno yeyote bila kuangalia athari yake kisaikolojia
Mwanzo mwanzo nilichukulia ni mimba kwasababu alikuwa mjamzito but baada ya kujifungua tabia yake hiyo inaendelea kabisa anaweza akawa ameniumiza kabisa lakini atajinunisha mpaka tena mimi ambaye nilikosewa niende kumuomba msamaha au mimi niwe wa kwanza kumsemesha.
Sasa siku hizi father alikuja kuniangalia maana naumwa mafua na mwili wote unauma sana
Akaniomba niende kutupa uchafu maana ulikuwa umeshajaa nikamwambia No mke wangu kwasasa sijisikii sawa kabisa labda jioni akaninunia hapo hapo mbele ya mzazi wangu nakunionyesha dharau moja ya hatari japo kuwa baba alimshauria hakujibu chochote na alijifanya hamsikii kabisa kitu icho kwangu nimeona hii imekuwa too much.
Japo kuwa ni mwanamke mzuri akiwa hana asira lakini nimeanza sasa kuona kama mtu ana uwezo wakunionyesha dharau mbele ya baba yangu ana shindwa nini kuniua uyu.
hapo kubali tu kishakuwa kilema chake vumilia tu kwa maslahi mapana ya watoto.wanawake wa sisi ni broiler Kofi Moja unaua
achana na kupiga
Kataa ndoa kwa ajili ya afya yako ya AkiliNinaishi na mke wangu na kwasasa ndoa yetu ina miaka 3 lakini moja ya changamoto ya ndoa yetu ni tabia ya mke wangu.
Uyu mwananke ana asira kibaya ni kuwa yeye hajuagi kabisa kudhiti asira yake na mara zote akiwa ana asira ninayeteseka ni mimi.
Maana anaweza kuokota chochote na kunirushia au kunipiga sehemu yeyote kwenye mwili wangu na mara nyingine ana nisukuma kabisa au kunitukana maneno yeyote bila kuangalia athari yake kisaikolojia
Mwanzo mwanzo nilichukulia ni mimba kwasababu alikuwa mjamzito but baada ya kujifungua tabia yake hiyo inaendelea kabisa anaweza akawa ameniumiza kabisa lakini atajinunisha mpaka tena mimi ambaye nilikosewa niende kumuomba msamaha au mimi niwe wa kwanza kumsemesha.
Sasa siku hizi father alikuja kuniangalia maana naumwa mafua na mwili wote unauma sana
Akaniomba niende kutupa uchafu maana ulikuwa umeshajaa nikamwambia No mke wangu kwasasa sijisikii sawa kabisa labda jioni akaninunia hapo hapo mbele ya mzazi wangu nakunionyesha dharau moja ya hatari japo kuwa baba alimshauria hakujibu chochote na alijifanya hamsikii kabisa kitu icho kwangu nimeona hii imekuwa too much.
Japo kuwa ni mwanamke mzuri akiwa hana asira lakini nimeanza sasa kuona kama mtu ana uwezo wakunionyesha dharau mbele ya baba yangu ana shindwa nini kuniua uyu.
😄 🤣
Asante Kwa ushauri mzuri uliompa!Yan naingia jf uzi wa kwanza kusoma ni wa mwanamke mwenye hasira dah!
Bro unashida kubwa sana,inaonekana tayar mke wako ameshakumudu au kwa lugha nyingine wewe ni dhaifu kwake,ndio maana anakupiga na vitu na kisha wewe ndio wa kwenda kuomba msamaha,anajinunisha makusudi halafu wewe ndio wa kwanza kusalimu amri.
Wewe ndio umeikuza hiyo tabia,hakuna mwanamke ambaye huanza vijitabia vya hovyo kwa ghafla,vilianza ukavichukulia poa naye akaanza kukusoma udhaifu wako mdogo mdogo mpaka now amekuwa juu yako mazima
Now anakuletea dharau mpaka kwa baba yako sasa, pole sana
Mwanamke kiasili anataka kuambiwa what to do and what not to do,,sasa hasikii kutoka kwako,haoni tofauti yake na yako yani wote ni kama jinsia moja,samahoni kukwambia haya,so anaboreka ni kama yeye ndio mtoa maamuzi kitu ambacho sio hulka yake kabisa
Ebu chukua nafasi yako kama mume sasa,amekosea yeye usiombe msamaha Kaza,kwanza atashangaa huyu amekuaje,hapo ni hatua ya mwanzo kujua umebadilika
Ongea kwa upole lakini kimamlaka,ebu kuwa baba wa familia sasa