- Thread starter
- #21
Unachokisema ni ukweli tabia hizi nilianza kuziona mwanzo mwanzo kipindi cha ujauzito wakeYan naingia jf uzi wa kwanza kusoma ni wa mwanamke mwenye hasira dah!
Bro unashida kubwa sana,inaonekana tayar mke wako ameshakumudu au kwa lugha nyingine wewe ni dhaifu kwake,ndio maana anakupiga na vitu na kisha wewe ndio wa kwenda kuomba msamaha,anajinunisha makusudi halafu wewe ndio wa kwanza kusalimu amri.
Wewe ndio umeikuza hiyo tabia,hakuna mwanamke ambaye huanza vijitabia vya hovyo kwa ghafla,vilianza ukavichukulia poa naye akaanza kukusoma udhaifu wako mdogo mdogo mpaka now amekuwa juu yako mazima
Now anakuletea dharau mpaka kwa baba yako sasa, pole sana
Mwanamke kiasili anataka kuambiwa what to do and what not to do,,sasa hasikii kutoka kwako,haoni tofauti yake na yako yani wote ni kama jinsia moja,samahoni kukwambia haya,so anaboreka ni kama yeye ndio mtoa maamuzi kitu ambacho sio hulka yake kabisa
Ebu chukua nafasi yako kama mume sasa,amekosea yeye usiombe msamaha Kaza,kwanza atashangaa huyu amekuaje,hapo ni hatua ya mwanzo kujua umebadilika
Ongea kwa upole lakini kimamlaka,ebu kuwa baba wa familia sasa
Nilikuwa nashindwa kumfokea au kumuonyesha reaction yeyote yaukali
Kwasababu moja ya silaha kubwa ambayo alikuwa anatumia kipindi iki ni machozi yake kibaya tabia hii ilikuwa mpaka sasa leo nakula matunda ya ubwege wangu 😪