Unawezaje kuishi na mwanamke wa namna hii?

Unachokisema ni ukweli tabia hizi nilianza kuziona mwanzo mwanzo kipindi cha ujauzito wake
Nilikuwa nashindwa kumfokea au kumuonyesha reaction yeyote yaukali
Kwasababu moja ya silaha kubwa ambayo alikuwa anatumia kipindi iki ni machozi yake kibaya tabia hii ilikuwa mpaka sasa leo nakula matunda ya ubwege wangu 😪
 
Mkuu kwani hamjapitia uchumba ili kumjua tabia zake akiwa amekasirika anakuaje? Na kingine ilitaKiwa Mwanamke akuogope na kukuheshimu yani akitaka kufanya jambo lolote awaze Mume wangu atachukua actually gani
 
Mke wako kwenye series ya madem wako yeye ni wa ngapi?

Ni tabia alikua nayo toka mlipojuana au imeanza siku za karibuni?

Tafuta demu wa kupunguzia machungu, Mkikosana tena usiombe msamaha jifunze kushikilia bomba & Acha kujifanya muelewa sana wa wanawake.
 
Inas
Mrudishe home kwanza halafu waeleze wazazi wake kuhusu hiyo tabia usiiendekeze hawachelewi kummwagia mwanaume mafuta ya moto sehemu za Siri
inasikitisha sanaaa kumbe uliwahi pitia mikasa kama hii na hujatuambia mwanetu😳😳😳
 
Kwa akili hz hata tukikushauri hautotuskiliza we fanya kupambana na mkeo mpk aje akupge tukio katili akutoe hata jicho moja ksha ndugu zako waje wakuokoe ukiwa mahututi hapo ndpo utaachana na uyo mjinga mwenzio..
 
Nilkuwa na mwanamke wa aina hii ila sababu kubwa iliyokuwa inamsababisha kuwa na hasira hzo ni uchepukaji wangu

Ila kwasasa nmemmiss sana nataman kumrudisha maana alikuwa mwanamke hasa anaejua kutunza familia na kumhudumia mume ingawaje wazaz walikuwa hawamwelew

Matukio ambayo aliwah kunifanyia
-alishawah kujitundika kisa namsaliti,hii tukio lilifanya wazaz wasimpende tena
-nilkuwa nikirud usiku sana lazima anikarishe nje kama dk 30
-aliwah nimwagia mkojo wa mtoto
-aliwah nitupia subwoofer
Na mengine mengi tu ya ajabu ajabu hata hvyo nilkuwa namwambia ana bahat kuolewa na mwanaume mpole kama mim
 
Unajitahidi sana kuvunja ndoa za watu jmn sasa ataacha wangapi? Hakuna malaika uko nje kila mtu ana magumu yake! Ni afadhali huyo shetani anaemjua! Ohooo..
Hii kauli inafanya watu wengi wawndelee kuteseka kwenye ndoa zao
 
Na ninashangaa hata sasa hajakuuaga tu we kchwa maji nadhan ww kwa haraka haraka naamin nduguzo wameshakushauri sn khs uyo mkeo ila hujawaelewa sa sisi ndo tutaweza fala ww.
 
Kenge hasikii mpaka atoke damu. Zidisha ujinga wako kwa mkeo atabadilika na hasira zitaisha mkuu.
 
Kwaio jambo kidogo unamkimbia mwenza
Kesi kama hii sio jambo dogo tuneona matokeo ya kauli hii vumilia huko nje hakuna alie kamilika. Kuna tabia hazivumiliki kadri unavyo vumilia ndio unavyozidi kuteseka. Achana nae huenda ukapata mwingine asiwe msumbufu
 
Kesi kama hii sio jambo dogo tuneona matokeo ya kauli hii vumilia huko nje hakuna alie kamilika. Kuna tabia hazivumiliki kadri unavyo vumilia ndio unavyozidi kuteseka. Achana nae huenda ukapata mwingine asiwe msumbufu
Duhh! Huenda? Yeye ajiandae tu kubadilisha kupata mkamilifu ndio a bet ni probability tu
 
tatizo la homoni aende hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…