Unawezaje kuishi na mwanamke wa namna hii?

Kosa la kwanza ambalo ni kubwa zaidi na limeongeza dharau dhidi yako ni kwa wewe kumuomba msamaha,

Wanaume hua hatumuombi msamaha Mwanamke hata kama wewe ndio umemkosea,it's a sign of weakness.
Hapana,sio sawa kusema kuomba msamaha ni weakness,bali kuomba msamaha ni kuonyesha upo strong enough kukubali umekosea,na kukosea ni kawaida kwa mwanadamu

Ishu inakuja unaomba msamaha kwa lipi?
 
Nafurahi kukubali kwamba umekosea, baada ya kujua hilo,sasa chukua hatua,haitakuwa rahisi kwa siku moja ila kuwa na subira wakati unamrekebisha

Kumbuka mwanamke ni kama ubavu uliopinda ukiunyosha unakatika na ukiupinda unakatika,tumia hekima na busara kubwa sana

Asante
 
Pole sana aseee, 😢 mimi siwezi ningeshamuacha kama ndio tabia yake tangu tunajuana
 
Unajitahidi sana kuvunja ndoa za watu jmn sasa ataacha wangapi? Hakuna malaika uko nje kila mtu ana magumu yake! Ni afadhali huyo shetani anaemjua! Ohooo..
Naongezea tena Piga chiniiii sheitwan hiloooo
 
Hapana,sio sawa kusema kuomba msamaha ni weakness,bali kuomba msamaha ni kuonyesha upo strong enough kukubali umekosea,na kukosea ni kawaida kwa mwanadamu

Ishu inakuja unaomba msamaha kwa lipi?
Mkuu bado hujawajua wanawake vizuri,wazee tunawajua vizuri sana,ipo siku utaukumbuka huo ushauri wangu.
 
Mkuu bado hujawajua wanawake vizuri,wazee tunawajua vizuri sana,ipo siku utaukumbuka huo ushauri wangu.
Tusikariri matukio,kuna mambo hupaswi kuomba msamaha na matukio mengine unaomba msamaha,kwani nikiomba msamaha inabadilisha uanaume wangu

Mfano ulikuwa utoke na familia yako out na wanajua hilo,mara paap umepata emergency ya ghafla,je hapo kutoomba msamaha na kuomba kipi kinaboresha hapo?

Mjue wanawake nao ni viumbe wanahitaji kuonyesha unajali pia
 
Sawa endelea kuwajali na kuomba misamaha.
 
ushauri:EPUKA KUOMBA OMBA MSAMAHA kwa mkeo!
 
Kuwa mwanamme halisi sio mvulana!, siku moja mshushie kipigo heavy mpaka aombe poo ili kurudisha heshima.
 
Pole wanasema chagua mfungwa mnayeelewana ili maisha ya gerezani yawe na amani.Iwapo ulioa jambazi,kubali kuishi maisha ya kijambazi kwa afya ya familia.Ila unyonge si poa sana.Mara moja moja anzisha varangati ili heshima iwepo.
 
Nachoweza kukushauri ni kuwa; ndoa ya miaka 3 bado ni ndoa changa. Changamoto za namna hii huwa zinaumiza sana lkn jipe mda huku ukiendelea kumfundisha atabadilika. Kumbuka kuwa wanawake wanachelewa sana kukua kiakili so mpe mda huku ukimuombea atabadilika
 
Kataa ndoa kwa ajili ya afya yako ya Akili
 
Asante Kwa ushauri mzuri uliompa!

Kuna mmoja alianza na kauli hizi kwangu

1.ukipataga mwanamke huko we nendaga uniache na wanangu!
2.Hivi ukisikia natoka na mtu Fulani,utafanyaje!!?

3.unafikiri Kuna kitu Gani Cha maana nabembeleza kwako!!?we huniwezi wewe!!

4.mi najua naweza kusimama na mambo yangu yakaenda TU!

5.Najua ni akaunti yangu ndio inakusumbua coz ulizowea kuishika!!

6.Akaanza kuninyima mchezo !!

Hayo yote anayatamka wakati nilimleta Hana kazi Wala chochote,baada ya kupata KAZI na kujenga kidogo ndio shobo zikaanza!!

Nilijaribu kumuonya Kwa upole coz tuna watoto tunalea,lakini akajiandaa kuhama pale na kuanza ujenzi wa siri!

Hatua nilizochuua!!

1.Nikaacha kuomba huo mchezo anaojivunia nikaanza kwenda popote hata kulala huko bila hata taarifa na kurudi asubuhi!!

2.nikawa mkimya,bila kumshirikisha chochote Wala Sina mengi!

3. Nikapanga mtaani japo nimejenga na Nina nyumba yenye vyumba vya kutosha,wakati mwingine naenda kulala huko kupumzika Hadi usiku kucha!

4.nikapata Binti wa 2005 nikaweka geto,pale kwangu nikawa naenda kuwasalimia kila SAA na kutoa matumizi TU na kusepa!!

Akaanza kulia Lia na kuomba ushauri Kwa wamama watu wazima,mwishowe akaamua kuhama pale na kwenda kule kule alikokusudia ,Huwa napita kwenda kuwasalimia TU, nothing elsea zaidi ya vyanzo vya mapato ambavyonilimwachia asimamie Kwa matumizi ya watoto!!

Now am enjoying my life aiseh!

Naonekana young and vibrant plus happy aiseh!!

Huwezi PATA msongo Kwa mtu ulikutana name ukubwani tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…