Unawezaje kuishi na mwanamke wa namna hii?

Mweleze wewe ni mumewe unayempende hivyo unamtegemea akuheshimu.Usipepese macho mwambie hutegemei aendelee na tabia ya kukudharau.Akiendelea mnaze vibao na asiposikia una mawili umvumilie ukiwa na streess au mrejeshe kwao akasome upya
 
Samahani mkuu amekuona wewe dhaifu huna maamzi ndomana inatumwa kutupa taka Yani wanaume wengi wanajificha kwenye kivuli cha kumsaidia mke kazi wao hawafikirii hivio utateseka
 
KEMEA PEPO LA HASIRA
INGIA KWENYE MFUNGO

SIO KILA MAAMUZI ANAYOFANYA MWANAMKE NI YEYE
 
Unajitahidi sana kuvunja ndoa za watu jmn sasa ataacha wangapi? Hakuna malaika uko nje kila mtu ana magumu yake! Ni afadhali huyo shetani anaemjua! Ohooo..
Kabisa wengn wanaona raha kusema kupiga chini

Kiukwelii moyo unauma
 
Sio uchepukagi Yani huyo alikua anakuona bwege wake tu.
Je ungekua wa dini ya upande mwingine ambaye unaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja angekufanyia matukio hayo??
 
Ndoa ni kama alama za vidole huwa hazifanani hata hivyo ili pawe na amani hapo nyumbani waweza kufanya haya;
1. Hakikisha wewe kama mume unawajibika kwenye mahitaji ya familia kwani mume asiyewajibika huongeza hasira kwa mke.
2. Kwa hatua ya dharau iliyofika usipende kukaa nyumbani. Tumia muda mwingi kazini ukifika tu unalala na asubuhi unaenda kazini au kokote kule ili kupunguza misuguano.
3. Kama hakuna dalili za kukaa na kujadili na kumaliza tofauti zenu basi washirikishe WAHENGA wenye busara na hekima hasa wa kiimani.
4. Kama wazazi wa mkeo wako hai fanya utafiti ni kwa namna gani Baba mkwe wako aliweza kuishi na Mama Mkwe wako kuna jambo utajifunza. Alivyo mama ndivyo alivyo binti (si mara zote lakini mara nyingi)
5. Furaha na amani ni msingi wa maisha, uamuzi uko kwako. Jipende, vaa vizuri, Nukia vizuri, miguu sio usafiri kazi yake ni kusimama tu ukishaanza kutembea tu hakikisha unakaa. Hii itapunguza hasira kwako na itavutia upendo kwa wengine maana umeanza kujipenda kwanza.
SIKU HIZI SISHAURI WATU WAACHANE AU KUOANA . Pole sana.
 
And here we go, 5min of my life wasted on reading nonsense...
 
Mmh!Kati yako na yeye nani analeta mkate mezani tuanzie hapo??
Hili swali ndio lilikuwa la muhimu ulijibu

Kama mkate unaoleta hautoshelezi na yeye akawa anaongezea kutoka vyanzo vyake jua tu wote humo ndan n mababa na ipo siku atataka nayeye akuingize dole kwenye kinyeo chako sababu naye anajiona mwanaume
 
Imeandikwa ishini nao kwa AKILI.
 
Sio asira ni hasira
 
Wakishindwana na uyo mwingine tena?
Aoe Mwingine tena,

Life is full of disappointments, it's one after the other. You only take ones you can handle the rest don't even entertain them.

Sasa kama unakaa na mwanamke anayekudisapoinment, utahandle VP disappointment za maisha.

Fikiria umekosa hela ya Kula, umeachishwa kazi, uneumwa mfululizo, au umepata msala wa kuwekwa ndani, hivi huyo mwanamke atakusaidia kwa lolote?

Kwa kifupi tafuta mtoto mbichi miweke ndani uendelee Kula maisha
 
Hapana kukutana na genuine person sio guarantee.. ataoa sana! Ni either ajifunze kujiangalia yeye na mambo yake kwanza kabla ya kila kitu au aendelee kubadili wanawake watakao mjali kwenye shida tu..
 

Kesha jua udhaifu wako ,ila ushauri tu achana nae ,mwishowe utakufa kwa magonjwa ya moyo
 
Hapana kukutana na genuine person sio guarantee.. ataoa sana! Ni either ajifunze kujiangalia yeye na mambo yake kwanza kabla ya kila kitu au aendelee kubadili wanawake watakao mjali kwenye shida tu..
Uvumilivu unatofautiana,

Mwanamke anayecheat, anayetukana, anayepiga, au kuharibu Mali nilizozichuma kwa nguvu zangu ntaishia kumvunja kiuno tu, kama si Leo basi arobaini yake itafika.

Kuliko nilale jela, Bora nimuache mapema.


Yote yote, wanawake wazuri na wenye heshima wapo wengi, atulie atafuta mke mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…