Kioa mwanamme anahaki ya kuoa zaidi ya make mmoja comrade kama yakobo,Musa alioa Kwa yethro na baadae mkushi,ibrahim,king Solomon n.k!
Ndoa ya make mmoja ni Sheria ya kiuchumi ya mapinduzi ya viwanda ya mwaka 1800,ilikua ni rahisinsana kuisafirisha nuclear family toka kiwanda kimoja Hadi kingine kupunguza gharana ya usafiri yaani (mume,mke na watoto wawili)kuliko extended family!baadae kanisa katoliki ikaona inafaa hiyo wakaiweka kwenye mfumo Hadi Leo!!
Hasta yesu,Paulo mtume walikuta mitara ndio maana Paulo anasisitiza"mashemasi,maaskofu wawe mine was mke mmoja akishuhudiwa kutenda mema,basi kama wanapaswa wawe waume wa make mmoja that means kulikua na Mitara kanisani isiyoruhusu wenye mitara iuwa maaskofu wala mashemasi!!
Mungu hawezi mhukumu mwanamme alieoa zaidi ya mke mmoja!!
Acheni kufinyangwa!!