Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Pole sana..... Njoo pmMimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,
Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.
SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,
Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,
Kuzaa Kila mtoto na baba yake,
Kuzaa Kila mtoto na mama yake,
Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu
Upoje πHuyo mwenza wako anavyouchunaga utasema hayupo humuπ
Nishakuwa mvivu wa hayo mambo kwasababu ya uzito. Sipendi kabisa kuyasikiaUtakuwa na nyama za kutosha kwa ajili ya mambo yetuπ€£
Pole sana.Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,
Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.
SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,
Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,
Kuzaa Kila mtoto na baba yake,
Kuzaa Kila mtoto na mama yake,
Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu
Kwamba uzito umekuletea uvivu? Huwezi ku~ride tena wallahπ€£Nishakuwa mvivu wa hayo mambo kwasababu ya uzito. Sipendi kabisa kuyasikia
Kiukweli kabisa siwezi. Naona michosho tuKwamba uzito umekuletea uvivu? Huwezi ku~ride tena wallahπ€£
Sawa mtumishinyie watu ndo amfai hata kuwa dated. nasema single parents families sio za kuoa due to this.
I tried before. nikaona mwenzangu kama ana wivu how I live with my parents. anataka kunigeuza mimi mzazi anataka kutumia my power kuwaheshimisha wengine. watu wa muone ameweza. I walked away. mna kila tabia mbaya.
you have no one kwa sababu how your raised. complete family ambao tupo pamoja. we talk openly we are mostly happy. hata dunia nzima ipoteee
tulio toka familia za wazazi wote. familia bora tuna upendo na ni watu wawazi sana.
nyie wa broken families tafuteni another broken families. instead mtatengeneza another broken families
Sawa ahsante sanaPole sana.
Najua upo katika hali gani sasa, jipe moyo acha kuwaza sana watu ambao wamekutenga hasa familia. Kama unapata mahitaji muhimu. Jaribu kutafta jambo la kukufanya uwe bize, pia jaribu kwenda kwenye nyumba za ibada kama unaamini. Tafta mahubiri uwe unasikiliza YouTube au muziki au movie zenye mafundisho. Usijihisi mpweke hicho ndo kinachangia pia watu wasichangamane nawe.
HayaPole sana..... Njoo pm
Wich dauπππAcha kuzingua, kwa hiyo nikimpenda mtu nikitaka tupeane genes zetu kuna shida?
SijaelewaWich dauπππ
πππ safiSijaelewa
Kwamba umefurahi sijaelewa!!πππ safi