Ndio.Kwamba umefurahi sijaelewa!!
Nikirudi home nakuweka!Ndio.
Huongei na Mungu ila unaongea peke yako kwa kuunda dhana ya kufikirika kichwani mwako unayoitumia kujiuliza na kujijibu..Mi ni kama wewe, yakinizidi Huwa natafuta chemba, peke yangu naongea na Mungu asiyeonekana Tena kwa kujiamini as if tuko wawili, note siyo kwamba nasali, ila nazungumza a way you can to a friend,
Hata huyo Mungu unayedai una mueleza matatizo yako hayupo..Kuna vipindi unapitia kama binaadamu lakin unataman kumueleza mtu m,moja atakae kusikiliza lakini hayupo.
Basi napiga magoti na kumueleza Mungu
SawaHata huyo Mungu unayedai una mueleza matatizo yako hayupo..
Unajifariji tu kwa kuunda dhana ya kufikirika kichwani mwako unayoitumia kujiuliza, kujijibu na kujifariji mwenyewe.
Ni sawa na mlevi anayekunywa pombe kisha akishalewa ana amini na kujifariji matatizo yake yamekwisha.
Ila pombe zikiisha matatizo yanaendelea kumwandama katika maisha yake ya kila siku.
Sawa mamiiKwanza jifundishe kujipenda mwenyewe, huu upendo wa kutaka upendwe na wengine mara nyingi ndio utakuumiza zaidi..!!
Ukiwa na magumu sana omba Mungu na sali ili kukuondolea ule uchungu uliokuwa nao au yale yanayokusibu..!! Hii tabia ya kumwambia mtu vitu vyako kuna wengine hawana vifua utayakuta nje na itakuumiza zaidi.
Bora mara mia zaidi yakikushinda uyalete JF huku utakuta wa kukushauri vizuri, bila kusahau ndugu zangu wa backbenchers hao wanajibu kile kinachowajia muda huo. Lkn hautokosa cha kukufariji na kukuponya majeraha.
Hata hivo kuamini ni kulewa,Mimi ni mlevi kwa kuamini kuhusu Mungu, na niseme tu nimemshuhudia huko, huwezi nielewa coz haupo ktk viwango vyangu vya ulevi,otherwise unywe ninachokunywa tulewe wote hapo tutaelewanaHuongei na Mungu ila unaongea peke yako kwa kuunda dhana ya kufikirika kichwani mwako unayoitumia kujiuliza na kujijibu..
Huna tofauti na mlevi anaye amini anaongea na watu kumbe anazungumza mwenyewe bila kujitambua..
Kua na familia unayoitamani ni jambo zuri sana na Mungu akusaidie ulitimize achana na usingle mother, lakini kwa wakati huu lisikupe shida sana kuna watu ni ndugu wa baba na mama mmoja na wamekua nyumba moja lakini hawaongei wala kusikilizana.Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,
Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu...
Hapo Tanga kunani hamjambo?Kwanza jifundishe kujipenda mwenyewe, huu upendo wa kutaka upendwe na wengine mara nyingi ndio utakuumiza zaidi..!!
Ukiwa na magumu sana omba Mungu na sali ili kukuondolea ule uchungu uliokuwa nao au yale yanayokusibu...
Historical background ends at 30! Baada ya hapo wewe ni background! Acha kulaumu wazazi! Cha kukushauri! Mtu wa kumpelekea shida zako ni Mungu! Kuna wakati huwezi pata msaada kwa Mwanadamu hata kama ni mama yakoMimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,
Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu...
πππ Shem bana nishakuwa wa Tanga mara hii??Hapo Tanga kunani hamjambo?
Ok poa ngoja nikuachie namba ya kunichekπππ Shem bana nishakuwa wa Tanga mara hii??
Nna trip ya Zanzibar ntakucheck kuna vitu nataka kukuuliza..!
Usiilaumu familia katika maisha yako kwa kuwa ni jamii uliyojikuta ndani yake tayari, huna jinsi.
Je wewe maisha yako umeyajenga vipi? Kwanini umeshindwa kutengeneza watu/mtu wa kumuamini ambaye utaweza kuongea nao/naye chochote ukapata amani?
Binafsi katika familia yetu siwezi kuwa huru kuongea kila kitu, ila Mungu amenijalia mwenza anayenisikiliza kwa vyote na kuniongoza vyema.
Najivunia sana hilo