Unywaji wa vinywaji hivi nini matokeo yake miaka 10 ijayo?

Hata ubongo ukishazoea kupata kitu fulani basi unakua mtegemezi
Mi nilizoea kunywa juisi ya miwa ila naelekea mwezi sijazinywa hata niione mtaani nashika hela afu moyo unasema usinywe
 
Kuna faza mmoja alikiwa anachoma sigara nikamletea usabato.
Ooooooh mzee ujue hizi sigara zinaumiza mapafu,akanambia ningekuwa wa kufa ningeshakufa nimeanza kuchoma rasmi 84 ulikuwa hujazaliwa.

Nilijiona mjinga kwa hakika.
Nilichojifunza katika haya maisha,jambo likikupa raha lifanye mradi huvunji sheria.
Kanuni za vyakula zimekuwa nyingi sana na kila mtu amekuwa mwalimu wa mwingine,ila mwisho wa siku wote tunatakiwa tulale paleeeee.
 
Pewa energy mbili na soda tatu kwa mangi hapo nalipa
 
Nadhani kwa kuwa wanafanya kazi nzito hizo calories zilizopo kwenye energy wanazitumia .
Ila kama ni wa kukaaa tu idle , energy ni mbaya sana
 
Hakuna shida kwa wanaofanya kazi juani na kunywa soda hata 6. Kwasabb. Sukari yote inatumika wakati wa kufanya hiyo kazi ya juani.

Ishu ni wale wanaokunywa hata soda moja kwa wiki lkn sukari haifanyiwi kazi yoyote, badala yake inarundikana mwilini
Hiki kitu nime observe , nikiwa nafanya kazi nzito nzito coka cola naweza kunywa hata mbili kwa siku ,ila nikiwa idle coka hata moja tu itanisumbua sana kukojoa kojoa ,
Sasa nina pattern moja kama sina kazi nzito unaweza pita hata mwezi sinywi soda .
 
Hiki kitu nime observe , nikiwa nafanya kazi nzito nzito coka cola naweza kunywa hata mbili kwa siku ,ila nikiwa idle coka hata moja tu itanisumbua sana kukojoa kojoa ,
Sasa nina pattern moja kama sina kazi nzito unaweza pita hata mwezi sinywi soda .
Ndiyo hivyo. Wataalamu feki waache kuwatisha watu. Msukuma mkokoteni na mchanganya zege wanaweza kunya soda 4 kwa siku. Hakuna shida. Lkn mtu wa ofisini full kiyoyozi asithubutu kunywa hata moja kwa wiki
 
Majibu ya kijinga haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…