Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huyu carracaso ndo coca?
Hapana Witty..
Btw... You're missed.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Huyu carracaso ndo coca?
😂😂😂 ndo kitaalam ivoAt sijaelewa sivyo haya twende kitaalamu sasa
Sukari za viwandani zinaitwaje ?
Jibu ulicho ulizwa acha kucheka cheka kama kichaa[emoji23][emoji23][emoji23] ndo kitaalam ivo
haya, white sugar(refined)Jibu ulicho ulizwa acha kucheka cheka kama kichaa
Viwanda hutumia sukari ipi?
Utaelewa tu
Mi nilizoea kunywa juisi ya miwa ila naelekea mwezi sijazinywa hata niione mtaani nashika hela afu moyo unasema usinyweHata ubongo ukishazoea kupata kitu fulani basi unakua mtegemezi
Bei yake kwa kilo mojo Ni shilling ngaphaya, white sugar(refined)
ndo utaalam huyo 😂😂 ,rekebisha dish iloBei yake kwa kilo mojo Ni shilling ngap
Unaulizwa Bei unacheka cheka!ndo utaalam huyo [emoji23][emoji23] ,rekebisha dish ilo
Pewa energy mbili na soda tatu kwa mangi hapo nalipaKuna faza mmoja alikiwa anachoma sigara nikamletea usabato.
Ooooooh mzee ujue hizi sigara zinaumiza mapafu,akanambia ningekuwa wa kufa ningeshakufa nimeanza kuchoma rasmi 84 ulikuwa hujazaliwa.
Nilijiona mjinga kwa hakika.
Nilichojifunza katika haya maisha,jambo likikupa raha lifanye mradi huvunji sheria.
Kanuni za vyakula zimekuwa nyingi sana na kila mtu amekuwa mwalimu wa mwingine,ila mwisho wa siku wote tunatakiwa tulale paleeeee.
Ikizidi ni shidaBia ni bora kuliko soda
ova
Nadhani kwa kuwa wanafanya kazi nzito hizo calories zilizopo kwenye energy wanazitumia .Mwaka jana nilienda home kusalimia nikakuta bi mkubwa anajenga banda la nguruwe basi nikasimamia kidogo mafundi wakawa wamemaliza katika kusafisha mazingira niliokota kopo za energy drink za azam na mo extra zaidi ya 70 na hizo ni zile wanazokunywa wakifika kazini kulikua na mafundi wanne tu kwenye kazi kile kitu kilinishangaza na muda wa kazi ilikua kama wiki mbili na kidogo nikaja kumuuliza fundi mkuu vipi mbona energy nyingi? Akanijibu asee siwezi anza kazi bila chupa moja mchana akila anakunywa au apige soda alafu jioni akifunga kazi lazima apitie dukani anunue moja kwa siku anasukuma 2 mpka 3 asee ni hatari
Hiki kitu nime observe , nikiwa nafanya kazi nzito nzito coka cola naweza kunywa hata mbili kwa siku ,ila nikiwa idle coka hata moja tu itanisumbua sana kukojoa kojoa ,Hakuna shida kwa wanaofanya kazi juani na kunywa soda hata 6. Kwasabb. Sukari yote inatumika wakati wa kufanya hiyo kazi ya juani.
Ishu ni wale wanaokunywa hata soda moja kwa wiki lkn sukari haifanyiwi kazi yoyote, badala yake inarundikana mwilini
I miss u too Darling..upo?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hapana Witty..
Btw... You're missed.
Vyote nimevitambua, kasoro hicho kiroba cha khaki!
Ndiyo hivyo. Wataalamu feki waache kuwatisha watu. Msukuma mkokoteni na mchanganya zege wanaweza kunya soda 4 kwa siku. Hakuna shida. Lkn mtu wa ofisini full kiyoyozi asithubutu kunywa hata moja kwa wikiHiki kitu nime observe , nikiwa nafanya kazi nzito nzito coka cola naweza kunywa hata mbili kwa siku ,ila nikiwa idle coka hata moja tu itanisumbua sana kukojoa kojoa ,
Sasa nina pattern moja kama sina kazi nzito unaweza pita hata mwezi sinywi soda .
Hicho kinywaji hapo cha tangawizi huwa namuona msela wng anatumia sana kinahusiana na uchakataji??
Na asilimia 90 ya watumiaji hata bima ya afya hawana!Energy drinks niliambiwa zinaumiza sana figo , kama ni kweli miaka 10 ijayo tutarajie kesi nyingi zaidi za magonjwa ya figo na figo kufeli
Majibu ya kijinga haya.Hao madokta wenu wa kisabato watawaua kwa hofu
Binadamu wa zamani walishindia matunda na nyama mbichi lakini wako wapi? wamekufa wote
We achana na sisi kufa kupo tu
As long as tunaenjoy
Tusitishane.
Niko napata coka,supu ya makongoro na chapati nne hapa . Alaaah
hata maji ukinywa mengi kwa muda mfupi, ni shidaIkizidi ni shida