Uongo mgumu kuutetea, Tundu Lissu, CHADEMA na CCM wanahaha!

..wenye wajibu wa kufanya uchunguzi ni vyombo vya dola.

..waliopuuza kufanya uchunguzi ni vyombo vya dola.

..Lissu amelalamika mara nyingi tu kwamba vyombo vya dola havishughulikii tukio lake.
Kwakuwa vimekaa kimyaa, siwakati Sasa mhanga kufuatilia kipi KINAENDELEA?
 
Mimi naendelea kukubana zaidi, Sasa kwakuwa hakuna kinachoendelea, kwanini asifuatilie upelelezi wake ulipoishia?
 
Kwahiyo walio hai hawatakufaa kwakuwa hawanatuhuma yoyote ya mabaya hapa duniani??
 
Kwakuwa vimekaa kimyaa, siwakati Sasa mhanga kufuatilia kipi KINAENDELEA?

..Lissu amepiga kelele ndani na nje ya Tz kuhusu suala lake.

..Hata alipokuwa Tz wakati wa kampeni alifika ofisini kwa RPC wa Dodoma kufuatilia suala hili.

..Pamoja na jitihada zote hizo jeshi la Polisi limekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.

..Hili suala sio la kumuachia Lissu peke yake alipigie kelele. Wapenda HAKI wote tupige kelele ili waliotenda unyama ule wakamatwe.

..Tupige kelele Raisi aunde TUME YA UCHUNGUZI kwa ajili ya tukio la Lissu na matukio mengine ya kikatili yaliyofanyika hapa nchini.
 
Kupiga kelele inje ya mahakama na huko ugaibuni hakutomsaidia, Mimi nilidhani akienda kufungua kesi ya madai Kwa nini mahakama haishugulikii upelelezi wa shambulio lake Mimi niombe nyinyi mliokaribu naye, mshaurini atoke uko aliko aje afuatilie kesi yake hapa nyumbani kwake tanzania
 
Wao wanachojua ni kupiga risasi na kuiba mali za umma
 

..lile ni tukio la JINAI.

..sheria yetu inaelekeza kwamba JAMHURI / SERIKALI / POLISI ndio yenye mamlaka ya kufungua kesi za jinai.

..ushauri wako una nia njema lakini unakwenda kinyume na sheria zetu.

..kwa maoni yangu kuna kitu jeshi la Polisi linajaribu kuficha kuhusu tukio la Lissu.

..Katika mazingira kama haya TUME YA UCHUNGUZI iliyoundwa na Raisi ingeweza kuukwamua uchunguzi na kuhakikisha HAKI inapatikana.

..Tuungane CCM, CDM, ACT, CUF, tulaani na kushinikiza haki ipatikane.

..CCM msifikiri mko salama. Sasa hivi hakuna tena wapinzani wa kutwanga risasi. Msije mkashangaa mitutu ikaanza kuelekezwa kwenu.
 
,
Tundu mwenyewe ajatoa ushirikiano, alishaitwa Sana kwenda kuandika maelezo ajaenda

Sasa unatakaje?

Nenda kamwandikie ww basi
Situation aliyokutana nayo sio rahisi kuja kirahisi rahisi tu maana hakuna hata muhusika mmoja aliekamatwa zile risasi ni myingi sana fikiria umekatiza mtaani ukapigwa roba ya mbao je utakatiza tena huo mtaa? Sasa lissu kapigwa risasi 30+ na kati ya izo risasi 16 zimempata mwilini.. ingewezekana na ingekua busara vyombo vya usalama kwenda kumuhoji uko uko
 
Sasa kwakuwa wamegoma kulifanyia KAZI Kwa Nini MLENGWA na mhanga akae kimyaaa??
 
Sasa kwakuwa wamegoma kulifanyia KAZI Kwa Nini MLENGWA na mhanga akae kimyaaa??

..Lissu hajakaa kimya. kila wakati amekuwa akilisemea suala hili.

..wananchi wa kawaida tunatakiwa tumuunge mkono kupaza sauti badala ya kutoa kauli za kuwatetea Polisi walioonyesha uzembe kwa miaka mitano bila kutoa majibu.
 
Lisu anajua walimtwanga ndio maana hata baada ya kifo Cha jpm na kulipwa pesa za kuja bongo kuanzia maisha hawezi kuja

USSR
Aliyekuwa dereva wake yuko wapi?? Na kwa nini waendelee kumficha??
 
Tatizo ni hawa wanaoambiwa hawataki kukaa chini na kutafakari ili waelewe wanachokisoma.
Mtu mwenye akili ya kutosha atashindwa vipi kuelewa haya machache yaliyoandikwa hapa?

Mtu atajifanya haelewi wala haoni ubaya, kwa sababu tu haya maovu yanafanywa na mtu mwenye ngozi nyeusi kama yeye?
Kwa vile yanafanywa chini ya utawala wa chama cha CCM?
 

Lisu anataka mambo Kwa the way yy anavyoona ni bora

Mbona alienda kwenye gari lake pale police dodoma?

Alishindwa nn kwenda kutoa maelezo?

Police wanasema file liko wazi aende akahojiwe

Ishu simple kabisa
 
Lisu anataka mambo Kwa the way yy anavyoona ni bora

Mbona alienda kwenye gari lake pale police dodoma?

Alishindwa nn kwenda kutoa maelezo?

Police wanasema file liko wazi aende akahojiwe

Ishu simple kabisa

..Polisi wangekuwa na nia ya kumhoji wangefanya hivyo siku Lissu amekwenda kwa Rpc Dodoma.

..Au wangemchukua maelezo baada ya uchaguzi mkuu siku waliyomkamata akiwa nje ya ubalozi wa Ujerumani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…