Uongo mgumu kuutetea, Tundu Lissu, CHADEMA na CCM wanahaha!

Uongo mgumu kuutetea, Tundu Lissu, CHADEMA na CCM wanahaha!

magufuli kafa wapuuzi kama wewe bado mpo wengi tu. anaweza akarudi mkamminia risasi tena. kama mliweza kumuita mtu mmoja gaidi mtashindwa kumua mtu?
YUPO WAPI ANZORY GWANDA? nani alimuua Alphonso Mawazo?
Kumbe shida haikuwa Magufuli then.
 
Kumbe shida haikuwa Magufuli then.
magufuli hakuwa anatawala/siyo kuongoza peke yake. mlikuwepo wengi wenye akili na hulka kama za kwake
Sabaya na ukawe mfano mzuri kwako. Bado mpo tena mkiwa mnafundo la hasira na kutoamini uweza wa mungu kwa kilichotokea kwa yule muovu mwenzenu
 
Kudo!

Mimi huwa najiuliza sana,hivi enzi zile kina Nyerere wakitafuta UHURU wa nchi hii.

Na kama wangekuwepo watu wanasiasa kariba ya Tundu Lissu!

Ingewezekana UHURU kupatikana kweli?

Kila zama zin saisa zake. Wakati wa Uhuru lazima ingepiganiwa Uhuru, wakati wa demokrasia inapiganiwa demokrasia. Kosa la Lissu ni lipi kusema tutashtakiwa MIGA?. Mbona ndege ilikamatwa Canada na Sasa nyingine imekamtwa Uholanzi?. Yote hayo ni madeni kutokana na kuvunjwa mkataba.
 
magufuli hakuwa anatawala/siyo kuongoza peke yake. mlikuwepo wengi wenye akili na hulka kama za kwake
Sabaya na ukawe mfano mzuri kwako. Bado mpo tena mkiwa mnafundo la hasira na kutoamini uweza wa mungu kwa kilichotokea kwa yule muovu mwenzenu
Hivi nani ambaye hatokufa hapa dunianii
 
Mhanga angekufa kesi ingeisha. Juzi watuhumiwa 11 wamehukumiwa kunyongwa kwenye kesi ya Lotter mzungu. Huyo Lotter alikuwepo kutoa ushirikiano? Au kisa mzungu na Lissu mwafrika?
Hajui kitu huyu kwanza ndo mwali hapa
 
U
Lisu na Lema wamejivisha ukimbizi wanajiita wakimbizi wa kisiasi
[/QUOUTE]

Usidhihaki Jambo Kama hujui undani wake. Lema amewahi kuwekwa ndani miezi sita bila dhamana mpaka Mahakama kuu ilipoingilia Kati na kumtoa. Lissu kamiminiwa risasi , kawa mlemavu unajua anavyojisikia?. Usimdhihaki Wala kumcheka mwenye matatizo Kama hujui chanzo.
 
AAngekufa je jinai ile isingepelelezwa? Haya mmeambiwa mtajeni aliyetoa cctv na aliyeondoa walinzi hapo ndio pakuanzia uchunguzi wala sio kwà TAL acheni kujizima data uchunguzi wa kumhoji lissu hauna mashiko maana alishamtaja kipilimba na siro sasa mnataka lissu afanye nini? Iambieni Dunia nani aliondoa walinzi je chadema wanauwezo wa kupanga zamu za ulinzi wa majeshi yetu? Au cctv camera chadema wanaouwezo wa kuiondoa kweli kwenye makazi ya viongozi? Acheni ufala!
Hiyo CCtv ilikua ya nani?
Na mlienda kutoa maelezo mkaonba hiyo CCtv iletwe?

Kwa Nini huyo tundu asiende kuiomba hiyo CCTV baada ya kutoa maelezo?
 
Mhanga angekufa kesi ingeisha. Juzi watuhumiwa 11 wamehukumiwa kunyongwa kwenye kesi ya Lotter mzungu. Huyo Lotter alikuwepo kutoa ushirikiano? Au kisa mzungu na Lissu mwafrika?
Sasa kama wamepuuuzia, Kwa Nini mhanga asilalamike kwenye vyombo vya Dola ili shambulio lake lifanyiwe uchunguziii??
 
Kuna vitu huwa tunajitoa ufahamu,, mfano Rais wa marekani anaweza ku okay Termination hata ndani ya US,, hawa marais kama wafalme walivyokua zamani wana power kubwa sana tu,,
Mfalme daud alitamani mke wa mkuu wa jeshi lake,, akam terminate huyo mkuu wa jeshi ,,
Lakini huu utamaduni sisi hatuna,, uchunguzi ufanywe na majambazi waliomshambulia lisu wakamatwe🤷🏼‍♂️
 
magufuli hakuwa anatawala/siyo kuongoza peke yake. mlikuwepo wengi wenye akili na hulka kama za kwake
Sabaya na ukawe mfano mzuri kwako. Bado mpo tena mkiwa mnafundo la hasira na kutoamini uweza wa mungu kwa kilichotokea kwa yule muovu mwenzenu
Ni kweli, kumbe shida siyo Magufuli.
 
Back
Top Bottom