Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
Kwahiyo kwakuwa nijinai na yeye ameridhika?akili yako ndogo sana wewe. Tangu lini kesi ya jinai ikafunguliwa na mtu binafsi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kwakuwa nijinai na yeye ameridhika?akili yako ndogo sana wewe. Tangu lini kesi ya jinai ikafunguliwa na mtu binafsi?
Kumbe shida haikuwa Magufuli then.magufuli kafa wapuuzi kama wewe bado mpo wengi tu. anaweza akarudi mkamminia risasi tena. kama mliweza kumuita mtu mmoja gaidi mtashindwa kumua mtu?
YUPO WAPI ANZORY GWANDA? nani alimuua Alphonso Mawazo?
Shida haikuwa Magufuli kumbe!Bahati nzuri Magufuli alikuwa CCM na mama Samiah Ni ccm wote lao moja. CCM haibadiliki ni ile ile.
magufuli hakuwa anatawala/siyo kuongoza peke yake. mlikuwepo wengi wenye akili na hulka kama za kwakeKumbe shida haikuwa Magufuli then.
Kudo!
Mimi huwa najiuliza sana,hivi enzi zile kina Nyerere wakitafuta UHURU wa nchi hii.
Na kama wangekuwepo watu wanasiasa kariba ya Tundu Lissu!
Ingewezekana UHURU kupatikana kweli?
,
Tundu mwenyewe ajatoa ushirikiano, alishaitwa Sana kwenda kuandika maelezo ajaenda
Sasa unatakaje?
Nenda kamwandikie ww basi
Hivi nani ambaye hatokufa hapa dunianiimagufuli hakuwa anatawala/siyo kuongoza peke yake. mlikuwepo wengi wenye akili na hulka kama za kwake
Sabaya na ukawe mfano mzuri kwako. Bado mpo tena mkiwa mnafundo la hasira na kutoamini uweza wa mungu kwa kilichotokea kwa yule muovu mwenzenu
kamuulize makamba yusufu anayo majibuHivi nani ambaye hatokufa hapa dunianii
Itaaanzia wapiii na huku mhanga hajaenda kutoa ushirikiano?
Hajui kitu huyu kwanza ndo mwali hapaMhanga angekufa kesi ingeisha. Juzi watuhumiwa 11 wamehukumiwa kunyongwa kwenye kesi ya Lotter mzungu. Huyo Lotter alikuwepo kutoa ushirikiano? Au kisa mzungu na Lissu mwafrika?
Lisu na Lema wamejivisha ukimbizi wanajiita wakimbizi wa kisiasi
[/QUOUTE]
Usidhihaki Jambo Kama hujui undani wake. Lema amewahi kuwekwa ndani miezi sita bila dhamana mpaka Mahakama kuu ilipoingilia Kati na kumtoa. Lissu kamiminiwa risasi , kawa mlemavu unajua anavyojisikia?. Usimdhihaki Wala kumcheka mwenye matatizo Kama hujui chanzo.
Hiyo CCtv ilikua ya nani?AAngekufa je jinai ile isingepelelezwa? Haya mmeambiwa mtajeni aliyetoa cctv na aliyeondoa walinzi hapo ndio pakuanzia uchunguzi wala sio kwà TAL acheni kujizima data uchunguzi wa kumhoji lissu hauna mashiko maana alishamtaja kipilimba na siro sasa mnataka lissu afanye nini? Iambieni Dunia nani aliondoa walinzi je chadema wanauwezo wa kupanga zamu za ulinzi wa majeshi yetu? Au cctv camera chadema wanaouwezo wa kuiondoa kweli kwenye makazi ya viongozi? Acheni ufala!
Magufuli amevunja mkataba mwaka 2017 ikapelekea ndeg kukamatwa uholanzi lawama anapewa tindu lissu hii nchi Kuna mtaji wa wajinga mkubwaMbon
Mbona ndege ilikamatwa Canada na yena nyingine imekamatwa uholanzi.
Sasa kama wamepuuuzia, Kwa Nini mhanga asilalamike kwenye vyombo vya Dola ili shambulio lake lifanyiwe uchunguziii??Mhanga angekufa kesi ingeisha. Juzi watuhumiwa 11 wamehukumiwa kunyongwa kwenye kesi ya Lotter mzungu. Huyo Lotter alikuwepo kutoa ushirikiano? Au kisa mzungu na Lissu mwafrika?
Ataishi milele ndiyo hadi dereva amefichwa
Hivi unaakili kweli yaani akaiombe hio CCTV kazi ya polis wanafanya upelelezi nin ebu acha uzwazwa ile ni criminal case sio civil caseHiyo CCtv ilikua ya nani?
Na mlienda kutoa maelezo mkaonba hiyo CCtv iletwe?
Kwa Nini huyo tundu asiende kuiomba hiyo CCTV baada ya kutoa maelezo?
Ataishi milele ndiyo hadi dereva amefichwa
Angekufa je?. Mission failed ndio inayosumbua.
Ni kweli, kumbe shida siyo Magufuli.magufuli hakuwa anatawala/siyo kuongoza peke yake. mlikuwepo wengi wenye akili na hulka kama za kwake
Sabaya na ukawe mfano mzuri kwako. Bado mpo tena mkiwa mnafundo la hasira na kutoamini uweza wa mungu kwa kilichotokea kwa yule muovu mwenzenu