Uongo uliowahi kutokea JF: Kila mtu kujifanya tajiri na ana maisha mazuri

Kitu cha ukweli kinakua chai
 

Attachments

  • 20250216_162407.jpg
    62.5 KB · Views: 2
Humu kila mwanaume anapiga pisi kali mpaka unashangaa hizi pisi mbovu mtaani zote ni bikira.!

Jf kila mwanamke ni independent woman, unabaki kujiuliza hawa wakina dada wadangaji na ombaomba wanaishi kwenye jamii ipi
 
Wewe pia ni mwongo na mzushi kwa sababu unajiita Nyani Ngabu wakati wewe ni binadamu.
Ungejiita yekonia ningeamini kuwa wewe siyo mwongo.

Monetary doctor mzabzab Poor Brain Al-mukheef adriz.
 
😀😀😀 mkuu hapa nakushauri uchukue mazda CX 5.. iyo harrier nimeshaitumia sana kwa sasa ipo tu hapa home imepaki.

Shida ya iyo gari ni nyepesi sana especially ukienda spidi kuanzia 120 hivi, halafu haina balanve nzuri kwa sababu ipo juu sana na utumiaji wa mafuta ni mkubwa sana ukilinganisha na ubora wake.

Kwa sasa natumia volkswagen touareg
 
Labda nyie mnaoassume ya kuwa kila member wa JF ana maisha mazuri mnasomaga simulizi zinazoandikwa na watu humu. Nitajie uzi ambao member ana jitamba ya kuwa ana maisha mazuri ukiachana na ya Chief Godlove.
kulikuwepo na kidukulilo ila yule chizi....watu wana roho mbaya hawataki watu waongelee mambo mazuri....
 
Kila mtu ana gari kasoro mimi huwa najiuliza nafeli wapi?. Na kila mtu anamiliki pisikali kama mobeto JF raha sana.
Ukisema kila mtu maana yake na wewe pia.

Unaposema kila mtu kasoro...unakosea.

Kauli sahihi ungesema watu wengi kasoro wewe.
 
Mimi naona niwivu mtu akiamua kusema hakuna shida shida ipo kwako kwasababu ya kuto archive your goals badala ya kuona wivu weka jitihada ufike pale utakapo
 
Hawataki watu wewe na magari, hawataki watu wewe wanatoamba wanawake wazuri , ila wana acknowledge hawa wanawake wazuri karibia wote wanamabwana ila hawataki kakubali kwamba hai mabwana zao wapo if, hawataki watu wawasimulie safari zao za nje ila hata leo ukienda airport mandege yakwenda nje yapo ful house na wamejaa watz, Yan WATANZANIA wanapenda uwasimulie vitu vibaya tu, kwamba umegongewa mke sababu huna kitu, ulitembea kwa mguu toka bunju b mpaka Posta, mazao yako yote yamesombwa na maji, umefukuzwa sababu umeshindwa kulipa rent, umefilisika, benk wameuza nyumba yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…