Sidhani kama ni rahisi hivyo,nimefuatilia sana kuhusu hili suala sio kweli,ingekua kweli basi mashamba ya kuku ufanisi ungeongezeka sana , imagine hawa wakubwa huwa wanachoma vifaranga ,unadhani wanapenda , Njia zipo ila ni expensive sana , inahusisha kuchoma yai na kulipima na ndio maana unaona vifaranga wa layers ni adimu maana hatchery anaweza kuangua mayai 100 alafu akapata mitetea 40 tu au 50, hao 50 wengine hawana kaziKwenye mayai yaliyochongoka nakupinga kwa 98%
Mimi nimewahi ku prove hii njia zaidi ya mara6 nilikuwa nikichagua mayai 10 yaliyochongoka ncha basi yakitotolewa yote nitapata vifaranga 7-8vijogoo tupu hii ni uhakika kama una bisha weka dau tuingie field
Uwezekano wa kupata ni mkubwa zaidi mkuu. Hapa hatubishani ndio maana nimeweka uwiano huo.Sidhani kama ni rahisi hivyo,nimefuatilia sana kuhusu hili suala sio kweli,ingekua kweli basi mashamba ya kuku ufanisi ungeongezeka sana , imagine hawa wakubwa huwa wanachoma vifaranga ,unadhani wanapenda , Njia zipo ila ni expensive sana , inahusisha kuchoma yai na kulipima na ndio maana unaona vifaranga wa layers ni adimu maana hatchery anaweza kuangua mayai 100 alafu akapata mitetea 40 tu au 50, hao 50 wengine hawana kazi
Ila kuchongoka sio kweli, ukiwa na mayai una 50 / 50 chance ukapata majogoo au mitetea na apperance ya yai haijalishi
Sawa,rudi field , ongea na wataalamu wa hatchery pia uwaulize kwann hawatumii hio njiaUwezekano wa kupata ni mkubwa zaidi mkuu. Hapa hatubishani ndio maana nimeweka uwiano huo.
Ngoja nirudi tena field kuna kuku hapa wapo wanataga baada ya siku 40-50 nitaleta jibu
Mkuu mtaalamu yeyote akiniambia kasoma SUA imani yangu huishia hapo.Sawa,rudi field , ongea na wataalamu wa hatchery pia uwaulize kwann hawatumii hio njia
Nakuelewa makuku.Kwenye mayai yaliyochongoka nakupinga kwa 98%
Mimi nimewahi ku prove hii njia zaidi ya mara6 nilikuwa nikichagua mayai 10 yaliyochongoka ncha basi yakitotolewa yote nitapata vifaranga 7-8vijogoo tupu hii ni uhakika kama una bisha weka dau tuingie field
Mwenzako yuko field na abatumia njia hiyo kutotolesha mitetea/majogoo kwa kadri anavyotaka wewe uko kwenye theory zako na bado unabisha. Kakupa challenge hapo kuweke dau halafu muingie field.Sidhani kama ni rahisi hivyo,nimefuatilia sana kuhusu hili suala sio kweli,ingekua kweli basi mashamba ya kuku ufanisi ungeongezeka sana , imagine hawa wakubwa huwa wanachoma vifaranga ,unadhani wanapenda , Njia zipo ila ni expensive sana , inahusisha kuchoma yai na kulipima na ndio maana unaona vifaranga wa layers ni adimu maana hatchery anaweza kuangua mayai 100 alafu akapata mitetea 40 tu au 50, hao 50 wengine hawana kazi
Ila kuchongoka sio kweli, ukiwa na mayai una 50 / 50 chance ukapata majogoo au mitetea na apperance ya yai haijalishi
Umejibu kinyonge mno kwasababu alichoeleza huyo ndio ukweli kwa 90%Sawa
Sio kinyonge , Lakini kuna muda huwezi bishana na mtu anaetumia imani na facts, sasa mm nakuja na facts yeye anakuja na imani, anasema facts ni nadharia, mm nimewahi fuatilia hili kwa kutaka kujua kwann kuku wa layers niliyoweka order ya kuku 400 ilichelewa mpaka kuenda kuchukuliwa Kenya , sasa unadhani hio method yake ingekua effective, makampuni yangekua yanauza layers kwa bei ghali?Umejibu kinyonge mno kwasababu alichoeleza huyo ndio ukweli kwa 90%
Kama yupo tayari sawa, tuwasiliane aweze nitoa ujinga mimi pamoja na hatchery zote TanzaniaMwenzako yuko field na abatumia njia hiyo kutotolesha mitetea/majogoo kwa kadri anavyotaka wewe uko kwenye theory zako na bado unabisha. Kakupa challenge hapo kuweke dau halafu muingie field.
Teheeeee sua for life paleMkuu mtaalamu yeyote akiniambia kasoma SUA imani yangu huishia hapo.
Ahsante sana
Wapi hapo? SUA?Kwenye ngombe wana technology ya gender selected semen wanatoa mbegu za majike tu kwa ajili ya kupandisha kwenye mashamba ya ngombe wa maziwa
Ila wewe jamaa una theories za hovyo kabisa! Kwa hiyo gharama inatokana na ugumu wa kupata vifaranga jike? Wala huwazi kama inatokana na gharama za uzalishaji? Unafikri kumlisha layer ni mchezo eeeh? Umuhimu wa layers wenyewe kwenye soko hauwezi kuongeza bei?Sio kinyonge , Lakini kuna muda huwezi bishana na mtu anaetumia imani na facts, sasa mm nakuja na facts yeye anakuja na imani, anasema facts ni nadharia, mm nimewahi fuatilia hili kwa kutaka kujua kwann kuku wa layers niliyoweka order ya kuku 400 ilichelewa mpaka kuenda kuchukuliwa Kenya , sasa unadhani hio method yake ingekua effective, makampuni yangekua yanauza layers kwa bei ghali?
Au tuanze hapa , kwann vifaranga vya mayai ni ghali kuliko vifranga vyote na licha ya bei kua juu ni adimu, nipo Arusha bei kwa sasa niliacha ni 2900,tuanze hapo
Mbona mwenzio kasema hiyo amekuwa akiifanya kwenye shamba lake!Kama yupo tayari sawa, tuwasiliane aweze nitoa ujinga mimi pamoja na hatchery zote Tanzania
Ulitaka mtaalam wa mifugo atoke wapi?Mkuu mtaalamu yeyote akiniambia kasoma SUA imani yangu huishia hapo.
Ahsante sana