Tuko pamoja mkuu.🙏 🙏Sikuwahi kuiangalia kwa angle hii kwa mfugaji mdogo anaetotolesha mwenyewe, Nashukuru sana kwa Maarifa Palesho
Tuko pamoja mkuu.🙏 🙏Sikuwahi kuiangalia kwa angle hii kwa mfugaji mdogo anaetotolesha mwenyewe, Nashukuru sana kwa Maarifa Palesho
Niongee kwa kulinganisha, ni kama kwa mwanamke, yai linatoka kila mwezi ila haimaanishi hilo yai litakua ni mtoto , ni sawa kwa kuku anatoa yai kila siku ila ili liwe kifaranga ndo hapo anapohitajika jogoo kulirutubishaInawezekana vipi kuku jike atage tu bila kupandwa na jogoo..??
Sahihi japo kuna breed moja inaitwa Sasso, hao ni baaab kubwa. Unawafuga ndani week 8 tu, kama uko kijijin unawaacha nje ni kama wa kienyeji tu, na wanataga san
Bro naona unaongea ila huna real experience na vitu unavyoongea, Wanao graduate SUA na kua Vet mostly wale hua ni top talent na kuna kitu kuhusu top talent, wanaenda amabapo wanakua valued na rewarded , Nina marafiki ambao ni Top graduates SUA, hua wengi wanarudi kwenye Academia au wengi wao wanaajiriwa na Makampuni makubwa ie ASAS,SHAFA na the sort , ila wengi wao naona wanaenda nje ya nchi kwa ajili ya ajiri na kuwa academicians/ researchersAtoke popote pale. SUA kimejishusha thamani chenyewe mtu anasoma pale miaka zaidi ya 3 mkijua alitoka kule aje awe msaada kwenu wakulima /wafugaji badala yake anakuwa hajui kitu na anaanza upya kujifunza kunyoa akishajua anafunga saloon yake.
Bro naona unaongea ila huna real experience na vitu unavyoongea, Wanao graduate SUA na kua Vet mostly wale hua ni top talent na kuna kitu kuhusu top talent, wanaenda amabapo wanakua valued na rewarded , Nina marafiki ambao ni Top graduates SUA, hua wengi wanarudi kwenye Academia au wengi wao wanaajiriwa na Makampuni makubwa ie ASAS,SHAFA na the sort , ila wengi wao naona wanaenda nje ya nchi kwa ajili ya ajiri na kuwa academicians/ researchers
Nimeongea nao, sio kwamba hawataki kuwasadia wafugaji wadogo na wakati, La hasha! wengi wametoka kwenye hizo familia ,hivyo wanatamani kuona mabadiliko. Sababu kuu nilizoziona ni zifuatazo
1. Soko haliwa value: Heri wafugaji kuku wanalipa, ila kwa ng'ombe , mtu anaenda anafanyiwa consultation na service zingine alafu wanalipwa elfu tano , hio inakata sana, ndio maana wengi wana base kwa Kuku kuliko ng'ombe maana as crazy as it is , ng'ombe ndo much riskier ila watu ndo wanalipa kdgo mno. Value ya mtu inakua reflected na reward anayopokea
Hili 👆 👆 umenena sawia. Ni ukweli usiopingika na hata wataalam walioko huku Field wanalishuhudia hilo. Kwa mfano HAKUNA - narudia tena HAKUNA boma au nyumbani kwa mfugaji ng'ombe na mbuzi yeyote ambako mfugaji huyo hana Syringe 30 au 50 cc, Chupa za Oxytetracycline (wenyewe wafugaji wanaita Toromais) n.k. Kwa mantiki hiyo, huwa wafugaji hujihudumia wenyewe ktk suala zima la Afya ya mifugo. Wengine huenda kujinunulia chanjo za mifugo na kujihudumia weyewe. Sasa kama hali ndo hiyo; Vet. utakuwa unafanya kazi gani huku? Mfugaji mdogo i.e. mfugaji maskini kwa huku umasaini, anakuwa na ng'ombe 50 -80 lakini mfugaji mkubwa huwa na ng'ombe 800-2,000 na hahitaji huduma ya Mtaalam wa Mifugo - labda utokee mlipuko wa magonjwa mageni lakini sio eti CBPP au CCPP, Anthrax, BQ na magonjwa kama ECF, Anaplasmosis n.k. hawatamhitaji daktari. Wanamaliza wenyewe. Daktari wa mifugo kwa huku Umasaini kwa kweli hana kazi ya kufanya zaidi ya kujibu hoja za madiwani kwenye vikao au kufungua duka la madawa na pembejeo za Mifugo au kutumwa kwenda kufanya Tathmini ya uharibifu wa mazao, kuandika na kutoa vibali vya kusafirisha mifugo, Ukaguzi wa nyama, kujibu barua na kuandika Taarifa. Dah😱2. Culture: Tuongee ukweli sisi wabongo ni wajuaji sana, unakuta anasahuriwa na vet ila anabisha, kwenye maisha yangu nishawahi shuhudia zaidi ya mara 2 , Mfugaji wa kuku wa kienyeji 30 anampa ushauri mtu mwenye Ng'ombe wa maziwa wa 3million ushauri wa dokta unapigwa chini wa ufugaji unafuatwa,ndo industry yetu
Kwenye hili 👆👆siafiki sana kwani sio wote wanazo connection kutafuta Opportunity bora tofauti na kuwinda Govt. Employment. Lakini pia kwa wale waliobahatika kupata Ajira perfomance yao huku maofisini ni very poor.Hivyo basi kwa hizo changamoto, wataalamu wetu wabobevu hutawaona wanabishana, wanaenda kutafuta opportunity bora zaidi na kuliko wa practice uko wanalaumiana na wabongo ni bora waende kutafuta opportunity nzur zaidi. Kwa kusema hayo sio kwamba sitambui changamoto na chuo cha SUA, ndio zipo ie (kukosa specialization) ila itakua uongo kutokisifia kwa wataalamu wanaowatoa ,Tuwape maua yao
Kabisa mkuu swali nzuri, Mimi pia kuku wangu wa kienyeji nilivyokula jogoo hawakutaga tena mpaka siku nilivyoleta jogoo lingine.....!!Inawezekana vipi kuku jike atage tu bila kupandwa na jogoo..??
Inawezekana boss, ni kama binadamu mwanamke, kila mwezi anatoa mayai , ila anahitaji mbegu za mwanaume kurutubisha yai ndo mtoto apatikaneKabisa mkuu swali nzuri, Mimi pia kuku wangu wa kienyeji nilivyokula jogoo hawakutaga tena mpaka siku nilivyoleta jogoo lingine.....!!
Jamii yetu inatakiwa kuelimishwa coz ina dhana potofu sana kuhusian na aina hii ya kuku broiler leyas na hata hao chotara1.Kuku wa nyama (broilers) ni GMO🧬 au wamechomwa homoni!💉:
Wengi wanadhani kuku wa nyama (Broiler) wametengenezwa maabara au wanachomwa hormone zinazowafanya waongezeke uzito ndani ya muda mfupi lakini SI KWELI ! Ukuaji wao wa haraka unatokana na uchaguzi wa vizazi bora (selective breeding) kwa miongo kadhaa ambapo walichaguliwa kuku wa asili wenye ukuaji mkubwa wakapanadishia (cross) mpaka kupata broiler na pia lishe bora na yenye protini kubwa ni moja wapo wa sababu
View attachment 3289114
2.Mayai 🥚 yaliyochongeka hutotoa jogoo
SIO KWELI ! Hakuna utafiti wa kisayansi ulioonyesha uhusiano kati ya umbo la yai na jinsia ya kifaranga.Tafiti zimeonyesha kuwa mayai yanapoanguliwa, uwiano wa vifaranga wa kiume na wa kike hubaki karibu na 50:50, bila kujali kama mayai yalikuwa na ncha kali au duara.Umbo la yai huathiriwa na aina ya kuku, umri wake, na fiziolojia yake binafsi, sio jinsia ya kifaranga aliye ndani.
View attachment 3290009
Kama wewe unatamani kuanza ufugaji wa kuku na hujui gharama za kuanzia au unataka kujua kuku aina gani ana faida zaidi tembelea tovuti ya www.primaxtz.com kisha bonyeza fanya makadirio hapa
View attachment 3290054
3.Mitetea 🐔 anahitaji jogoo 🐓ili aweze kutaga mayai!🥚
Uwezo wa kuku jike kutaga mayai unategemea mzunguko wake wa kibaolojia na mwanga wa jua, si uwepo wa jogoo.Kama vile wanawake wanavyopata hedhi bila kushika mimba, kuku jike hutaga mayai hata bila kupandwa na jogoo, jogoo anahitajika Tu kwa Urutubishaji Katika mashamba makubwa ya mayai, kuku jike hutunzwa bila jogoo, lakini bado hutaga mayai mara kwa mara.
View attachment 3290038
Kuku, Bata mzinga pia hao wote nimeona wakitaga bila dume (jogoo).Inawezekana vipi kuku jike atage tu bila kupandwa na jogoo..??
Safi sana.Mkuu nimerudi tena. Mwezi wa12 vilitotolewa vifaranga 11 na mayai yaliyo atamiwa yalikuwa 11 kati ya mayai hayo nilikuwa nahitaji kuingia field kwa usahihi zaidi kwa hkika kati ya mayai yote 11 niliyompa kuku na kuyatotoa yote tangu trh 19/12/2025 hadi trh 23/2/2026 vilikuwa vimebaki vifaranga 9 vikiwa hai na vyote hivyo ni vijogoo tupu hadi leo hii maana nilichambua mayai yenye ncha kutoka kwenye mitetea 4 iliyokuwa inataga kwa wakati mmoja.
Mayai yaliyo baki nikiwagawa hawa kuku3 mitetea ndo Imekuwa mingi zaidi kwenye mitetea yote 3 nimeambulia majogoo 6 tu kati ya vifaranga 27 walio totolewa kwenye hao kuku3!.
Sasa hii nimefikisha mara8 nafanya hivyo ila hii ya mwisho nimefanya kwa umakini kuliko zote.
Sijui kama na bahatisha au la! Maana mara huwa nikihitaji mfano majike yawe mengi basi nitapata mengi zaidi kuliko majogoo hali kadhalika kwenye majogoo. Nawasilisha.
Kazi ya jogoo ni kupea mbegu tu. Ndio maana kuku anaweza kutaga mayai 13 halafu mayai 3 yanakuwa na maji maji tupu(vinza)Kuku, Bata mzinga pia hao wote nimeona wakitaga bila dume (jogoo).
Tatizo mayai hayatotoi watoto.
Nani sasa, mbona pale sua mazimbu campus kulikuwa na ming'ombe ya maziwa kibao miaka ya nyuma? Leo ng'ombe hawafiki 10 hii ni sawa?Kiongozi utakuwa hujui majukumu ya SUA. Hawawezi kufanya kila kitu, wanaohusika na uzalishaji wa ng'ombe wa maziwa siyo SUA!
Sio kinyonge , Lakini kuna muda huwezi bishana na mtu anaetumia imani na facts, sasa mm nakuja na facts yeye anakuja na imani, anasema facts ni nadharia, mm nimewahi fuatilia hili kwa kutaka kujua kwann kuku wa layers niliyoweka order ya kuku 400 ilichelewa mpaka kuenda kuchukuliwa Kenya , sasa unadhani hio method yake ingekua effective, makampuni yangekua yanauza layers kwa bei ghali?
Au tuanze hapa , kwann vifaranga vya mayai ni ghali kuliko vifranga vyote na licha ya bei kua juu ni adimu, nipo Arusha bei kwa sasa niliacha ni 2900,tuanze hapo
Waaishaji wa ng'ombe wa maziwa ni TALIRI na Mashamba ya Serikali.Nani sasa, mbona pale sua mazimbu campus kulikuwa na ming'ombe ya maziwa kibao miaka ya nyuma? Leo ng'ombe hawafiki 10 hii ni sawa?
Nimefuga,na nina experience kwenye ufugaji kuliko unavyodhani,Wewe dogo umefuga au umekremishwa kwenye mavitabu ya wazungu?
Mayai yaliyochongoka yana 75% + kuwa majogoo
Tatizo kila alicho andika mzungu mnakremu badala ya kufanya practical
Yale ya round, possibility kubwa ni ya kike na yake yaliyo chongoka kidogo ndio yapo 50/50
Kwa hiyo jogoo hana faida si ndio?1.Kuku wa nyama (broilers) ni GMO🧬 au wamechomwa homoni!💉:
Wengi wanadhani kuku wa nyama (Broiler) wametengenezwa maabara au wanachomwa hormone zinazowafanya waongezeke uzito ndani ya muda mfupi lakini SI KWELI ! Ukuaji wao wa haraka unatokana na uchaguzi wa vizazi bora (selective breeding) kwa miongo kadhaa ambapo walichaguliwa kuku wa asili wenye ukuaji mkubwa wakapanadishia (cross) mpaka kupata broiler na pia lishe bora na yenye protini kubwa ni moja wapo wa sababu
View attachment 3289114
2.Mayai 🥚 yaliyochongeka hutotoa jogoo
SIO KWELI ! Hakuna utafiti wa kisayansi ulioonyesha uhusiano kati ya umbo la yai na jinsia ya kifaranga.Tafiti zimeonyesha kuwa mayai yanapoanguliwa, uwiano wa vifaranga wa kiume na wa kike hubaki karibu na 50:50, bila kujali kama mayai yalikuwa na ncha kali au duara.Umbo la yai huathiriwa na aina ya kuku, umri wake, na fiziolojia yake binafsi, sio jinsia ya kifaranga aliye ndani.
View attachment 3290009
Kama wewe unatamani kuanza ufugaji wa kuku na hujui gharama za kuanzia au unataka kujua kuku aina gani ana faida zaidi tembelea tovuti ya www.primaxtz.com kisha bonyeza fanya makadirio hapa
View attachment 3290054
3.Mitetea 🐔 anahitaji jogoo 🐓ili aweze kutaga mayai!🥚
Uwezo wa kuku jike kutaga mayai unategemea mzunguko wake wa kibaolojia na mwanga wa jua, si uwepo wa jogoo.Kama vile wanawake wanavyopata hedhi bila kushika mimba, kuku jike hutaga mayai hata bila kupandwa na jogoo, jogoo anahitajika Tu kwa Urutubishaji Katika mashamba makubwa ya mayai, kuku jike hutunzwa bila jogoo, lakini bado hutaga mayai mara kwa mara.
View attachment 3290038