Wanaodanganyana ni wafugaji au wasio wafugaji?1.Kuku wa nyama (broilers) ni GMO🧬 au wamechomwa homoni!💉:
Wengi wanadhani kuku wa nyama (Broiler) wametengenezwa maabara au wanachomwa hormone zinazowafanya waongezeke uzito ndani ya muda mfupi lakini SI KWELI ! Ukuaji wao wa haraka unatokana na uchaguzi wa vizazi bora (selective breeding) kwa miongo kadhaa ambapo walichaguliwa kuku wa asili wenye ukuaji mkubwa wakapanadishia (cross) mpaka kupata broiler na pia lishe bora na yenye protini kubwa ni moja wapo wa sababu
View attachment 3289114
2.Mayai 🥚 yaliyochongeka hutotoa jogoo
SIO KWELI ! Hakuna utafiti wa kisayansi ulioonyesha uhusiano kati ya umbo la yai na jinsia ya kifaranga.Tafiti zimeonyesha kuwa mayai yanapoanguliwa, uwiano wa vifaranga wa kiume na wa kike hubaki karibu na 50:50, bila kujali kama mayai yalikuwa na ncha kali au duara.Umbo la yai huathiriwa na aina ya kuku, umri wake, na fiziolojia yake binafsi, sio jinsia ya kifaranga aliye ndani.
View attachment 3290009
Kama wewe unatamani kuanza ufugaji wa kuku na hujui gharama za kuanzia au unataka kujua kuku aina gani ana faida zaidi tembelea tovuti ya www.primaxtz.com kisha bonyeza fanya makadirio hapa
View attachment 3290054
3.Mitetea 🐔 anahitaji jogoo 🐓ili aweze kutaga mayai!🥚
Uwezo wa kuku jike kutaga mayai unategemea mzunguko wake wa kibaolojia na mwanga wa jua, si uwepo wa jogoo.Kama vile wanawake wanavyopata hedhi bila kushika mimba, kuku jike hutaga mayai hata bila kupandwa na jogoo, jogoo anahitajika Tu kwa Urutubishaji Katika mashamba makubwa ya mayai, kuku jike hutunzwa bila jogoo, lakini bado hutaga mayai mara kwa mara.
View attachment 3290038
Hicho chuo basi tu ni miyeyusho sana.Ulitaka mtaalam wa mifugo atoke wapi?
Kuku anataga bila uhitaji wa Jogoo ila mayai ya aina hiyo hayawezi kutotoleshwaInawezekana vipi kuku jike atage tu bila kupandwa na jogoo..??
Hiyo ni kwa kuku yoyote ama ni hawa wakisasa tuKuku anataga bila uhitaji wa Jogoo ila mayai ya aina hiyo hayawezi kutotoleshwa
Kiongozi utakuwa hujui majukumu ya SUA. Hawawezi kufanya kila kitu, wanaohusika na uzalishaji wa ng'ombe wa maziwa siyo SUA!Hicho chuo basi tu ni miyeyusho sana.
Wewe kimekusaidia Nini kama Kila kitu Cha maana hata ng'ombe wa maziwa tunatoa Kenya pale?
Mmmh, kazi kweli kweli! Kuna mahali uliambiwa kwamba shahawa za kuku zinahusika na utengenezaji wa yai? Jogoo anahitajika tu pale unapotaka yai la kutotolesha vifaranga!Inawezekana vipi kuku jike atage tu bila kupandwa na jogoo..??
Kuku yeyote mkuu hata huyu wa kienyeji almradi apate tu lishe Bora!Hiyo ni kwa kuku yoyote ama ni hawa wakisasa tu
Kuku woteHiyo ni kwa kuku yoyote ama ni hawa wakisasa tu
Mkuu kwa ng'ombe wa maziwa nenda Tukuyu Mbeya huko utafurahi na roho yako. Kuna ng'ombe anaitwa American friesian anatoa maziwa hadi lt 15 kwa mkamuoHicho chuo basi tu ni miyeyusho sana.
Wewe kimekusaidia Nini kama Kila kitu Cha maana hata ng'ombe wa maziwa tunatoa Kenya pale?
Sio theory za ajabu, kama unahisi ni theory za ajabu, prove me wrongIla wewe jamaa una theories za hovyo kabisa! Kwa hiyo gharama inatokana na ugumu wa kupata vifaranga jike? Wala huwazi kama inatokana na gharama za uzalishaji? Unafikri kumlisha layer ni mchezo eeeh? Umuhimu wa layers wenyewe kwenye soko hauwezi kuongeza bei?
Hii namba 3 imezagaa sana na wengi wanaamini huo ujinga. Wanasema "kuku wa kisasa hawana baba".1.Kuku wa nyama (broilers) ni GMO🧬 au wamechomwa homoni!💉:
Wengi wanadhani kuku wa nyama (Broiler) wametengenezwa maabara au wanachomwa hormone zinazowafanya waongezeke uzito ndani ya muda mfupi lakini SI KWELI ! Ukuaji wao wa haraka unatokana na uchaguzi wa vizazi bora (selective breeding) kwa miongo kadhaa ambapo walichaguliwa kuku wa asili wenye ukuaji mkubwa wakapanadishia (cross) mpaka kupata broiler na pia lishe bora na yenye protini kubwa ni moja wapo wa sababu
View attachment 3289114
2.Mayai 🥚 yaliyochongeka hutotoa jogoo
SIO KWELI ! Hakuna utafiti wa kisayansi ulioonyesha uhusiano kati ya umbo la yai na jinsia ya kifaranga.Tafiti zimeonyesha kuwa mayai yanapoanguliwa, uwiano wa vifaranga wa kiume na wa kike hubaki karibu na 50:50, bila kujali kama mayai yalikuwa na ncha kali au duara.Umbo la yai huathiriwa na aina ya kuku, umri wake, na fiziolojia yake binafsi, sio jinsia ya kifaranga aliye ndani.
View attachment 3290009
Kama wewe unatamani kuanza ufugaji wa kuku na hujui gharama za kuanzia au unataka kujua kuku aina gani ana faida zaidi tembelea tovuti ya www.primaxtz.com kisha bonyeza fanya makadirio hapa
View attachment 3290054
3.Mitetea 🐔 anahitaji jogoo 🐓ili aweze kutaga mayai!🥚
Uwezo wa kuku jike kutaga mayai unategemea mzunguko wake wa kibaolojia na mwanga wa jua, si uwepo wa jogoo.Kama vile wanawake wanavyopata hedhi bila kushika mimba, kuku jike hutaga mayai hata bila kupandwa na jogoo, jogoo anahitajika Tu kwa Urutubishaji Katika mashamba makubwa ya mayai, kuku jike hutunzwa bila jogoo, lakini bado hutaga mayai mara kwa mara.
View attachment 3290038
SanaYote kwa yote, ufugaji wa kuku wa kienyeji ni changamoto mnooo hasa katika kuwaongeza. Rate ya ukuaji wa vifaranga wa kienyeji ni very slow halaf. Kwakifupi hawafai kwa ufugaji wa kibiashara😂
Sawa lakini swali huko mbeya hao ng'ombe wamewatoa SUA?Mkuu kwa ng'ombe wa maziwa nenda Tukuyu Mbeya huko utafurahi na roho yako. Kuna ng'ombe anaitwa American friesian anatoa maziwa hadi lt 15 kwa mkamuo
Una hoja. Ni kheri Wakusikilize.Sawa lakini swali huko mbeya hao ng'ombe wamewatoa SUA?
Upo sahihi lakini hujatuambia ni katika mazingira na Maeneo gani. Huku vijijini, kwa mtindo wa ufugaji huria, kuku wa kienyeji ndo mahali pake. Usijaribu kufuga hao wenu wa kisasa - watakufa wote leo-leo.Yote kwa yote, ufugaji wa kuku wa kienyeji ni changamoto mnooo hasa katika kuwaongeza. Rate ya ukuaji wa vifaranga wa kienyeji ni very slow halaf. Kwakifupi hawafai kwa ufugaji wa kibiashara😂