Uongozi wa Rais Samia wazidi kumulikwa kimataifa: Deutsche Welle

But how?

Mama ni mpole. Hafokei watu. Hatumbui watu hadharani. Ana upendo.

So what’s the beef?
She is a smooth operator. She acts and execute her stuff differently.

She has to start explaining her plans for next general election not start purging opposition.

She sets the tone and opposition will reply with their policies then vice versa. It is contention between the main party and opposition.

Going back to those days (as they claim) is not always good idea and is damaging her administration badly.
 
sio siri na wala sio uongo mambo hayo ni kawaida tu,
achilia mbali Africa Mashariki, bali pia Africa na dunia nzima mambo hayo yapo na yanatokea kila uchwao kwasabab mbalimbali...

what is so special eti ukalalamikie BBC au DW ili uonekane umeongea jambo jipya la maana saaanaa? au kwa vile ulipigwa risasi na ukasaivive hali ya kua Marais na mawaziri wakuu wa nchi mbalimbali duniani waliuawa kwa risasi pia...

kipi ni kipya hasa kiasi kwamba eti huyo mungwana apewe tension eti sijui na nchi gani wakati huko nako ni yale yale. By the way who is DW to Tz government 🐒

vipi alie nusurika pekeyake kwenye ajali ya ndege iliyo ua watu zaidi ya 200, akabaki pekee? Nae akatafute huruma au tension? au asingizie Russia na Ukraine au shirika la ndege husika?

kumbe majeraha na majeruhi saa zingine ni mtaji eeh 🐒
 
Mkuu, nina imani umesoma hivyo tuongee kama watu wenye elimu tulokalia darasani na tuongee tukitumia uwezo wa kielimu.

Hapa nilipo mtu akifanyiwa unyama ulofanywa kwa mzee huyu polisi hutumia masaa 24 kuwapata wahusika, kulikamata basi na abiria wake kutafutwa au kuombwa watoe taarifa.

Eneo lilipofanyika tukio pangewekwa cordon kwa ajili ya kukusanya evidence.

Hiyo ni kazi ya jeshi la polisi kuhakikisha integrity yake ipo intact,

Kuhusu Tundu Lissu yeye pia ni public figure kama alivyo raisi Samia ingawa yeye yupo kwenye upinzani lakini bado ni public figure ambae anastahiki international forums and platforms. Hivyo DW ni international news organisation na ina hadhi kama zilivyo international news organisations zingine.

Kukoswakosawa kwa risasi si jambo la kawaida laweza pia kuwa hata limemuathiri kisaikolojia for the rest of his life na watu wa aina hii siku akipata nafasi ya kulipa ndo atumia academic credential zake kufungua kesi katika international platforms.

Hawa DW wakitaka ufafanuzi msiogope jitokezeni kwa ujasiri ili mrekebishe pale ambapo panaharibika khasa reputation ya utawala, usidharau hii. Mimi ni diplomat na nazungumza lugha ya chini ili unielewe.

Hivyo hilo likisumbue sana wala lisiisumbue serikali lakini ni lazima wakati huohuo serikali iamke na kutambua kuwa haya mambo yanakuwa recorded for future reference.

Nikupe story fulani kuhusu Bangladesh na madhira walopata watu walokuwa wapinzani. Utawala wa mama Sheikh Hasina ulikuwa ukipuuzia mambo kama haya ya utekaji , utesaji na muaji ya raia, nini kiemtokea leo? Sheikh Hasina amekimbilia uhamishoni India aishi huko na kaisahau Bangladesh.

Yupo raia mmoja aitwa Chakma alitekwa na kuwekwa katika gereza la siri kwa miaka 5! Katoka juzi alishangaa jua! nini yote hii?

Dunia ni mapito siasa ni sehemu ya maisha na sio maisha kamili.
 
politics is life,
alijisemea Aristotle kwamba human being are political animals...

unaikwepea wapi siasa kwenye maisha? Nyumbani kwenye familia yako ni siasa tofauti na familia nyingine, uende kwenye nyumba ya ibada ni siasa na ahadi za baraka na kwenda mbinguni..

Kwenye biashara kuna siasa yake pia, ndio maana unaweza kununua bidhaa duka A kwa gharama ya juu, lakini pia utauziwa bidhaa hiyo hiyo kwa gharama ya chini duka B. Nguvu ya mipango na ushawishi tu...

ukirudi mtaani kwenye vijiwe vya kahawa ni siasa za Simba na Yanga. Sijui tumemsajoli nani kwa milioni mia6 n.k

so,
siasa ni kazi lakini pia siasa ni maisha.

Hata hivyo binadamu ndivyo tulivyo,
wew jihesabie haki kadiri uwezavyo, hukumu wengine kadiri upendavyo japo sio kazi yako, lakini mwisho wa siku kila moja atatajieleza kadiri atakavyoulizwa mbele za haki na Mungu, na sio na mihemko, ghadhabu na chuki zako binafsi...

Infact,
hakuna muujiza ikiwa huna ushawishi wa hoja unategemea huruma, huna mipango mikakati ya maana ya kuvutia wanainchi, uzalendo wako wa mashaka, huna mawazo mapya wala fikra mbdala, kutwa kucha ni kulalamika tu. Hakuna atakae kuamini, hakuna atakae kuchagua gentleman..

utatia huruma sana tu 🐒
 
eti public figure 🤣

DW na hata hao media wengine Tanzania inawahusu nini kama Taifa? wako free kufanya kazi zao bila kukiuka sheria za nchi yetu na misingi ya kazi zao. Na kama Taifa mambo yetu yote yanafanyika na kuendeshwa kwa mujibu wa sheria, na wala sio kwa mihemko ya Fulani, hisia, huruma au au kwasababu fulani kasema DW 🤣

Infact,
Mwenye ushahidi kuhusu jambo lolote la kihalifu nchini, yafaa awasilishe kwenye vyombo husika, na kama hana ni vizuri zaidi kukaa kimya kuliko kumbwelambwela pasipo sababu ya msingi 🐒
 
1. Tundu Lissu ni public figure elewa hivyo.

2. Unaiponda DW kwasababu tayari vyombo vya habari vya Tanzania mmevibana na mfano ni gazeti la The Citizen mmelifungia kisa tu wametoa katuni inomuonyesha raisi, kwani tatizo ni nini?

3. Sasa wasema mwenye ushahidi apeleke kwenye vyombo husika sasa wananchi watapeleka vipi ushahidi endapo polisi haohao ndo wamiliki wa ushihidi?

Anyway my friend, naona hapa tutapoteza muda ila naamini nimekupa mawili matatu.

Ila nakushauri, mjaribu kujibu hoja za hawa jamaa huko international media itawasaidia sana.
 
DW naskiza kila siku, ingawa last time ilikua ni siku moja kabla ya yale maandamano haramu ya chadema yaliyopigwa marufuku na polisi..

walitangaza kwamba chairman wa chadema kasitisha maandamano, na mimi nikaandika mpaka uzi humu jukwaani, nilipompigia rafiki yangu wa chadema naibu katibu mkuu bara akaniambia ni waongo maandamano yako pale pale ila yeye hatashiriki alikua mgonjwa... So kwa kiasi ni wapotoshaji..

Ni vyema inafahamika bayana,
chombo chochote cha habari kinachofanya kazi Tanzania kina uhuru na haki ya kufanya hivyo bila tashwishwi yoyote ila kinawajibika kuzingatia Sheria na katiba ya nchi.
Kinyume na hapo, chombo hicho cha kitawajibishwa ipasavyo bila mbambamba yoyote..

ikiwa hutaki kuwasilisha ushahidi wa kihalifu mahali panapohusika kwasasababu ya imani yako haba na potofu juu ya vyombo imara sana vinavyohusika, unambwelambwela nini sasa?. Si ubaki na ushirikina wako huko 🐒
 
Sasa ni zamu ya DW.
DW hawana moral authority kwe uhuru wa Habari ! EU ikiwemo Germany wamefungia Vyombo vya habari vya Russia , RT na Sputnik News kisa Vyombo hivyo vinafichua ukweli kuhusu malengo ovu dhidi ya raia wa EU na ulimwengu kwa ujumla!!! Je. Hiyo ni kuonyesha uhuru wa Habari?
 

Mimi siamini katika ushirikina.

Au mkuu weye ndo mbobezi? maana umekuja na hilo neno nje ya topic.
 
Mimi siamini katika ushirikina.

Au mkuu weye ndo mbobezi? maana umekuja na hilo neno nje ya topic.
ndiyo,
mim ni mbobevu katika kuwatambua na kuwaumbua washirikina..

Mathalani,
yeyote alie na imani haba na potofu, asieamini katika mamlaka za dunia ambazo zimetoka kwa Mungu,

maana yake ni huyo mshirika wa mambo ya kiganga huenda ni mshirikina pia🐒
 
Nadhani kuna tofauti kati ya serikali kuvifungia vyombo vya habari vya ndani na serikali kuvifungia vyombo vya habari vya adui kutoka nje.
 
SASA HIVI WASEMAJI NA WATETEZI WA SERIKALI YA KIHUNI YA MJALAANA SAMIA WAMEKUWA NI HAWA RAIA FEKI WENZAKE ....NCHI IPO MIKONONI MWA RAIA FEKI
 
The government's spokes person ran away 🤣🤣😂
 
UKiona mtu anatetea uovu ujue kuna maslahi fulani anapata na kwa asilimia kubwa hili huwa linasababishwa na njaa
 
Wewe Huwa ni bumunda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…