Uongozi wa Rais Samia wazidi kumulikwa kimataifa: Deutsche Welle

Mama anatakiwa aliombe radhi gazeti Kwa kulikosea heshima pamoja na mabeberu ayaombe msamaha.La sivyo tutakaa njaa na miradi yote itasimama Kwa sababu pesa zote ni misaada ya mabeberu.
 
TCRA wafungie na Dw,kwa kuwa wanavuruga amani.
 
Kwisha kazi zile 4R, sasa ni hali halisi inatambulika baada ya kipindi cha ulaghai wa miaka 3 nchini Tanzania chini ya utawala wa awamu ya sita.

Habari hii inakimbiza sana DW kwa kuangaliwa sana YouTube katika lugha ya kigeni kubwa ya mawasiliano duniani. Hakuna kujificha kwa lugha adhimu ya kiSwahili ambayo watawala wanapenda kuisisitiza kama kilugha cha kuficha mambo yetu ya utawala wa kiimla yasitambulike kimataifa.

Is Tanzania's government trying to silence opposition? | DW News

Views 27,735 on 07 October 2024
Likes 456
Comments 351
Source : DW youtube channel
 
Nadhani kuna tofauti kati ya serikali kuvifungia vyombo vya habari vya ndani na serikali kuvifungia vyombo vya habari vya adui kutoka nje.
RT walikuwa registered kwenye nchinza EU na Germany ikiwemo. The Citizen/Mwananchi wapo registered Nchi tunajua wamiliki wanatoka wapi! Maana wanamilikiwa na Nation Media Group, unajua kabisa hawa wamejiandikisha nchi gani!

Mfanano ni mkubwa.
 
Unalinda umoja Kwa kuua watoa maoni ?
 
Hawajawahi kutusifia

Enzi za jakaya, walimuuliza why hqdi leo ccm tu?
Na ww Hilo swali unahisi limekaa vibaya ? Kwelii mna Haki ya kutawaliwa Tena , swali lipo open kbs , nkutafsirie Tena , KWANIN CCMU INATAWALA MPK LEO EITHER MMEFANYA VZR SANA NA RAIA WAKAWAAMIN AU MMETUKUWA MNAIBA KURA ? JIPE JIBU MWENYEWE
 
Hawa SI wanakula huko na ulinzi hawaoni shida,siku yakiwageukia ndo wataongea
 
"....We receive no response!!!" Hivi CCM kweli wanahoja za kijibu na zikaeleweka..
Kama yule jamaa aliulizwa akasema polisi wenyewe walimuokoa sativa..πŸ˜€
 

Sasa na nyie si mpeleke yenu yanayo wabubujisha machozi na kina Lukasi yakatangazwe?
 
Lately naona safari za nje zimepungua πŸ˜€.

Huyo si wa kukosa UNGA. Lakini badala yake akaenda sijui Ruvuma kule 🀣.
Itakuwa kuna wadau waliamua "kumfanyizia" hila ili sakomeshe safari zake za nje za mara kwa mara. NA WAMEMUWEZA. issue ikianzia kwenye hotuba yake....
 
Nilishangaa sana haya maandishi, nilikuwa sijaangalia ameandika nani! Nilidhani yameandikwa na mtu mwenye akili timamu, kumbe ni yule miongoni mwa punguani wanaoteka na kuua watu. Damu za watu zimemwondolea akili huyu mchangiaji.
 
Na ww Hilo swali unahisi limekaa vibaya ? Kwelii mna Haki ya kutawaliwa Tena , swali lipo open kbs , nkutafsirie Tena , KWANIN CCMU INATAWALA MPK LEO EITHER MMEFANYA VZR SANA NA RAIA WAKAWAAMIN AU MMETUKUWA MNAIBA KURA ? JIPE JIBU MWENYEWE
Haki ya kutawaliwa tena?
 
Tarehe 23 Septemba alikamatwa na wauaji kisha akaachiwa kirahisi mno.

Tulipaswa kustuka wakati ule. Ninamashaka kuna kitu kafanyiwa akiwa mikononi mwao

Usiiamini serikali ya Tanzania linapokuja suala la uhai na maisha ya watu
wanaopanga kuwaua wengine watakufa wao kabla.

naona kiti kinanuka damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…