Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Hawana hoja na wangejiaibisha kama Muliro tu. Salama yao ni kuingia mitiniUpande wa serikali kumbe nao ulipewa mualiko wa kujibu hoja za Lissu ila wamekula buyu.
Wangemtumia Kinana kwa tempo kama Nchimbi wana mashaka naye kama hawezi kupangua hoja vyema.
AiseeMungu Wabariki Wazungu
wanaopanga kuwaua wengine watakufa wao kabla.
naona kiti kinanuka damu
HaaHawajawahi kutusifia
Enzi za jakaya, walimuuliza why hqdi leo ccm tu?
wisho wa kunukuuMeanwhile, the opposition is accusing the government of cracking down on criticism. One of the leading figures, Tundu Lissu, is suing the government. He says President Samia Suluhu Hassan is returning to the authoritarian practices of John Magufuli.
Hahah.Upande wa serikali kumbe nao ulipewa mualiko wa kujibu hoja za Lissu ila wamekula buyu.
Wangemtumia Kinana kwa tempo kama Nchimbi wana mashaka naye kama hawezi kupangua hoja vyema.
CC: LucasNaona Tanzania inazidi kujizolea sifa mbaya kimataifa.
Sasa ni zamu ya DW.
Yasikilize/ yatazame mahojiano ya Tundu Lissu.
Serikali ya Tanzania imesitisha shughuli za mtandaoni za gazeti moja kuu. Hii ni baada ya kutoa matangazo ya kibiashara yaliyomhusisha rais na kurejelea utekaji nyara na mauaji ya wapinzani wa kisiasa. The Citizen, moja ya magazeti yenye ushawishi mkubwa kwa lugha ya Kiingereza, ilisema machapisho yake ya mtandaoni yamesitishwa kwa siku 30 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Moja ya matangazo yaliyotolewa mtandaoni mapema wiki hii na The Citizen lilimuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiangalia habari za wapinzani na waathirika wa ukandamizaji wa serikali.
Wakati huohuo, upinzani unaituhumu serikali kwa kukandamiza uhuru wa kutoa maoni. Mmoja wa viongozi wakuu, Tundu Lissu, anaishtaki serikali. Anasema Rais Samia Suluhu Hassan anarejea kwenye mienendo ya kiimla ya John Magufuli.
================
In Tanzania, the government has suspended the online operations of a leading newspaper. This, after it released advertising clips featuring the president and referencing recent abductions and killings of dissidents. The Citizen, one of the most influential English-language papers, said its online publications had been suspended for 30 days by the Tanzania Communications Regulatory Authority.
One of the clips released online earlier this week by The Citizen showed President Samia Suluhu Hassan watching news clips of dissidents and victims of state repression.
Meanwhile, the opposition is accusing the government of cracking down on criticism. One of the leading figures, Tundu Lissu, is suing the government. He says President Samia Suluhu Hassan is returning to the authoritarian practices of John Magufuli.
una mihemko gentleman?π€£Nilishangaa sana haya maandishi, nilikuwa sijaangalia ameandika nani! Nilidhani yameandikwa na mtu mwenye akili timamu, kumbe ni yule miongoni mwa punguani wanaoteka na kuua watu. Damu za watu zimemwondolea akili huyu mchangiaji.
Hii ni kawaida tu wala tusijidogoshe kama Taifa. Mbona wao walimkamata na kumuweka kizuizini mwanzilishi wa Wikileaks Julian Assange kwa kuandika wasiyoyapenda!!Naona Tanzania inazidi kujizolea sifa mbaya kimataifa.
Sasa ni zamu ya DW.
Yasikilize/ yatazame mahojiano ya Tundu Lissu.
Serikali ya Tanzania imesitisha shughuli za mtandaoni za gazeti moja kuu. Hii ni baada ya kutoa matangazo ya kibiashara yaliyomhusisha rais na kurejelea utekaji nyara na mauaji ya wapinzani wa kisiasa. The Citizen, moja ya magazeti yenye ushawishi mkubwa kwa lugha ya Kiingereza, ilisema machapisho yake ya mtandaoni yamesitishwa kwa siku 30 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Moja ya matangazo yaliyotolewa mtandaoni mapema wiki hii na The Citizen lilimuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiangalia habari za wapinzani na waathirika wa ukandamizaji wa serikali.
Wakati huohuo, upinzani unaituhumu serikali kwa kukandamiza uhuru wa kutoa maoni. Mmoja wa viongozi wakuu, Tundu Lissu, anaishtaki serikali. Anasema Rais Samia Suluhu Hassan anarejea kwenye mienendo ya kiimla ya John Magufuli.
================
In Tanzania, the government has suspended the online operations of a leading newspaper. This, after it released advertising clips featuring the president and referencing recent abductions and killings of dissidents. The Citizen, one of the most influential English-language papers, said its online publications had been suspended for 30 days by the Tanzania Communications Regulatory Authority.
One of the clips released online earlier this week by The Citizen showed President Samia Suluhu Hassan watching news clips of dissidents and victims of state repression.
Meanwhile, the opposition is accusing the government of cracking down on criticism. One of the leading figures, Tundu Lissu, is suing the government. He says President Samia Suluhu Hassan is returning to the authoritarian practices of John Magufuli.
Achana nao hao kwanini habari nzuri huwa hawatangazi?Naona Tanzania inazidi kujizolea sifa mbaya kimataifa.

ni muhimu kujiepusha na kujitenga kujihusisha na ushirikina, ramli chonganishi, mambo ya kafara na misukule hamtaweza kusingizia wengine hata kidogoπUnalinda umoja Kwa kuua watoa maoni ?
Mlipompiga risasi mlikuwa hamjui uhuru wa kikatiba?Lissu kama Lissu lazima mahali pale pa kulilia ni kwa mabwana zake, muache atumie uhuru wake wa kikatiba.
yaanini kujidhalilisha gentleman,
mbona hakuna hata haja ya kutia huruma na kuibua hisia ili usaidiwe?π
Hivi haya mambo huwa mko serious au ni fungus zimeota kwenye ubongo? Nani kasema mtu huyo ni kipenzi cha Watanzania?mambo ya uposhaji, mambo ya kuzua taharuki, na mambo mengine yoyote yenye lengo la kuhatarisha au kuvuruga umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania hayatavumiliwa hata sekunde moja, kuchuliwa hatua na serikali imara na sikivu sana ya CCM, chini ya kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan,
iko wazi, na kwakweli ifahamike zaidi duniani kote kwamba,
Tanzanian government has zero tolerance when it comes to the issue of peace and unit of it's citizens..
umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania, utalindwa kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote, bila kujali wala kubabaika eti sijui nani huko anatafuta huruma DWπ€£
kana kwamba wao hawana mambo yanayowahusu wananchi wao, eti wamuonee huruma mtu ambae ni kulalamika day and night. Na actually anatia Huruma atasaidiwa tu..
but ni useless and completely nonsense, kama unashida omba tu utasaidiwa usilalamike sana π