Uongozi wa Rais Samia wazidi kumulikwa kimataifa: Deutsche Welle

Za kutia huruma si tumekubaliana mzipeleke DW huko maana huwa tunawaona mnabweka bweka tu humu kama wenda kuzimu tu.
kwa muonekano tu utasaidiwa hata usipoenda DW, ila kuaminika ndio itakua changamoto kulingana na maelezo 🐒
 
Hivi haya mambo huwa mko serious au ni fungus zimeota kwenye ubongo? Nani kasema mtu huyo ni kipenzi cha Watanzania?
Sema kipenzi chako wewe na Mboga mboga.
mbona umepanic kuona ukweli ukiwekwa hadharini gentleman?

ni wazi Dr. Samia Suluhu Hassan ni kiongozi muandamizi nchini, kipenzi cha waTanzania, anaaminika na kukukubalika kila kona na pembe ya Tanzania. Hukuona huko Ruvuma ilikuaje hasa pale uwanja wa maji maji songea?

Infact,
Ni waTanzania wazalendo wote nchini ndiyo wanasema Dr Samia Suluhu Hassan ni kipenzi cha waTanzania wote 🐒
 
Uongozi ni mgumu sanaaa.
Ukiwa nje ya uongozi huona suluhu na njia nyepesi za kuongoza ila ukiwa kwenye utekelezaji sasaaaa ni jasho kila asubuhi.

Mungu ibariki Tanzania
 
Ndio Huyu lisema wasimpangie cha kufanya nchini mwake je misaada atapata wapi kweli huyu mama kajichanganya sana
yaani nyie hamjui siasa haohao wengine wanaisifia tanzania kwa mambo mazuri kwahiyo msidhani wameshinda wapinzani kuibomoa tanzani abado iko imara sana na wazungu wenyewe wanaikubali sema tu malopolopo kama lissu wakienda kupaka matope huko ili waonekane wanasikilizwa basi wanawapa matumaini hayo lakini wazungu wapo sana na tz na ccm
 
lissu hajitambui
 
Tukae kwa utulivu wasihamasishane wakaanza kutunyoosha kama fito za muanzi. Zimbabwe sasa hivi wanalipa fidia kwa waliowanyang'anya mashamba. Aliyetangulia katangulia tu.
 
Samia will always be Samia.

Tanzania haiwezi kukosa misaada kwa sababu ya kuzuia maandamano ya Chadema.

Kuna nchi jirani haina upinzani kabisa lakini ndio inaongoza kwa misaada Afrika.

Tundulissu ana fanya " Old School Politics" ambazo hazina mashiko tena.

Samia mbele kwa mbele
 
Huyo jamaa hawezi kukuelewa, huyo ni chawa wa kawaida tu
 
wajinga wakubwa nyie hamuoni aibu kuomba misaada na huku nchi imejaa rasilimali kibao, serikali imejaa matumizi makubwa ya anasa na ufisadi wa kutisha, matumizi ya serikali ya Tanzania ni makubwa kuliko ya serikali ya Ufaransa.
 
Huna akili unafata mkumbo tu
 
She is a proxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…