Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Naona Tanzania inazidi kujizolea sifa mbaya kimataifa.
Sasa ni zamu ya DW.
Yasikilize/ yatazame mahojiano ya Tundu Lissu.
Serikali ya Tanzania imesitisha shughuli za mtandaoni za gazeti moja kuu. Hii ni baada ya kutoa matangazo ya kibiashara yaliyomhusisha rais na kurejelea utekaji nyara na mauaji ya wapinzani wa kisiasa. The Citizen, moja ya magazeti yenye ushawishi mkubwa kwa lugha ya Kiingereza, ilisema machapisho yake ya mtandaoni yamesitishwa kwa siku 30 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Moja ya matangazo yaliyotolewa mtandaoni mapema wiki hii na The Citizen lilimuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiangalia habari za wapinzani na waathirika wa ukandamizaji wa serikali.
Wakati huohuo, upinzani unaituhumu serikali kwa kukandamiza uhuru wa kutoa maoni. Mmoja wa viongozi wakuu, Tundu Lissu, anaishtaki serikali. Anasema Rais Samia Suluhu Hassan anarejea kwenye mienendo ya kiimla ya John Magufuli.
================
In Tanzania, the government has suspended the online operations of a leading newspaper. This, after it released advertising clips featuring the president and referencing recent abductions and killings of dissidents. The Citizen, one of the most influential English-language papers, said its online publications had been suspended for 30 days by the Tanzania Communications Regulatory Authority.
One of the clips released online earlier this week by The Citizen showed President Samia Suluhu Hassan watching news clips of dissidents and victims of state repression.
Meanwhile, the opposition is accusing the government of cracking down on criticism. One of the leading figures, Tundu Lissu, is suing the government. He says President Samia Suluhu Hassan is returning to the authoritarian practices of John Magufuli.