Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Nakazia hoja.TAWA wako wapi wakamtoe mnyama wao hapo?
Hivi ukimwua chatu faini ni sh. ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia hoja.TAWA wako wapi wakamtoe mnyama wao hapo?
Yeah. Ni sawa na wale wasemao "Ukinipiga umenionea, ukiniacha umeniogopa".Hawa wanyama wanaozurura kwenye makazi ya watu ukiwagusa tu utaona mbio za mamlaka ya wanyama pori watakavyokuja haraka, ila hao wanyama wakijeruhi watu watakuja kwa kuchelewa. Wanadai mishahara yao inatokana na uwepo wa wanyama hao na wana thamani kubwa kuliko mtu!
Pia chatu wa Afrika siyo wakubwa kivile.Kwa kawaida ni nadra sana Afrika chatu kumeza mtu, kwa sababu binadamu hayupo kwenye menu yake, ila ukijichanganya utamezwa tu...
Mimi nilikuwa narandaranda maeneo hayo wakati huo hadi giza linaingia zaidi ya miaka 17 iliyopita kumbe ningeweza kumezwa na chatu, aiseeee!
Wakidhuru mtu ndipo utasikia waziri husika anajitokeza kutoa tamkoHawa wanyama wanaozurura kwenye makazi ya watu ukiwagusa tu utaona mbio za mamlaka ya wanyama pori watakavyokuja haraka, ila hao wanyama wakijeruhi watu watakuja kwa kuchelewa. Wanadai mishahara yao inatokana na uwepo wa wanyama hao na wana thamani kubwa kuliko mtu!
Ndio uko sawa mkuu. Lakini mbona wanasema Simba akiishiwa hula majani? Chatu ni mwindaji mzuri sana wa wanyama wadogo wadogo kama digidigi, ngedere, Tumbili(Nyani) mbwa, n.k. Sasa Kama mahali hapo hawapatikani hao wanyama chatu atakuwa hana jinsi- inambidi chatu ajiongeze na hukamata watoto/binadamu dhaifu. Mnyama huyu hufanya mawindo yake kwa kuvizia na endapo itamlazimu ataingia kwenye makazi ya watu kusaka chakula. Je ni nani atakuwa wa kwanza kuathirika kama sio binadamu?Pia chatu wa Afrika siyo wakubwa kivile.
African rock python ni wa tatu kwa ukubwa katika aina ya chatu.
Chatu ambao mpaka sasa wamekuwa documented kumeza watu ni wale wanaopatikana kusini mashariki mwa Asia. Na hao wanaitwa reticulated pythons ambao ndo chatu wakubwa kabisa katika jamii ya chatu.
Hataweza Kumla Ila Atamsababishia MadharaPia chatu wa Afrika siyo wakubwa kivile.
African rock python ni wa tatu kwa ukubwa katika aina ya chatu.
Chatu ambao mpaka sasa wamekuwa documented kumeza watu ni wale wanaopatikana kusini mashariki mwa Asia. Na hao wanaitwa reticulated pythons ambao ndo chatu wakubwa kabisa katika jamii ya chatu.
Ndiyo, chatu akipata windo lolote lile anakula tu. Ila kwa hawa chatu wa Afrika, kumla mtu inabidi mtu huyo awe na mwili mdogo.Ndio uko sawa mkuu. Lakini mbona wanasema Simba akiishiwa hula majani? Chatu ni mwindaji mzuri sana wa wanyama wadogo wadogo kama digidigi, ngedere, Tumbili(Nyani) mbwa, n.k. Sasa Kama mahali hapo hawapatikani hao wanyama chatu atakuwa hana jinsi- inambidi chatu ajiongeze na hukamata watoto/binadamu dhaifu. Mnyama huyu hufanya mawindo yake kwa kuvizia na endapo itamlazimu ataingia kwenye makazi ya watu kusaka chakula. Je ni nani atakuwa wa kwanza kuathirika kama sio binadamu?
Oh yes. Chatu hata kama hawezi kukumeza anaweza kukuua kirahisi sana.Hataweza Kumla Ila Atamsababishia Madhara
Jichanganye utaziona akili zake..Huyo chatu akili hana..
Aaah Mkuu, kwani huyo chatu alikuwepo hapo miaka 17 iliyopita? Kipindi hicho Wewe hukujua na pengine ulikuwa mtoto/kijana. Huyo chatu mbona ni wa juzi tuu?Mimi nilikuwa narandaranda maeneo hayo wakati huo hadi giza linaingia zaidi ya miaka 17 iliyopita kumbe ningeweza kumezwa na chatu, aiseeee!
Exactly yes. Akishajiviringisha, kitendo ambacho ni cha haraka sana, yan chap' na kama atashindwa kukumeza kutokana na ukubwa wa mwili wako, lakini si atakuwa amekwisha kukuua? Mbwa ndo anakuwaga mwathirika mkubwa kwani mbwa hujipeleka mwenyewe kwa chatu kutokana na ile tabia yake ya kutaka kushambulia/kung'ata.Ndiyo, chatu akipata windo lolote lile anakula tu. Ila kwa hawa chatu wa Afrika, kumla mtu inabidi mtu huyo awe na mwili mdogo.
Hata wale reticulated pythons wa kule Indonesia ambao wamekuwa documented kumeza watu, ni wakubwa sana. Wanaanza futi 19 mpaka 23 hivi.
YouTube kuna video nyingi tu zinazoonyesha chatu [Burmese pythons] wakijaribu kumeza mawindo ambayo ni makubwa na mwisho wake wanaishia kuacha na kukimbia.
Ila chatu hata kama si mkubwa sana, bado anauwezo wa kukuua ukiingia kwenye 18 zake.
Akishajivingirisha kama huna wa kukusaidia, hapo ni kifo tu.
Shingo yake inaishia wapi Mkuu ?UKIKUTANA NA CHATU PIGA SHINGONI TU
Ndiyo. Walisema "Mzaha-mzaha usaha hutumbuka". Kwa bahati mbaya sana huyo jamaa hatakuwepo tena kuweza kutuletea mrejesho hapa. Atakuwa RIP.Jichanganye utaziona akili zake..
Nakazia hoja; na unatumia kifaa gani ilhali umejitokea zako kwa Mangi pale uck na uko "full tank" kwa mfano.Shingo yake inaishia wapi Mkuu ?
Nachukulia kama chatu anapatikana hapo mjini leo pengine miaka 17 iliyopita walikuwepo wengi zaidi manake hata hiyo Mlimani City ilikuwa pori tupu wakati nafanya jogging zangu usiku usiku.Aaah Mkuu, kwani huyo chatu alikuwepo hapo miaka 17 iliyopita? Kipindi hicho Wewe hukujua na pengine ulikuwa mtoto/kijana. Huyo chatu mbona ni wa juzi tuu?
Exactly yes. Akishajiviringisha, kitendo ambacho ni cha haraka sana, yan chap' na kama atashindwa kukumeza kutokana na ukubwa wa mwili wako, lakini si atakuwa amekwisha kukuua? Mbwa ndo anakuwaga mwathirika mkubwa kwani mbwa hujipeleka mwenyewe kwa chatu kutokana na ile tabia yake ya kutaka kushambulia/kung'ata.
Wewe acha lawama za kipumbavu,,Mnaosema huyo chatu hana madhara mjitafakari. Mnyama wa mwituni akishaingia kwenye makazi ya binadamu anakuwa hatari mno kwasababu na yeye anajihami. Miaka ya karibuni huko Karatu watu wameliwa sana na fisi wanaosemakana walitoka hifadhini Ngorongoro na kuingia Karatu. Watoto wadogo wanakuwa hatarini zaidi. TAWA ni idara ya kipumbavu sana kuwahi kuwepo nchini. Karatu watu zaidi ya 20 walipoteza maisha ila bado hakukuwa na hatua zozote zilizochukuliwa hadi mbunge wa viti maalum CHADEMA Mh Cecilia Paresso alivyopeleka hoja bungeni. Pia UDSM nawaona ni wapumbavu. Wameshindwaje kuchukua hatua kwa kushirikiana na TAWA bila hata kutoa tangazo kwa wananchi?
Kwa watoto kuliwa na fisi wilayani Karatu, nailaumu idara ya wanyamapori
Ninaandika hili kwa uchungu mwingi sana. Kumekuwa na matukio mengi hapa nchini ya watu kujeruhiwa au kuliwa kabisa na fisi. Na mara nyingi wahanga huwa ni watoto hasa wale wenye umri mdogo. Hili jambo linalotia uchungu mwingi mno. Mkoani Shinyanga ndo kumekuwa na matukio mengi ya fisi kuleta...www.jamiiforums.com
Sasa kwanini umuue, kwanza chatu ni too friendly kama hajawa confroted, ndo maana wasukuma wanawafugaNakazia hoja.
Hivi ukimwua chatu faini ni sh. ngapi?