Uongozi wa Yanga kwanini mnapenda sana kucheza mechi zenu za kimataifa usiku?

Uliambiwa na nani club ndio inapanga mda? by the way kama huna uwezo hata mechi ichezwe kwenye sufuria la maji moto utapigwa tu
 
Yanga hawapendi kucheza usiku, wanaopenda kucheza usiku ni hao waarabu.
Badilisha kichwa cha habari
 
Nani anapanga ratiba? Nani anapanga muda wa kucheza?? Nani anapanga wapi mechi ichezwe? Nani anapanga nani aanzie ugeneini au nyumbani??

BTW, unakumbuka maelezo ya Rais wa TFF wakati anamkana kocha wa taifa stars??
 
Nani anapanga ratiba? Nani anapanga muda wa kucheza?? Nani anapanga wapi mechi ichezwe? Nani anapanga nani aanzie ugeneini au nyumbani??

BTW, unakumbuka maelezo ya Rais wa TFF wakati anamkana kocha wa taifa stars??
Soma kipengele namba 10
 

Attachments

  • Screenshot_2024-02-10-15-18-26-736_com.adobe.reader.jpg
    336.7 KB · Views: 6
Host association ni TFF. Hapo Maanake wenyeji ndio wenye jukumu la kupanga muda.
Wanaposema host association hawamaanishi club, wanamaanisha chama cha mpira wa miguu nchi husika. Basi, Yanga hawahusiki, ni TFF.
 
Wanaposema host association hawamaanishi club, wanamaanisha chama cha mpira wa miguu nchi husika. Basi, Yanga hawahusiki, ni TFF.
Kwanza hilo wengi wenu mlikuwa hamjui, mlikuwa mnajua CAF ndio wanapanga mcheze saa ngapi ndio muelewe majukumu hayo wamepewa wenyeji na ndio maana utaona Simba au Yanga au timu yeyote kila wakienda uarabuni huwezi kukuta wanacheza mchana mechi bali ni mwendo wa usiku tu. Hilo linapangwa na timu mwenyeji kwa kushirikiana na shirikisho lao la soka.
 
we unaichukuliaje yanga!!!
hatutumii hizo tumbinu mbinu zilizopendwa...kipigwe kipigwe tu,anayejua ndo atashinda yanga 2-1 mwarabu
 
Jana nimeona Ally Kamwe akitoa ufafanuzi kuhusu swala la muda, anasema CAF ndio wanapanga muda jambo ambalo sio kweli. Muda katika mashindano ya CAF huwa unapangwa na wenyewe wenyeji kupitia shirikisho lao la soka. Pengine hajui au pengine anafanya utetezi isionekane wamechagua wao huo muda wa saa moja.
 
Duh tabu ipo mechi za CAF wanapanga yanga muda wa kucheza?
 
Duh tabu ipo mechi za CAF wanapanga yanga muda wa kucheza?
Swala la muda lipo chini ya wenyeji wenyewe (TFF). Jaribu kufikiria hao CAF watakuwa na nini hadi takribani mechi zote za Simba zichezwe saa kumi halafu takribani mechi zote za Yanga zichezwe saa moja usiku? Simba ni wazoefu kwenye hii michuano kiasi kwamba anajua kupanga muda kimkakati. Ila Yanga imekuwa tu imejewekea mazoea ya kupenda kucheza mechi usiku.
Soma kipengere namba 10 inaelezea swala la muda wa mechi na kiwanja.
 

Attachments

  • IMG_20240220_085305.jpg
    906.6 KB · Views: 2
Ahsante mkuu
 
CAF ndo wanapanga mda wa mchezo, kuna kipindi Simba waliomba kubadilishiwa mda CAF wakakataa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kweli caf hawapangi muda wa mchezo. Bali timu mwenyeji ndie anapanga muda. Caf kazi yao ni kupitisha tu. Caf hapangi muda
 

Attachments

  • Screenshot_20240220-093737_Firefox.jpg
    73.4 KB · Views: 2
Nimeona mkuu , nimekielewa vyema, ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…