changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Mechi za mwisho za group stage huwa zinachezwa kwa pamoja hivyo wakati Simba inacheza na Galaxy, Wydad anacheza na Asec. Na Tanzania ipo mbele kwa masaa matatu hivyo kama mechi ya Galaxy ingechezwa saa kumi inamaana Wydad na Asec wacheze saa saba mchana.“Mechi dhidi ya Jwaneng Galaxy itachezwa Jumamosi Machi 2, 2024 saa 1:00 usiku. Licha ya mapendekezo yetu kucheza mechi saa 10:00 jioni lakini CAF wameamua iwe saa 1:00 usiku ili michezo yote iwe muda mmoja"
Hivyo mechi inachezea saa moja ambapo kule Morocco ni saa kumi jioni.