Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Kile cheo cha mchongo au????Hersi atumie cheo chake kubadili hili jambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile cheo cha mchongo au????Hersi atumie cheo chake kubadili hili jambo
Muda wa majini😁😁😁😁Nimejaribu kuangalia ratiba ya mechi ya Yanga dhidi ya Belouizdad, nimeshangaa kuona mechi inapigwa saa moja usiku. Hivi kweli mnataka kushinda mechi halafu mnawawekea mazingira rafiki mpinzani wako? Mamelod ni timu kubwa zaidi ya Yanga lakini huwezi kuona wanawachezesha waarabu usiku, bali wanawachezesha kwenye jua kali.
Waangalie hata watani zao Simba, wanaweka mechi zao mchana, sasa timu ya kiarabu unamchezesha mazingira rafiki kwake ili kujipa ugumu zaidi mechi yako.
Waarabu kwao wamezoea kucheza usiku, mechi za mchana kwenye jua huwa hawaziwezi. Kwasasa Dar kuna joto kali sana hivyo kucheza na Belouizdad mchana ingewapa advantage Yanga. Mechi ya Belouizdad dhidi Yanga, Yanga inatakiwa ishinde ndio ijiwekee mazingira mazuri ya kusonga mbele
Yanga wanapendekeza muda ila CAF ndo wanafanya maamuzi ya mwisho ya kupanga mudaNimejaribu kuangalia ratiba ya mechi ya Yanga dhidi ya Belouizdad, nimeshangaa kuona mechi inapigwa saa moja usiku. Hivi kweli mnataka kushinda mechi halafu mnawawekea mazingira rafiki mpinzani wako? Mamelod ni timu kubwa zaidi ya Yanga lakini huwezi kuona wanawachezesha waarabu usiku, bali wanawachezesha kwenye jua kali.
Waangalie hata watani zao Simba, wanaweka mechi zao mchana, sasa timu ya kiarabu unamchezesha mazingira rafiki kwake ili kujipa ugumu zaidi mechi yako.
Waarabu kwao wamezoea kucheza usiku, mechi za mchana kwenye jua huwa hawaziwezi. Kwasasa Dar kuna joto kali sana hivyo kucheza na Belouizdad mchana ingewapa advantage Yanga. Mechi ya Belouizdad dhidi Yanga, Yanga inatakiwa ishinde ndio ijiwekee mazingira mazuri ya kusonga mbele
Wacha uongo.Wenyeji ndio wana haki ya kuamua muda wa mechi kwa sharti kwamba isiwe kabla ya 14 hours na baada ya 22 hours kwa siku husika.Yanga wanapendekeza muda ila CAF ndo wanafanya maamuzi ya mwisho ya kupanga muda
Kupanga muda wa mechi ni jukumu la mwenyeji wa mchezo.Yanga wanapendekeza muda ila CAF ndo wanafanya maamuzi ya mwisho ya kupanga muda
Hii mada ipo nje na upeo wako, ulichouliza hakilingani na mada. Kwani hii mada inahusu ligi ya NBC?Kuna Mda Jitahidi Kuficha Aibu Ndogndogo kama hizi.
Ndio Maaana Mnaitwa MBUMBU!!
Mfano Mi nikuulize swali la kizushi kqma Lako Mbona Simba Hamshindi Goli 5 kwenye Ligi kama Yanga utanijibu Vipi?
Haya ni mawazo yako..!! Otherwise leta reference ya hiki unachokisemaNdio ni uamuzi wa yanga maana TFF wanasikiliza uongozi wa yanga
Haya ni mawazo yako..!! Otherwise leta reference ya hiki unachokisema
Tatizo lako na huyo MKATA KIU mnachanganya kati ya timu mwenyeji na shirikisho la soko mwenyeji..!!! Hayo ni makundi mawili tofauti..!! Hicho mnachokipost kila siku hakuna inapotajwa timu mwenyejiUnajisumbua huyo ni mbishi nilishampa hiyo reference siku nyingi tu ila wale mashabiki wabishi.
We MKATA KIU hicho ulichokiambatanisha kwenye post yako #50,
View attachment 2910041
kuna pahala panatajwa timu mwenyeji?
Si suala la ligi, hicho ulichokipost hakisemi haya..!! Unless otherwise kuna kanuni nyingine, inayotamka haya unayoyasemaUnapenda ligi tu. Nimekwamba TFF anawasikiliza wenye timu mnataka muda gani na mechi ichezwe kiwanja gani maana Caf imempa mamlaka TFF.
Yanga tumeshawai kuamua kwenda kucheza mechi ya caf mwanza na hakuna aliepinga
Mfano mwingine mamelodi alipanga kucheza nusu fainali saa 1 usiku south. Alivyogundua nusu anacheza na mwarabu akabadili ratiba na kuomba mechi ianze saa tisa mchana. Na ikapitishwa akacheza muda huo
Si suala la ligi, hicho ulichokipost hakisemi haya..!! Unless otherwise kuna kanuni nyingine, inayotamka haya unayoyasema
Mkuu shirikisho la soka mwenyeji ni kama mtoa taarifa tu CAF, ila timu mwenyeji ndiye anayeamua. Kuna timu za nje ya Tanzania zinaamua kutumia uwanja wa Mkapa kama uwanja wa nyumbani, Al Mereikh waliamua kupeleka mechi yao Rwanda. Mfano Yanga akiamua mechi yake na CRB ikachezwe kule kule Algeria wala TFF hanawa ubavu wa kuwagomea.Tatizo lako na huyo MKATA KIU mnachanganya kati ya timu mwenyeji na shirikisho la soko mwenyeji..!!! Hayo ni makundi mawili tofauti..!! Hicho mnachokipost kila siku hakuna inapotajwa timu mwenyeji
Dah!!! Una level gani ya shule ndugu???Si suala la ligi, hicho ulichokipost hakisemi haya..!! Unless otherwise kuna kanuni nyingine, inayotamka haya unayoyasema