Uongozi wa Yanga kwanini mnapenda sana kucheza mechi zenu za kimataifa usiku?

mechi za kimataifa wapanga ratiba sio yanga ni caf
 
Sisi Yanga aka Utopolo hakuna wa kutufunga japo tuna miaka 89 bila kuwahi kuvheza quarter final ya cafcl, Na miaka 26 bila kucheza group stage ya cafcl.

Sisi Yanga ni bora Afrika mtandaoni tuna mashabiki milioni mbili, mnyama ana milion 6 lkn sisindiyo klabu ya pili barani Afrka kwa kuwa na mashabi kiwengi.

Nani wa kutufunga sisi, sisi ni wa 3 kwa ubora Afrika kuzidi hata bingwa wa shirikisho cafcc. Sisi ndiyo Yanga bhana.
 
Mfungwa hachagui gereza
 
Mwenyeji anapendekeza machaguo 3 ya muda kisha CAF wanatoa maamuzi katika hayo machaguo matatu ya mwenyeji
Njoo na kifungu cha sheria inayosema hivyo. Sheria zote za CAF champions league hizi hapa. Na ukisoma kwenye kipengele namba 10 limezungumzia hilo swala la muda.
 
Attachments

Kupanga muda wa mechi ni jukumu la mwenyeji wa mchezo.

“Mechi dhidi ya Jwaneng Galaxy itachezwa Jumamosi Machi 2, 2024 saa 1:00 usiku. Licha ya mapendekezo yetu kucheza mechi saa 10:00 jioni lakini CAF wameamua iwe saa 1:00 usiku ili michezo yote iwe muda mmoja"
 
We muongo sana , muda upangwa na CAF ..na terehe 2 march simba inacheza saa 1 usiku..mbn mna umbumbumbu sana nyie wapuuzi
 
“Mechi dhidi ya Jwaneng Galaxy itachezwa Jumamosi Machi 2, 2024 saa 1:00 usiku. Licha ya mapendekezo yetu kucheza mechi saa 10:00 jioni lakini CAF wameamua iwe saa 1:00 usiku ili michezo yote iwe muda mmoja"
Mbumbumbu huwa hawajui lolote wao ni Mbumbumbu tu
 
Mfuasi wa Rage
 
Jamaa nimejaribu kuwaambia kuwa timu wenyeji huwa wanapendekeza machaguo matatu ya muda kisha wanayapeleka CAF kisha CAF ndo wanafanya maamuzi ya mwisho lakini hawakuelewa🤣🤣
Atakuelewa vipi na yeye ni mbumbumbu? Hao ni mbumbumbu to the maximum...
 
Japo umenidhihaki, sitarudisha dhihaka kwako sababu sina desturi hiyo. Naomba nipe ufafanuzi hapa kwenye sheria za CAF champions league View attachment 2917010

“Mechi dhidi ya Jwaneng Galaxy itachezwa Jumamosi Machi 2, 2024 saa 1:00 usiku. Licha ya mapendekezo yetu kucheza mechi saa 10:00 jioni lakini CAF wameamua iwe saa 1:00 usiku ili michezo yote iwe muda mmoja"
 
Hahahaha..unadhihirisha umbumbumbu wako.. soma vzr ...mechi yenu Caf kasema ni saa 1 jioni ....umbumbumbu wako ni wako
Napenda kujibishana kwa hoja sio kishabiki. Hata kama ni Yanga mwenzangu siwezi kupoteza muda wangu kwako. Unaongea kama vile unanijua sana. Kwaheri
 
Napenda kujibishana kwa hoja sio kishabiki. Hata kama ni Yanga mwenzangu siwezi kupoteza muda wangu kwako. Unaongea kama vile unanijua sana. Kwaheri
Baki na umbumbumbu wako ..mie sijadiliani na mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…