Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ni dhahiri kabisa media house imevamiwa na wahuni na inashangaza kuona gazeti likienda kuchapishwa huku likibeba habari za uongo kana kwamba hakuna mhariri.
Ushauri wangu kwa Uongozi wa Yanga ni huu, ili kukomesha tabia hii ya unprofessional journalism Uongozi wa Yanga utowe tamko la Boycott kwa gazeti la Mwanaspoti kwa kukubali kutumika na genge ka wahuni kwa maslahi ya wahuni wachache.
Azimio hili likipitishwa wapenzi, wanachama na mashabiki wa Yanga watasusia kununuwa gazeti hili na kuanguka kwenye soko na kuathili moja kwa moja mapato ya Mwananchi Communication.
Na kwa hili uongozi utawawajibisha wote waliohusika kuhujumu mauzo ya gazeti, hii ndiyo njia pekee ya kuwatia adabu waandishi uchwara na kuwaonesha nguvu ya wananchi ilivyo.
Nimemaliza.
Cc; Pascal Mayalla