Uongozi wa Yanga ukomeshe waandishi uchwara madalali wa Simba ili iwe fundisho kwa wahuni wengine

Uongozi wa Yanga ukomeshe waandishi uchwara madalali wa Simba ili iwe fundisho kwa wahuni wengine

Nashangaa Pascal naye ni muandishi mwandamizi lakini anatetea hizi unprofessional rubbish.
Pascal alikuwa mwandishi kabla ya kuitwa Dodoma. Tangu apigwe mkwara na Ndugai kwamba ataminywa korodani Hana logic tena. Huwezi kumtofautisha na shabiki toka Buselesele.
 
Matola ingia group za WhatsApp za wanayanga ujionee yanayoendelea huko.. Kuna mvurugano mkubwa sana ndani ya Yanga kwasasa.. Hebu tuupe muda wakati
Kwa ukongwe wako haukustahili kuandika hiki,kwahiyo managment ya yanga ipo kwenye magroup ya WhatsApp?
 
Mkuu tofautisha suala la muda...Yasemwayo yapo na kama hayapo basi yanakuja...hapo ndo ule msemo wa muda utaongea unatimia..

Kwakifupi Nabi ilikuwa afukuzwe hapo Utopoloni....Jamaa wakagundua huyu mtu tukimfurusha kipindi hiki kabla hatujacheza Na Club Fricane ya Tunisia basi Nabi kwa hasira ataenda kutoa siri za game Plan Ya Yanga kwa Watunisia wenzake....Ndo jana wakakurupuka kutoa taarifa kukanusha...

Kwa hiyo hatima ya Nabi Ipo kwenye game ya Jumapili.....

ni swala la muda
Wewe ni mkatoliki mwehu sana kuna siri ipi kwenye mpira wa miguu?
 
Magazeti Yana taratibu zake za kufanya kazi....Hilo gazeti liko sahihi na wanayanga wenye akili walipaswa kulishukuru...wamepewa habari kabla haijawa confirmed na matokeo yake uongozi ukabadili maamuzi baada ya kupima upepo...Hilo gazeti ndo limeokoa ajira ya Nabi Kama kweli hawatamfukuza
Kwahiyo wameshindwa kumfukuza nabi kisa magazeti yametoa taarifa kabla?
 
Back
Top Bottom