Uongozi wa Yanga ukomeshe waandishi uchwara madalali wa Simba ili iwe fundisho kwa wahuni wengine

Uongozi wa Yanga ukomeshe waandishi uchwara madalali wa Simba ili iwe fundisho kwa wahuni wengine

Management yenu wenyewe ndio ya kulaumiwa kwakuwa imegawanyika kwenye swala la kocha na tayari kulikuwa na hiyo hoja ya kumtoa Nabi iliyoungwa mkono na wengi.

Wao kwa wao ndio wanevujisha hiyo taarifa. Gazeti bila credible source lisingechapisha ile taarifa.

Ni suala la muda tuu kabla ya hiyo taarifa kuthimbitishwa maana sasa hivi huko ndani kunatokota na wanayanga ndio wanaongoza kulinunua hilo gazeti hivyo boycotting inaweza ikawa jambo gumu kutekelezeka
Ikifika swala la ushabiki akili yako hua inayumba sana pamoja na maarifa uliyo nayo
 
Acha Kiherehere unajua maana ya Unprofessional Journalism au umetaja tu hivi ili ujulikane kuwa nawe ulibahatika Kuukimbia Umande?

Hakuna Gazeti la Michezo linaloaminika nchini Tanzania kama hilo ( hili ) la Mwanaspoti na hata hiyo ( hii ) Habari ni kweli Tena kwa 100% na ni Suala la muda tu.

Na kwakuwa huna Unachokijua japo unapenda kuwa na Kiherehere na Kuwashwawashwa Kwingi ni kwamba walichokifanya Yanga SC ni Kuzuga ila ukweli ni kwamba ikitokea Yanga SC leo akatoka Sare na KMC FC halafu Kesho Simba SC ikamfunga Azam FC tegemea Press Release ya Kocha Nabi Kufukuzwa Yanga SC.

Na ikitokea akapona kwa leo Mtego mwingine aliowekewa Kocha Nabi na wenye Akili Kukuzidi na tunajua hawezi Kuuruka ni wa Mechi zake za Kufuzu Makundi CAFCC ambako ikitokea Yanga SC ikatoka Sare / Suluhu hapa Dar es Salaam na Club Africaine ya nchini Tunisia kisha kwenda Kufungwa nchini Tunisia basi Kocha Nabi atafurumushwa rasmi Yanga SC huko huko.

Ulivyo Mnafiki pamoja na wana Yanga SC wengi hapa Jamiiforums ni kwamba mmesahau wakati Gazeti hili lilipokuwa likiisema vibaya Simba SC katika Taarifa zake na Machapisho huku likiipamba Yanga SC yenu mlikuwa mnashangilia ila leo limewageukieni mnajifanya Kulichukia.

Na GENTAMYCINE namalizia kwa Kukuambia ( kwani najua hujui ) kuwa Mhariri Mkuu, na Msaidizi wake wa Gazeti hili la Mwanaspoti na 85% ya Waandishi ( Reporters ) wake ni Mashabiki wakubwa wa Yanga SC.

Mnafiki na Wanafiki Wakubwa nyie!!!!
uharo mtupu
 
Akili mhemko na akili tepetepe, Yanga inakupa nini katika maisha yako, huu ujinga tuache yaani mtu unafura kisa Yanga, magazeti yasipouza utaongeza shibe, Bora huo msusio ulete matunda ya kuongeza maji bwawa la mtera, Bata wale wengine kulia ulie wewe. Fikiria namna ya kuongeza kipato chako.

Think positive, think money, think self/collective wealth creation.
Ona hii pimbi, hivi ndio viandishi uchwara mnatetea ujinga, na Mwakyembe alikuwa sahihi kuweka education level ili uwe colified kufanyakazi kwenye media, siyo muhuni yeyote aliyekosa ajira basi jalala ligeuzwe kwenye journalism.
 
Kamati imeamua isubirie mechi mbili za shirikisho ndo zitaamua hatma ya nabi ila barua ipo mezani tayari inamsubiria
Na mimi kama ndio Nabi kwa kuwa niashajua jamaa wanataka kunila kichwa basi ninaenda kuwadhalilisha huko kimataifa. Panga mwamnyeto pale nyuma uhakika wa kufa game zote mbili unakua ni 100%.

Wote tunakuwa tumekosa, shubaamit [emoji16]
 
Magazeti Yana taratibu zake za kufanya kazi....Hilo gazeti liko sahihi na wanayanga wenye akili walipaswa kulishukuru...wamepewa habari kabla haijawa confirmed na matokeo yake uongozi ukabadili maamuzi baada ya kupima upepo...Hilo gazeti ndo limeokoa ajira ya Nabi Kama kweli hawatamfukuza
Haiwezekani uongozi uamue kumfukuza kocha Kisha waache ati kwa kuwa habari imeandikwa na gazeti!!..hakuna mantiki,inamaanisha yanga wanataka fukuza kocha Ila isijulikane Kama wamefikuza
 
Ona hii pimbi, hivi ndio viandishi uchwara mnatetea ujinga, na Mwakyembe alikuwa sahihi kuweka education level ili uwe colified kufanyakazi kwenye media, siyo muhuni yeyote aliyekosa ajira basi jalala ligeuzwe kwenye journalism.
Una Hela? Au unapopoma tu
 
Uongo wa media unapingwa kwa ukweli na sio kukanushwa kwa maneno matupu

Magazeti ya Mwananchi family ndio the best hivyo kuhamasisha boycott ni kumpiga teke chura!.

Hili haliwezekani!.
P
Kukanusha Kwa maneno matupu ndo kukoje? Gazeti limeandika NABI BAIBAI na limetaja kocha mpya toka Vipers kama replacement. Mleta mada katoa hoja gazeti lichukuliwe hatua wewe unapinga eti ni kumpiga teke chura. Huko Bunge la Afrika Mashariki ungekwenda Kwa kiwango hiki kweli?
 
Mkuu tofautisha suala la muda...Yasemwayo yapo na kama hayapo basi yanakuja...hapo ndo ule msemo wa muda utaongea unatimia..

Kwakifupi Nabi ilikuwa afukuzwe hapo Utopoloni....Jamaa wakagundua huyu mtu tukimfurusha kipindi hiki kabla hatujacheza Na Club Fricane ya Tunisia basi Nabi kwa hasira ataenda kutoa siri za game Plan Ya Yanga kwa Watunisia wenzake....Ndo jana wakakurupuka kutoa taarifa kukanusha...

Kwa hiyo hatima ya Nabi Ipo kwenye game ya Jumapili.....

ni swala la muda
Haya tuambie Kwa nini tukuamini wewe Mtume wa Mungu usiyesema uongo?
 
Acha Kiherehere unajua maana ya Unprofessional Journalism au umetaja tu hivi ili ujulikane kuwa nawe ulibahatika Kuukimbia Umande?

Hakuna Gazeti la Michezo linaloaminika nchini Tanzania kama hilo ( hili ) la Mwanaspoti na hata hiyo ( hii ) Habari ni kweli Tena kwa 100% na ni Suala la muda tu.

Na kwakuwa huna Unachokijua japo unapenda kuwa na Kiherehere na Kuwashwawashwa Kwingi ni kwamba walichokifanya Yanga SC ni Kuzuga ila ukweli ni kwamba ikitokea Yanga SC leo akatoka Sare na KMC FC halafu Kesho Simba SC ikamfunga Azam FC tegemea Press Release ya Kocha Nabi Kufukuzwa Yanga SC.

Na ikitokea akapona kwa leo Mtego mwingine aliowekewa Kocha Nabi na wenye Akili Kukuzidi na tunajua hawezi Kuuruka ni wa Mechi zake za Kufuzu Makundi CAFCC ambako ikitokea Yanga SC ikatoka Sare / Suluhu hapa Dar es Salaam na Club Africaine ya nchini Tunisia kisha kwenda Kufungwa nchini Tunisia basi Kocha Nabi atafurumushwa rasmi Yanga SC huko huko.

Ulivyo Mnafiki pamoja na wana Yanga SC wengi hapa Jamiiforums ni kwamba mmesahau wakati Gazeti hili lilipokuwa likiisema vibaya Simba SC katika Taarifa zake na Machapisho huku likiipamba Yanga SC yenu mlikuwa mnashangilia ila leo limewageukieni mnajifanya Kulichukia.

Na GENTAMYCINE namalizia kwa Kukuambia ( kwani najua hujui ) kuwa Mhariri Mkuu, na Msaidizi wake wa Gazeti hili la Mwanaspoti na 85% ya Waandishi ( Reporters ) wake ni Mashabiki wakubwa wa Yanga SC.

Mnafiki na Wanafiki Wakubwa nyie!!!!
Naanzisha nyuzi ya kifo chako waambie Mods wasiniban maana ni kweli ipo siku utakufa.

GENTAMYCNE AFARIKI DUNIA, AACHA MADENI YA VIFAA VYA UJENZI WA NYUMBA YAKE YA GHOROFA 3 KOSEMVULE.
 
Kwani yy ndo anacheza mpka muogope hivyo akifurushwa? Si mnasema mna kikosi imara... sasa kama kikosi imara hata Mwambusi si anakifundisha tuu? Mbona kama presha zinawapanda sana enyi utopolo kama vile Nabi ndo amebeba hirizi.
 
Watu mlioanza kufuatilia mpira jana usiku tabu sana

Dunia ya mpira haiko hivyo , dunia ya mpira n dunia inayoongozwa na tetesi , fununu ambazo mara nyingi hua zinatoka kwenye vyanzo husika , juz hapo asubuh tunasikia fununua Aston Villa wanamtaka Unai , mchana fununu nyingine zikaja wamekubaliana na mkataba wamefunga ila aston villa walitangaza usiku habar yao tukiwa tayar tunajua

Makocha wengi au wachezaj wanasajiliwa au kuacha tunakua tushapata taarifa kabla ya tukio , uache umama
Wangeandika "FUNUNU" tusingewashukia. Mimi siko kwenye ushabiki lakini huwa nachukia uzushi hata kama ni tetesi andika tetesi.
 
Na mimi kama ndio Nabi kwa kuwa niashajua jamaa wanataka kunila kichwa basi ninaenda kuwadhalilisha huko kimataifa. Panga mwamnyeto pale nyuma uhakika wa kufa game zote mbili unakua ni 100%.

Wote tunakuwa tumekosa, shubaamit [emoji16]
Basi kua Nabi tukuone
 
Ni dhahiri kabisa media house imevamiwa na wahuni na inashangaza kuona gazeti likienda kuchapishwa huku likibeba habari za uongo kana kwamba hakuna mhariri.

Ushauri wangu kwa Uongozi wa Yanga ni huu, ili kukomesha tabia hii ya unprofessional journalism Uongozi wa Yanga utowe tamko la Boycott kwa gazeti la Mwanaspoti kwa kukubali kutumika na genge ka wahuni kwa maslahi ya wahuni wachache.

Azimio hili likipitishwa wapenzi, wanachama na mashabiki wa Yanga watasusia kununuwa gazeti hili na kuanguka kwenye soko na kuathili moja kwa moja mapato ya Mwananchi Communication.

Na kwa hili uongozi utawawajibisha wote waliohusika kuhujumu mauzo ya gazeti, hii ndiyo njia pekee ya kuwatia adabu waandishi uchwara na kuwaonesha nguvu ya wananchi ilivyo.
Nimemaliza.

Cc; Pascal Mayalla

View attachment 2398003
Haya magazeti ya michezo ya Tanzania ni shida tupu taarifa zao nyingi ni uongo iwe kwa Simba au YANGA mm huwa siamini mpaka nipate taarifa sehemu sahihi

Itungwe sheria ya kudhibiti taarifa za uongo kwenye haya magazeti
 
Back
Top Bottom