Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Huko kupendwa sana, ndiko biashara ya uzushi inakolalia!. Ukizusha kitu kuhusu Yanga, kinalipa!, kama Mondi na Wema, Zali wanavyolipa!. Gezeti asubuhi tuu saa 1:41 limeisha sell out lote. Kesho wanaongeza circulation!. Endeleeni kumpiga mateke chura, yeye anazidi kuchanja mbuga!.Yanga inapendwa kuliko Mwanaspoti.
Habari ya uzushi kuhusu Nabi ni uchochezi ambao wapenzi wa Yanga hatujapendezwa nayo.
In Nabi we trust
P