ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Ikifika swala la ushabiki akili yako hua inayumba sana pamoja na maarifa uliyo nayoManagement yenu wenyewe ndio ya kulaumiwa kwakuwa imegawanyika kwenye swala la kocha na tayari kulikuwa na hiyo hoja ya kumtoa Nabi iliyoungwa mkono na wengi.
Wao kwa wao ndio wanevujisha hiyo taarifa. Gazeti bila credible source lisingechapisha ile taarifa.
Ni suala la muda tuu kabla ya hiyo taarifa kuthimbitishwa maana sasa hivi huko ndani kunatokota na wanayanga ndio wanaongoza kulinunua hilo gazeti hivyo boycotting inaweza ikawa jambo gumu kutekelezeka
Yanga inafanya kazi kwenye ma group ya WhatsApp?Matola ingia group za WhatsApp za wanayanga ujionee yanayoendelea huko.. Kuna mvurugano mkubwa sana ndani ya Yanga kwasasa.. Hebu tuupe muda wakati
uharo mtupuAcha Kiherehere unajua maana ya Unprofessional Journalism au umetaja tu hivi ili ujulikane kuwa nawe ulibahatika Kuukimbia Umande?
Hakuna Gazeti la Michezo linaloaminika nchini Tanzania kama hilo ( hili ) la Mwanaspoti na hata hiyo ( hii ) Habari ni kweli Tena kwa 100% na ni Suala la muda tu.
Na kwakuwa huna Unachokijua japo unapenda kuwa na Kiherehere na Kuwashwawashwa Kwingi ni kwamba walichokifanya Yanga SC ni Kuzuga ila ukweli ni kwamba ikitokea Yanga SC leo akatoka Sare na KMC FC halafu Kesho Simba SC ikamfunga Azam FC tegemea Press Release ya Kocha Nabi Kufukuzwa Yanga SC.
Na ikitokea akapona kwa leo Mtego mwingine aliowekewa Kocha Nabi na wenye Akili Kukuzidi na tunajua hawezi Kuuruka ni wa Mechi zake za Kufuzu Makundi CAFCC ambako ikitokea Yanga SC ikatoka Sare / Suluhu hapa Dar es Salaam na Club Africaine ya nchini Tunisia kisha kwenda Kufungwa nchini Tunisia basi Kocha Nabi atafurumushwa rasmi Yanga SC huko huko.
Ulivyo Mnafiki pamoja na wana Yanga SC wengi hapa Jamiiforums ni kwamba mmesahau wakati Gazeti hili lilipokuwa likiisema vibaya Simba SC katika Taarifa zake na Machapisho huku likiipamba Yanga SC yenu mlikuwa mnashangilia ila leo limewageukieni mnajifanya Kulichukia.
Na GENTAMYCINE namalizia kwa Kukuambia ( kwani najua hujui ) kuwa Mhariri Mkuu, na Msaidizi wake wa Gazeti hili la Mwanaspoti na 85% ya Waandishi ( Reporters ) wake ni Mashabiki wakubwa wa Yanga SC.
Mnafiki na Wanafiki Wakubwa nyie!!!!
Ona hii pimbi, hivi ndio viandishi uchwara mnatetea ujinga, na Mwakyembe alikuwa sahihi kuweka education level ili uwe colified kufanyakazi kwenye media, siyo muhuni yeyote aliyekosa ajira basi jalala ligeuzwe kwenye journalism.Akili mhemko na akili tepetepe, Yanga inakupa nini katika maisha yako, huu ujinga tuache yaani mtu unafura kisa Yanga, magazeti yasipouza utaongeza shibe, Bora huo msusio ulete matunda ya kuongeza maji bwawa la mtera, Bata wale wengine kulia ulie wewe. Fikiria namna ya kuongeza kipato chako.
Think positive, think money, think self/collective wealth creation.
OK sawa[emoji1545]Ikifika swala la ushabiki akili yako hua inayumba sana pamoja na maarifa uliyo nayo
NdiyoYanga inafanya kazi kwenye ma group ya WhatsApp?
Na mimi kama ndio Nabi kwa kuwa niashajua jamaa wanataka kunila kichwa basi ninaenda kuwadhalilisha huko kimataifa. Panga mwamnyeto pale nyuma uhakika wa kufa game zote mbili unakua ni 100%.Kamati imeamua isubirie mechi mbili za shirikisho ndo zitaamua hatma ya nabi ila barua ipo mezani tayari inamsubiria
Haiwezekani uongozi uamue kumfukuza kocha Kisha waache ati kwa kuwa habari imeandikwa na gazeti!!..hakuna mantiki,inamaanisha yanga wanataka fukuza kocha Ila isijulikane Kama wamefikuzaMagazeti Yana taratibu zake za kufanya kazi....Hilo gazeti liko sahihi na wanayanga wenye akili walipaswa kulishukuru...wamepewa habari kabla haijawa confirmed na matokeo yake uongozi ukabadili maamuzi baada ya kupima upepo...Hilo gazeti ndo limeokoa ajira ya Nabi Kama kweli hawatamfukuza
Una Hela? Au unapopoma tuOna hii pimbi, hivi ndio viandishi uchwara mnatetea ujinga, na Mwakyembe alikuwa sahihi kuweka education level ili uwe colified kufanyakazi kwenye media, siyo muhuni yeyote aliyekosa ajira basi jalala ligeuzwe kwenye journalism.
Kocha hafukuzwi au kuletwa na wanachamaAah OK basi sawa ila kumbuka nao ni wanachama hai kwa kila hali
Kukanusha Kwa maneno matupu ndo kukoje? Gazeti limeandika NABI BAIBAI na limetaja kocha mpya toka Vipers kama replacement. Mleta mada katoa hoja gazeti lichukuliwe hatua wewe unapinga eti ni kumpiga teke chura. Huko Bunge la Afrika Mashariki ungekwenda Kwa kiwango hiki kweli?Uongo wa media unapingwa kwa ukweli na sio kukanushwa kwa maneno matupu
Magazeti ya Mwananchi family ndio the best hivyo kuhamasisha boycott ni kumpiga teke chura!.
Hili haliwezekani!.
P
Haya tuambie Kwa nini tukuamini wewe Mtume wa Mungu usiyesema uongo?Mkuu tofautisha suala la muda...Yasemwayo yapo na kama hayapo basi yanakuja...hapo ndo ule msemo wa muda utaongea unatimia..
Kwakifupi Nabi ilikuwa afukuzwe hapo Utopoloni....Jamaa wakagundua huyu mtu tukimfurusha kipindi hiki kabla hatujacheza Na Club Fricane ya Tunisia basi Nabi kwa hasira ataenda kutoa siri za game Plan Ya Yanga kwa Watunisia wenzake....Ndo jana wakakurupuka kutoa taarifa kukanusha...
Kwa hiyo hatima ya Nabi Ipo kwenye game ya Jumapili.....
ni swala la muda
Naanzisha nyuzi ya kifo chako waambie Mods wasiniban maana ni kweli ipo siku utakufa.Acha Kiherehere unajua maana ya Unprofessional Journalism au umetaja tu hivi ili ujulikane kuwa nawe ulibahatika Kuukimbia Umande?
Hakuna Gazeti la Michezo linaloaminika nchini Tanzania kama hilo ( hili ) la Mwanaspoti na hata hiyo ( hii ) Habari ni kweli Tena kwa 100% na ni Suala la muda tu.
Na kwakuwa huna Unachokijua japo unapenda kuwa na Kiherehere na Kuwashwawashwa Kwingi ni kwamba walichokifanya Yanga SC ni Kuzuga ila ukweli ni kwamba ikitokea Yanga SC leo akatoka Sare na KMC FC halafu Kesho Simba SC ikamfunga Azam FC tegemea Press Release ya Kocha Nabi Kufukuzwa Yanga SC.
Na ikitokea akapona kwa leo Mtego mwingine aliowekewa Kocha Nabi na wenye Akili Kukuzidi na tunajua hawezi Kuuruka ni wa Mechi zake za Kufuzu Makundi CAFCC ambako ikitokea Yanga SC ikatoka Sare / Suluhu hapa Dar es Salaam na Club Africaine ya nchini Tunisia kisha kwenda Kufungwa nchini Tunisia basi Kocha Nabi atafurumushwa rasmi Yanga SC huko huko.
Ulivyo Mnafiki pamoja na wana Yanga SC wengi hapa Jamiiforums ni kwamba mmesahau wakati Gazeti hili lilipokuwa likiisema vibaya Simba SC katika Taarifa zake na Machapisho huku likiipamba Yanga SC yenu mlikuwa mnashangilia ila leo limewageukieni mnajifanya Kulichukia.
Na GENTAMYCINE namalizia kwa Kukuambia ( kwani najua hujui ) kuwa Mhariri Mkuu, na Msaidizi wake wa Gazeti hili la Mwanaspoti na 85% ya Waandishi ( Reporters ) wake ni Mashabiki wakubwa wa Yanga SC.
Mnafiki na Wanafiki Wakubwa nyie!!!!
Wangeandika "FUNUNU" tusingewashukia. Mimi siko kwenye ushabiki lakini huwa nachukia uzushi hata kama ni tetesi andika tetesi.Watu mlioanza kufuatilia mpira jana usiku tabu sana
Dunia ya mpira haiko hivyo , dunia ya mpira n dunia inayoongozwa na tetesi , fununu ambazo mara nyingi hua zinatoka kwenye vyanzo husika , juz hapo asubuh tunasikia fununua Aston Villa wanamtaka Unai , mchana fununu nyingine zikaja wamekubaliana na mkataba wamefunga ila aston villa walitangaza usiku habar yao tukiwa tayar tunajua
Makocha wengi au wachezaj wanasajiliwa au kuacha tunakua tushapata taarifa kabla ya tukio , uache umama
Basi kua Nabi tukuoneNa mimi kama ndio Nabi kwa kuwa niashajua jamaa wanataka kunila kichwa basi ninaenda kuwadhalilisha huko kimataifa. Panga mwamnyeto pale nyuma uhakika wa kufa game zote mbili unakua ni 100%.
Wote tunakuwa tumekosa, shubaamit [emoji16]
Haya magazeti ya michezo ya Tanzania ni shida tupu taarifa zao nyingi ni uongo iwe kwa Simba au YANGA mm huwa siamini mpaka nipate taarifa sehemu sahihiNi dhahiri kabisa media house imevamiwa na wahuni na inashangaza kuona gazeti likienda kuchapishwa huku likibeba habari za uongo kana kwamba hakuna mhariri.
Ushauri wangu kwa Uongozi wa Yanga ni huu, ili kukomesha tabia hii ya unprofessional journalism Uongozi wa Yanga utowe tamko la Boycott kwa gazeti la Mwanaspoti kwa kukubali kutumika na genge ka wahuni kwa maslahi ya wahuni wachache.
Azimio hili likipitishwa wapenzi, wanachama na mashabiki wa Yanga watasusia kununuwa gazeti hili na kuanguka kwenye soko na kuathili moja kwa moja mapato ya Mwananchi Communication.
Na kwa hili uongozi utawawajibisha wote waliohusika kuhujumu mauzo ya gazeti, hii ndiyo njia pekee ya kuwatia adabu waandishi uchwara na kuwaonesha nguvu ya wananchi ilivyo.
Nimemaliza.
Cc; Pascal Mayalla
View attachment 2398003
Nashangaa Pascal naye ni muandishi mwandamizi lakini anatetea hizi unprofessional rubbish.Wangeandika "FUNUNU" tusingewashukia. Mimi siko kwenye ushabiki lakini huwa nachukia uzushi hata kama ni tetesi andika tetesi.
Huyo mayala ana njaaNashangaa Pascal naye ni muandishi mwandamizi lakini anatetea hizi unprofessional rubbish.