Vijana wanapenda sana hiyo kazi ya TISS lakini hawaijui vizuri,Kuwa TISS hauishi kwa amani,inabidi 24 hrs uwe Clean,24hrs monitored,ukifanya jambo ambalo linaweza kuhatarisha majukumu yako wanakula KICHWA,Tutakukuta Kwenye Kisima Umekufa au Mtaroni umepigwa risasi au kupigwa Polonium 210 ufe taratibu....Achaneni na mawazo ya kuwa TISS ndio deal,Enzi za nyuma walikuwa wanatumia kivuli cha TISS kula rushwa ila sasa wanapigika tu maana Ngosha na yeye ana watu wake wanaangalia mienendo yao hivyo nao wanaogopa...TISS tunakaa nao mitaani yaani nanga inapaa full kupigika.