Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Kazi ya kukesha mkilinda silaha zetu ndio waona kazi ngumu hiyo, Ugumu wa kz yenu ipo pale tu ikitokea vita. Binafsi naipenda kz yenu mnakula shumbwela mbaka basi.
Hakuna kazi ngumu kama kulinda uhai wa jilani yako,nakutumika kama ngao ya raia wako,,,,yaani its better wewe ufe jilani yako apone mpika chapati siku zote hawezi elewa umuhimu wa kunde
 
TISS wa awamu ya 4 na 5 nitofauti,wengi watoto wa mujini... Ndio mana vijana wanavutiwa na kazi hiii wakiamini maisha ya upigaji na uuzaji sembe...
 
Sawa mkuu ngoja niwasubiria wajuvi
Ile kazi unafanya kwa moyo mmoja,ukikataa inamana hujapendezwa nayo na wao siku zote hawanaga kujila,kwasababu umekataa wanakuacha nazani,sizani kama wataendelea kukuomba uwe mmoja wao maana uko mbeleni usije kuwafanya wakaonekana maluza na kuwapotezea channel zao.
Labda tu kabla hujakataa watakushawishi kwa sababu mbali mbali ili uwe recruited,lakini ukigoma na hapo mh sizani.

Me sijui nimeandika tu ninavyofikiri
 
Kazi ya kukesha mkilinda silaha zetu ndio waona kazi ngumu hiyo, Ugumu wa kz yenu ipo pale tu ikitokea vita. Binafsi naipenda kz yenu mnakula shumbwela mbaka basi.
Pole itakua ulikosa nafasi ya kujiunga na JWTZ au ulimaliza kwa mujibu wa sheria au mkataba uliisha ukarudi nyumbani.Pole ni kawaida ya watu kama nyie kutukana mitandaoni baada ya kukosa nafasi.
 
Okay.
 
Sawa aisee karibu sana kigamboni.Humu naona mengi yameshajibiwa na watu wameridhika tayar ngoja nipumzike kidogo.
Saa kumi na moja mkuu nasubiri usisahau somo ulilotaka kutoa tafadhali.
 
Huwa tunasema: Kuyafanya mambo fulani yabaki kuwa ni mambo yasiyopaswa kuongewa hadharani...
 
Sio kweli kwamba wanasubiri tuvamiwe ndio waingie kazini, JWTZ unaingia kazini pale tu ukishaapa na kupangiwa kikosi.

Lakini uelewe kwamba hata jeshini kuna vitengo vyote ikiwamo intelligence, engineer, polisi,madaktari,nk.
Na kila mmoja yuko kazini siku zote
 
asante mkuu kwa hii elimu, hakika nime jifunza mengi...,

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…