Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Kwa tetesi zisizo rasmi ni kwamba 90% ya wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalma ni watu kutoka TISS undercover hii ni pamoja na wakuu wa vitengo ndani vyombo hivyo ndo maana TISS wanabki kuwa regulator wa kila jambo hata kuamua nani awe president wa nchi
 

Wacha bana aisee inawezekana kumbe khaaa nchi hii ina siri nyingi mmmaaaa!! mpaka umezing'amua we pia inawezekana ni mmoja wao sikuamini mkuu daah
 
Ubaya mwingine ni unaweza kusacrifice maisha yako kwa mission ulio ifanikisha mwenyewe..pia wanamaisha magumu sana sababu inawachukua mda mrefu kuishi maisha ambayo sio halisi
aiseee sasa mbona kama hali yenyewe ndio IPO hivyo mbona vijna wengi wakiskia mtu niusalama wanamuonea wivu na kutamni maisha yake ..wakati hali ya maisha yao nimbya kiasi hcho
 
Jeshi muda wote WaPo kazini mkuu,,iyo ya kusema wanasubiri hadi sijui kuvamiwa labda kwa nchi km uswisi huko, ,, lkn kwa sisi ambao tunapakana na nchi zenye makundi ya waasi, ,muda mwingi Jeshi letu Lipo mchakamchaka
Muulize anayelinda rada ni nani?

Huko mipakani wanaolinda ni akina nani ?

Hata police wapo kazini 24/7


Ila huyo jamaa exaggeration nyingi ,mbwembwe kibao
 
Ubaya mwingine ni unaweza kusacrifice maisha yako kwa mission ulio ifanikisha mwenyewe..pia wanamaisha magumu sana sababu inawachukua mda mrefu kuishi maisha ambayo sio halisi
Mkuu,hawa wa siku hizi hawako hivo. wapo wapo tu. nilikutana na mmojawapo mitaa fulani wakati ule wa vuguvugu la uchaguzi 2015, mdada hivi mwembamba kweli nafikiri hata kilo 50 hana. nikajiuliza, huyu anaweza kuni-arrest kweli? achilia mbali to eliminate the target..! I was puzzled
 
Kama hujui majukumu ya TPDF ni bora ukae kimya kuliko kuwadanganya wasomaji, TPDF ina majukumu mengi sana kuliko unavyofikilia kwenye ubongo wako, katika idadi ya vyombo vya ulinzi na usalama tulivyo navyo TPDF ni chombo cha juuu,
Hujui unachoongea. TISS hana kazi asiyofanya ilmradi inaathiri usalama wa taifa. Kazi za TPDF zinajulikana na ziko limited to kulinda nchi kutokana na vitisho vya nje. Vitasaidia vyombo vya ndani hasa polisi iwapo wameshindwa.

Ni kweli kimuundo TPDF wapo juu ila kiutendaji, TISS wanaongoza jahazi.
 
Umeandika sawa ila kuna kosa kidogo. TISS ina watumishi wake na hakuna mwanajeshi aliyeanzia TPDF. Ukimkuta ujue TISS ilimpeleka na si vinginevyo.

La maana ni hilo TISS ni mlinzi namba moja wa nchi (firstline of defence).
 
Obama wa Bongo

Uonezi huu mkuu. Ila maana ya usalama ni hiyo ulioitaja. Kugongewa mke ni hatari kwa usalama wa familia kwani ni "kitu" chenye thamani kwako.
 
Kwa Tuliofanikiwa Kusoma Kina James Bond- The Gold Finger, Ian Flemming- A spy Who Loved Me, The Icarus Agenda By Robert Ludlum, Godfather By Mario Puzzo, Carl The Jackal,The Scorpion Illusion Etc Naiona TISS Kama Kituko Flani Ivi. In Short They Have A Long Walk To Intelligence Industry. lemme Stop Here.
 
Mkuu Unaonekana Una Elimu Na Intelligence Sio Kwa Hayo Mavitabu. Kama Una Hardcopy Nisaidie Naipenda Hii Kazi Nasikia Hawa Jamaa Wanaangalia Pia Watu Wachunguzi Wa Mambo Kupitia Novels Kama Hizo Hapo. Nimeanza Kusoma Kina James Hadley Chase. Novel Ni Tamu Balaa Ndo Maana Mzungu Begi Lake Nguo Mbili The Rest Books.
 
Comment yako imenisisimua sana mkuu. Kwa jinsi ninavyopenda kuishi maisha ya uhuru siku nikianza kuwa monitored wanaweza nipoteza siku mbili tu maana nitashindwa kuigiza vile wanataka niwe. Hii ni kazi ya watu waliojitoa haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…