Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Kwa tetesi zisizo rasmi ni kwamba 90% ya wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalma ni watu kutoka TISS undercover
Sio Ishu ya Tetesi ndugu, ndivyo ilivyo kwa uhalisia wake; Kila Idara, Mfumo wa utendaji unapoanzishwa basi lazima jamaa wawekwe.
Hii ilianza zamani toka enzi za nyerere, Kila taasisi ilipoanzishwa aliangalia Mfumo mzuri wa kupenyeza watu wa Usalama ili kuhakikisha Taasisi, Idara au Mfumo husika unafanya kazi Bila kuleta wasiwasi kwenye usalama wa Taifa.

Wakati wa kuanzishwa Mfumo wa Vyama vingi, Nyerere aliigomea hii kitu kabisa (Alikuwa hataki mfumo wa vyama vingi), Lakini ishu ilikuwa atawezaje kuhakiksha usalama wa Taifa kwenye Vyama hivyo (ndani katika utendaje wake), Ilimchukua muda tangu azimio la vyama vingi kutakiwa mpaka jamaa aliporuhusu. Ndipo akaweka Utaratibu kuwa Ukitaka upate usajili wa kudumu basi chama cha siasa basi lazima kipate wanachama japo 200 angalau katika mikoa kumi. Sasa hapa ndipo inakuwaga ndio pale Usalama wa nchi Yetu unaingiza watu wake japo 5, na mara nyingi si watu wa kawaida unakuta ni watu walio very smart kwenye uwezo wa kupambanua mambo, wana mtazamo chanya kabisa kabisa juu ya hicho chama, wanajenga hoja vizuri kiasi kwamba ni rahisi kupewa nyadhifa za juu katika chama, ila Core-business yake ni Undercover; (wako kazini kiusalama na si kichama), Achana na Usalama hawa vijana wa siku izi, anatoa kitambulisho, mara bastola; Usalama makini nawaambia huwezi kumtilia shaka ndugu yangu, Angali comment yangu nyingine hapo juu, kuna mtu nimefanya nae kazi serikali ya awamu ya 3 yotee, same Dept, Tukaenda kusoma ughaibuni tukarudi awamu ya Jk miaka 3+ tuko nae ofisini ila nikamuona amevaa Gwanda anapewa Mkono na Mheshimiwa Rais wa Awamu hii ya 5, Nilistaajabu sana; hawa jamaa mtu anafanya kazi yake kwa ueledi huku akifanya jitihada zote asiweke wasiwasi juu ya walio karibu nae; Katika Idara zote na Taasisi za Serikali Lazima kuwepo watu wa system (ni lazima) BOT, Taasisi za Elimu, Mashirika ya Umma yote, Mamlaka zotee( EWURA,TRA,TRL,TFDA,TPA,MSD,SUMMATRA yaani mamlaka zote) Tena Hao TISS wanakuaga wanapanda taratibu vyeo kutokana na Usmart wao (Refer Mkuu wa Idara ya Usalama wa sasa MK)
Most of high political Leaders hasa wale walionza toka Mfumo wa Vyama vingi umeingia nchini, Believe me ni Under cover, Wako kiusalama zaidi kuliko kichama.

NB: Usalama wa Taifa uko katika nyanja nyingi sana, Kiuchumi, Kijamii etc ndio maana watu wanawekwa kwenye hizo Idara, vyama vya siasa, mashirika ya kijamii na Mamlaka zote; Infact Usalama wa Nchi ndio unahakikisha unapata Raisi ambaye hana viashiria vya kuhatarisha Usalama wa Taifa letu (i hope mtanielewa) Huwa wanapropose na kuhakikisha wanatoa Support stahili.
 
Mkuu Unaonekana Una Elimu Na Intelligence Sio Kwa Hayo Mavitabu. Kama Una Hardcopy Nisaidie Naipenda Hii Kazi Nasikia Hawa Jamaa Wanaangalia Pia Watu Wachunguzi Wa Mambo Kupitia Novels Kama Hizo Hapo. Nimeanza Kusoma Kina James Hadley Chase. Novel Ni Tamu Balaa Ndo Maana Mzungu Begi Lake Nguo Mbili The Rest Books.
Uposahihi Mkuu.
Nakumbuka Mwaka 2009 Nikiwa Mzumbe Sekondari Niliwahi Kufuatwa Usiku Wa Saa Tisa Nikiwa Darasani Kwenye Corner Peke Yangu Utulivu Mkubwa Na Sauti Za Milio Ya Wadudu Ikisika Baridi Ilikuwa Kali Nilisahau Kuja Na Sweater Ama Shuka. Mkononi Nilikuwa Nimeshikilia Kitabu Cha " The Da Vinc Code" By Dan Brown Nikiwa Natetema Kutokana Na Baridi Pia Kitabu Kilikuwa Kinatisha Baadhi Ya Sehemu. Wakati Nipo Deep Kwenye Kitabu Kama Mtu Anapokuwa Captivated Kwenye Movie Nikahisi Uwepo Wa Kitu Kwa Upande Wa Dirishani Hii Ni Moja Ya Gift Niliyopewa "Active Instincts" or Intuition" Nikajifanya Sijaona Chochote Ili Kuondoa Attention Ya Kitu Kilichopo Dirishani. Kwa Mara Ya Pili Nikahisi Hali Hii Nikajaribu Kudirect Macho Nione Aisee Nilipigwa Powerful Flash Light Ya Ajabu Mpaka Nikajiona Half- blind Nikatupa Kitabu Nitoke Nje Kumbe Kile Kitu Kilikuja Mbio Mpaka Mlangoni. Alikuwa Mtu Mrefu, Mweusi, Amevaa Spy coat Yenye Hood Na Miwani Nyeusi Aina Ya SPECTACLES. Tulibaki Kama Dakika Mbili Tunaangaliana Bila Kusema Kitu Mwishoni Akaniambia Kuna Kitu Nimepewa Ni Confidential Wakati Huo Akaingiza Mkono Wake Ndani Ya Koti Lake Upande Wa Kifuani Akitoa Bahasha Ya Brown Kabla Hajanipa Aliniambia Ikibainika Nimejaribu Kusema Ama Kuonesha Kilichomo Ndani Nisahau Wazazi Wangu Sikuonesha Kushutushwa Kwani Nimeyaona Sana Haya Mambo Vitabuni. Akanipa Ishara Anaondoka. Nikaiweka Bahasha Kwenye Novel Yangu Nikarudi Bweni La Mkwawa. Nikwaza Moyoni Sitaisoma Mpaka Kesho Tena Nitakwenda Mbali Kabisa Na Eneo La Shule. Ilipofika Ijumaa Jioni Nikaenda Sehemu Inaitwa "Kilima Hewa" Sehemu Ya Nje Ya Mzumbe University. Kwa Bahati Nzuri Nikakuta Hamna Mtu Kabisa Nikashuka Mpaka Chini Ya Mlima, Nikaangalia Kushoto Na Kulia Hakukuwa Na Object Of Attention. Nikaingiza Mkono Mpaka Ndani Ya Bukta Ambako Niliifadhi Kwenye Mfuko Wa Rambo. Taraatibu Nikaanza Kuifungua Ile Bahasha N ilipigwa Butwaa Baada Ya Kuona Maandishi Ya Ajabu Ambayo Yamepangwa Ajabu Kwa Wino Mweus.i Zikakata Kama Dakika Kumi Nikiangalia Jinsi Gani Ningeweza Kupata Maana Ya Ujumbe Nilioupata Kwa Njia Ya Kusisimua. Nikakumbuka Wakati Naisoma Novel Ya Dan Brown " The Da Vinc Code" Kuna Kitu Kinaitwa "Ambigram" Na "Anagram" ( Watu Wa Symbiology Mnaelewa) Techniques Ambazo Zilitumika Miaka Ya Nyuma Kufanya Ujumbe Uwe Wa Siri Na Ikitokea Mtu Asiyehusika Akaupata Asiweze Kuelewa. Hapo Nikafanya Transfer Of Knowledge Kwa Kutumia Ambigram Ambapo Maandishi Huandikwa Kinyume Na Ili Uweze Kuelewa Ni Mpaka Utumie Kioo ( Watu Wa Reflection Of Light Mnaelewa) Ama Uishikile Karatasi Juu Kama Unaangalia Jua Hapa Unaweza Kusoma Clerarly. Nilivyo Maliza Kusoma Yale Maandashi Sikuamini Nilijuta Kwanini Nimekuwa Mtumwa Wa Novel. Inshort Nilipewa Kitu Kinaitwa " Black Bag Job" ( Watu Wa Intelligence Mnaelewa) Kilichoendelea I was Once In A While " Birdwatcher" Kwa Leo Naomba Niishie Hapo. Ila Mkuu Novels Ni Slaa Maalumu Kwa Watu Wa Usalama Kuna Mzee Ni Mstaafu Rafiki Yangu Tumejauana Kutokana Na Novels. Sijui Kwa Vijana Wa Siku Hizi Kama Wana Hobby Na Hii Kitu Kama Zamani.
 
Hahaaa,,, Mlamu kalyandili huyu samaki ana miba sana muda wote unatakiwa kumla kwa tahadhali.

Mimi nilishawahi kupaliwa na pepeta wee yaani ule mchele uliokaangwa ukikupalia kazi kweli nilikwenda Mofu na Chita ndio penyewe pale bila kusahau viwanja sitini,Mwaya hadi Kilosa kwa mpepo kwa kalembwaani hadi Mtimbira kwa Magungo
 
Sijui Kwa Vijana Wa Siku Hizi Kama Wana Hobby Na Hii Kitu Kama Zamani.
Ndugu umenikumbusha mbali sana The Da Vinc Code Nimekuelewa vyema.
Ila believe me huitaji kusoma sana kufahamu vijana wa siku hizi kama wanasoma au La angalia matendo yao, haya-reflect hizo Novel; Wao ni kutishia na kijitangaza kuwa wao ni Usalama na Kutoa vitambulisho vyao hata pasipo hitajika;
Vitabu vimeficha maarifa mengi sana Mario Puzzo mwandishi wa Godfather, Pia Kusoma vitabu kama The Scorpion Illusion huwezi fanya upuuzi huu ambao Vija wetu wanafanya sasa,
 
Ila Mkuu Novels Ni Slaa Maalumu Kwa Watu Wa Usalama Kuna Mzee Ni Mstaafu Rafiki Yangu Tumejauana Kutokana Na Novels. Sijui Kwa Vijana Wa Siku Hizi Kama Wana Hobby Na Hii Kitu Kama Zamani.
Siku hizi ni facebook na series zilizotafsiriwa kwa maneno ya uongo na kweli.
 
Ndugu umenikumbusha mbali sana The Da Vinc Code Nimekuelewa vyema.
Ila believe me huitaji kusoma sana kufahamu vijana wa siku hizi kama wanasoma au La angalia matendo yao, haya-reflect hizo Novel; Wao ni kutishia na kijitangaza kuwa wao ni Usalama na Kutoa vitambulisho vyao hata pasipo hitajika;
Vitabu vimeficha maarifa mengi sana Mario Puzzo mwandishi wa Godfather, Pia Kusoma vitabu kama The Scorpion Illusion huwezi fanya upuuzi huu ambao Vija wetu wanafanya sasa,
Nafurahi Kuona Watu Kama Wewe. Duniani Popote Pale Maarifa Yapo Vitabuni Na Ngozi Nyeupe Wanathamini Sana Hii Kitu Pia Wana Tradition Ya Kutrain Watoto Kuwa Voracious Readers Kama Obama. By The Way Kama We Ni Mdau Wa Dan Brwown Ametoa Kitu Kinaitwa " THE ORIGIN" Kipo Mlimani City 45,000Tsh.
 
Uposahihi Mkuu.
Nakumbuka Mwaka 2009 Nikiwa Mzumbe Sekondari Niliwahi Kufuatwa Usiku Wa Saa Tisa Nikiwa Darasani Kwenye Corner Peke Yangu Utulivu Mkubwa Na Sauti Za Milio Ya Wadudu Ikisika Baridi Ilikuwa Kali Nilisahau Kuja Na Sweater Ama Shuka. Mkononi Nilikuwa Nimeshikilia Kitabu Cha " The Da Vinc Code" By Dan Brown Nikiwa Natetema Kutokana Na Baridi Pia Kitabu Kilikuwa Kinatisha Baadhi Ya Sehemu. Wakati Nipo Deep Kwenye Kitabu Kama Mtu Anapokuwa Captivated Kwenye Movie Nikahisi Uwepo Wa Kitu Kwa Upande Wa Dirishani Hii Ni Moja Ya Gift Niliyopewa "Active Instincts" or Intuition" Nikajifanya Sijaona Chochote Ili Kuondoa Attention Ya Kitu Kilichopo Dirishani. Kwa Mara Ya Pili Nikahisi Hali Hii Nikajaribu Kudirect Macho Nione Aisee Nilipigwa Powerful Flash Light Ya Ajabu Mpaka Nikajiona Half- blind Nikatupa Kitabu Nitoke Nje Kumbe Kile Kitu Kilikuja Mbio Mpaka Mlangoni. Alikuwa Mtu Mrefu, Mweusi, Amevaa Spy coat Yenye Hood Na Miwani Nyeusi Aina Ya SPECTACLES. Tulibaki Kama Dakika Mbili Tunaangaliana Bila Kusema Kitu Mwishoni Akaniambia Kuna Kitu Nimepewa Ni Confidential Wakati Huo Akaingiza Mkono Wake Ndani Ya Koti Lake Upande Wa Kifuani Akitoa Bahasha Ya Brown Kabla Hajanipa Aliniambia Ikibainika Nimejaribu Kusema Ama Kuonesha Kilichomo Ndani Nisahau Wazazi Wangu Sikuonesha Kushutushwa Kwani Nimeyaona Sana Haya Mambo Vitabuni. Akanipa Ishara Anaondoka. Nikaiweka Bahasha Kwenye Novel Yangu Nikarudi Bweni La Mkwawa. Nikwaza Moyoni Sitaisoma Mpaka Kesho Tena Nitakwenda Mbali Kabisa Na Eneo La Shule. Ilipofika Ijumaa Jioni Nikaenda Sehemu Inaitwa "Kilima Hewa" Sehemu Ya Nje Ya Mzumbe University. Kwa Bahati Nzuri Nikakuta Hamna Mtu Kabisa Nikashuka Mpaka Chini Ya Mlima, Nikaangalia Kushoto Na Kulia Hakukuwa Na Object Of Attention. Nikaingiza Mkono Mpaka Ndani Ya Bukta Ambako Niliifadhi Kwenye Mfuko Wa Rambo. Taraatibu Nikaanza Kuifungua Ile Bahasha N ilipigwa Butwaa Baada Ya Kuona Maandishi Ya Ajabu Ambayo Yamepangwa Ajabu Kwa Wino Mweus.i Zikakata Kama Dakika Kumi Nikiangalia Jinsi Gani Ningeweza Kupata Maana Ya Ujumbe Nilioupata Kwa Njia Ya Kusisimua. Nikakumbuka Wakati Naisoma Novel Ya Dan Brown " The Da Vinc Code" Kuna Kitu Kinaitwa "Ambigram" Na "Anagram" ( Watu Wa Symbiology Mnaelewa) Techniques Ambazo Zilitumika Miaka Ya Nyuma Kufanya Ujumbe Uwe Wa Siri Na Ikitokea Mtu Asiyehusika Akaupata Asiweze Kuelewa. Hapo Nikafanya Transfer Of Knowledge Kwa Kutumia Ambigram Ambapo Maandishi Huandikwa Kinyume Na Ili Uweze Kuelewa Ni Mpaka Utumie Kioo ( Watu Wa Reflection Of Light Mnaelewa) Ama Uishikile Karatasi Juu Kama Unaangalia Jua Hapa Unaweza Kusoma Clerarly. Nilivyo Maliza Kusoma Yale Maandashi Sikuamini Nilijuta Kwanini Nimekuwa Mtumwa Wa Novel. Inshort Nilipewa Kitu Kinaitwa " Black Bag Job" ( Watu Wa Intelligence Mnaelewa) Kilichoendelea I was Once In A While " Birdwatcher" Kwa Leo Naomba Niishie Hapo. Ila Mkuu Novels Ni Slaa Maalumu Kwa Watu Wa Usalama Kuna Mzee Ni Mstaafu Rafiki Yangu Tumejauana Kutokana Na Novels. Sijui Kwa Vijana Wa Siku Hizi Kama Wana Hobby Na Hii Kitu Kama Zamani.

Daah pole sana lakini usiteleze kama kambale
 
Siku hizi ni facebook na series zilizotafsiriwa kwa maneno ya uongo na kweli.
Ha Ha Ha. Nacheka Huku Nikiona Huruma Hizi Social Media Wazungu Wamejaribu Kuziweka Kupunguza Uwezo Wa Kufikiri Hasa Kwa Hii Generation Japo There is No Harm Kuitumia Kwa Kiasi Ila Jinsi Itumikavyo Tutaendelea Kuwa Slaves Under techonology. God Have Mercy.
 
Mkuu,hawa wa siku hizi hawako hivo. wapo wapo tu. nilikutana na mmojawapo mitaa fulani wakati ule wa vuguvugu la uchaguzi 2015, mdada hivi mwembamba kweli nafikiri hata kilo 50 hana. nikajiuliza, huyu anaweza kuni-arrest kweli? achilia mbali to eliminate the target..! I was puzzled

Huyo ungemshika titi tu angekimbia kinyama
 
Uposahihi Mkuu.
Nakumbuka Mwaka 2009 Nikiwa Mzumbe Sekondari Niliwahi Kufuatwa Usiku Wa Saa Tisa Nikiwa Darasani Kwenye Corner Peke Yangu Utulivu Mkubwa Na Sauti Za Milio Ya Wadudu Ikisika Baridi Ilikuwa Kali Nilisahau Kuja Na Sweater Ama Shuka. Mkononi Nilikuwa Nimeshikilia Kitabu Cha " The Da Vinc Code" By Dan Brown Nikiwa Natetema Kutokana Na Baridi Pia Kitabu Kilikuwa Kinatisha Baadhi Ya Sehemu. Wakati Nipo Deep Kwenye Kitabu Kama Mtu Anapokuwa Captivated Kwenye Movie Nikahisi Uwepo Wa Kitu Kwa Upande Wa Dirishani Hii Ni Moja Ya Gift Niliyopewa "Active Instincts" or Intuition" Nikajifanya Sijaona Chochote Ili Kuondoa Attention Ya Kitu Kilichopo Dirishani. Kwa Mara Ya Pili Nikahisi Hali Hii Nikajaribu Kudirect Macho Nione Aisee Nilipigwa Powerful Flash Light Ya Ajabu Mpaka Nikajiona Half- blind Nikatupa Kitabu Nitoke Nje Kumbe Kile Kitu Kilikuja Mbio Mpaka Mlangoni. Alikuwa Mtu Mrefu, Mweusi, Amevaa Spy coat Yenye Hood Na Miwani Nyeusi Aina Ya SPECTACLES. Tulibaki Kama Dakika Mbili Tunaangaliana Bila Kusema Kitu Mwishoni Akaniambia Kuna Kitu Nimepewa Ni Confidential Wakati Huo Akaingiza Mkono Wake Ndani Ya Koti Lake Upande Wa Kifuani Akitoa Bahasha Ya Brown Kabla Hajanipa Aliniambia Ikibainika Nimejaribu Kusema Ama Kuonesha Kilichomo Ndani Nisahau Wazazi Wangu Sikuonesha Kushutushwa Kwani Nimeyaona Sana Haya Mambo Vitabuni. Akanipa Ishara Anaondoka. Nikaiweka Bahasha Kwenye Novel Yangu Nikarudi Bweni La Mkwawa. Nikwaza Moyoni Sitaisoma Mpaka Kesho Tena Nitakwenda Mbali Kabisa Na Eneo La Shule. Ilipofika Ijumaa Jioni Nikaenda Sehemu Inaitwa "Kilima Hewa" Sehemu Ya Nje Ya Mzumbe University. Kwa Bahati Nzuri Nikakuta Hamna Mtu Kabisa Nikashuka Mpaka Chini Ya Mlima, Nikaangalia Kushoto Na Kulia Hakukuwa Na Object Of Attention. Nikaingiza Mkono Mpaka Ndani Ya Bukta Ambako Niliifadhi Kwenye Mfuko Wa Rambo. Taraatibu Nikaanza Kuifungua Ile Bahasha N ilipigwa Butwaa Baada Ya Kuona Maandishi Ya Ajabu Ambayo Yamepangwa Ajabu Kwa Wino Mweus.i Zikakata Kama Dakika Kumi Nikiangalia Jinsi Gani Ningeweza Kupata Maana Ya Ujumbe Nilioupata Kwa Njia Ya Kusisimua. Nikakumbuka Wakati Naisoma Novel Ya Dan Brown " The Da Vinc Code" Kuna Kitu Kinaitwa "Ambigram" Na "Anagram" ( Watu Wa Symbiology Mnaelewa) Techniques Ambazo Zilitumika Miaka Ya Nyuma Kufanya Ujumbe Uwe Wa Siri Na Ikitokea Mtu Asiyehusika Akaupata Asiweze Kuelewa. Hapo Nikafanya Transfer Of Knowledge Kwa Kutumia Ambigram Ambapo Maandishi Huandikwa Kinyume Na Ili Uweze Kuelewa Ni Mpaka Utumie Kioo ( Watu Wa Reflection Of Light Mnaelewa) Ama Uishikile Karatasi Juu Kama Unaangalia Jua Hapa Unaweza Kusoma Clerarly. Nilivyo Maliza Kusoma Yale Maandashi Sikuamini Nilijuta Kwanini Nimekuwa Mtumwa Wa Novel. Inshort Nilipewa Kitu Kinaitwa " Black Bag Job" ( Watu Wa Intelligence Mnaelewa) Kilichoendelea I was Once In A While " Birdwatcher" Kwa Leo Naomba Niishie Hapo. Ila Mkuu Novels Ni Slaa Maalumu Kwa Watu Wa Usalama Kuna Mzee Ni Mstaafu Rafiki Yangu Tumejauana Kutokana Na Novels. Sijui Kwa Vijana Wa Siku Hizi Kama Wana Hobby Na Hii Kitu Kama Zamani.
Mkuu Hakika Wewe Ni Madini Nakuja PM Unifunde Hata Ukinitoza Fee Ya 1m Nipo Tayari.
 
Basi jamani waacheni sasa kuwajadili sana watachukia na uzalendo utawatoka
 
Lakini mara nyingine TISS haiwezi kushughulikia maadui wa taifa bila kuwahusisha TPDF @ JWTZ,
Kuna matukio mengi ya kihatari ambayo yanakuwa Para-militaristic sana na TISS hawawezi kuyamaliza wenyewe. Inahitaji ukusanywaji wa taarifa na mikakati ya kijeshi ili kuweza kukamilisha kazi kwa ufanisi wa hali ya juu sana.

Kikubwa zaidi ni kwamba TISS ina mkono mrefu sana kuliko TPDF @ JWTZ,
Kwasababu ni CIVILIAN INTELLIGENCE na inahusika na raia kwa moja kwa moja.
TPDF @ JWTZ Jurisdiction yao iko very limited kwasababu wao ni Purely Military tofauti kabisa na TISS.

Japo sasa,
Majasusi wengi wa TISS ambao ni heavy duty wanatokea JWTZ.
Kwasababu mfano tu, mwanajeshi Special Forces (Marine) anakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi za kijasusi wa kijeshi kama Reconnaissance, Kutegua mabomu, kuchambua na kutafsiri mikakati ya kijeshi ya nchi za adui kuliko jasusi ambaye yuko uraini kila siku . Kikubwa ambacho jasusi wa TISS atamshinda huyu Jasusi aliyetoka jeshi ni "Broad Mind" kwasababu mwisho wa siku kila taarifa za kijasusi ziwe za Kijeshi au Kiraia (Raw Intelligence) ni lazima ichakatwe (Processed) kwa ajili ya matumizi ya Kiutawala(Civilian Administrative Purposes). Wanaochakata ni Analysts ambao ni Think Tanks kutokea TISS kwasababu wanakuwa na mtazamo wa kiraia... ..Hili ndilo linawafanya TISS wawe hatua kumi mbele ya JWTZ @ TPDF kama taasisi.

NB 1: TISS wanafanya kazi bampa tu bampa na JWTZ kwasababu Its the duty of the TISS to make sure the army behaves and remains royal to the government and the state at by and large......!!!! Hivyo contractors wengine wa TISS wanakuwa ni wanajeshi katika asilimia 100% na maisha yao yote ni kwenye Barracks za kule Lugalo au Ngerengere.

Tuseme ukweli,
TISS na JWTZ ni mapacha wasiofanana (Fraternal Twins)
Hakuna anayeweza kufanya kazi bila kumtegemea mwenzake.
TISS IMARA=JWTZ IMARA..........

NB 2: Tusisahau pia kwamba JWTZ nao wana kitengo chao cha Intelijensia.
MILITARY INTELLIGENCE nacho kinafanya kazi na oparesheni kubwa sana za kijeshi.
Kazi yake ni kushughulikia maadui wa taifa covertly/clandestinely ambao ni purely Militaristic of Para-Militaristic in nature........

Cc: zitto junior , Consigliere , ISIS , mngony , mng'ato , Poise , chige, Da'Vinci
safi umenijaza kitu,samahani wadaau kwa kukopi lote.
 
aiseee sasa mbona kama hali yenyewe ndio IPO hivyo mbona vijna wengi wakiskia mtu niusalama wanamuonea wivu na kutamni maisha yake ..wakati hali ya maisha yao nimbya kiasi hcho
tatizo huwa hawagusiki ndicho wanachotamani vijana,ule umwamba na kufanya chochote ila hawazingatii yanayowakabili wanausalama,zikiwemo hatari zinazojadiliwa humu
 
Sio Ishu ya Tetesi ndugu, ndivyo ilivyo kwa uhalisia wake; Kila Idara, Mfumo wa utendaji unapoanzishwa basi lazima jamaa wawekwe.
Hii ilianza zamani toka enzi za nyerere, Kila taasisi ilipoanzishwa aliangalia Mfumo mzuri wa kupenyeza watu wa Usalama ili kuhakikisha Taasisi, Idara au Mfumo husika unafanya kazi Bila kuleta wasiwasi kwenye usalama wa Taifa.

Wakati wa kuanzishwa Mfumo wa Vyama vingi, Nyerere aliigomea hii kitu kabisa (Alikuwa hataki mfumo wa vyama vingi), Lakini ishu ilikuwa atawezaje kuhakiksha usalama wa Taifa kwenye Vyama hivyo (ndani katika utendaje wake), Ilimchukua muda tangu azimio la vyama vingi kutakiwa mpaka jamaa aliporuhusu. Ndipo akaweka Utaratibu kuwa Ukitaka upate usajili wa kudumu basi chama cha siasa basi lazima kipate wanachama japo 200 angalau katika mikoa kumi. Sasa hapa ndipo inakuwaga ndio pale Usalama wa nchi Yetu unaingiza watu wake japo 5, na mara nyingi si watu wa kawaida unakuta ni watu walio very smart kwenye uwezo wa kupambanua mambo, wana mtazamo chanya kabisa kabisa juu ya hicho chama, wanajenga hoja vizuri kiasi kwamba ni rahisi kupewa nyadhifa za juu katika chama, ila Core-business yake ni Undercover; (wako kazini kiusalama na si kichama), Achana na Usalama hawa vijana wa siku izi, anatoa kitambulisho, mara bastola; Usalama makini nawaambia huwezi kumtilia shaka ndugu yangu, Angali comment yangu nyingine hapo juu, kuna mtu nimefanya nae kazi serikali ya awamu ya 3 yotee, same Dept, Tukaenda kusoma ughaibuni tukarudi awamu ya Jk miaka 3+ tuko nae ofisini ila nikamuona amevaa Gwanda anapewa Mkono na Mheshimiwa Rais wa Awamu hii ya 5, Nilistaajabu sana; hawa jamaa mtu anafanya kazi yake kwa ueledi huku akifanya jitihada zote asiweke wasiwasi juu ya walio karibu nae; Katika Idara zote na Taasisi za Serikali Lazima kuwepo watu wa system (ni lazima) BOT, Taasisi za Elimu, Mashirika ya Umma yote, Mamlaka zotee( EWURA,TRA,TRL,TFDA,TPA,MSD,SUMMATRA yaani mamlaka zote) Tena Hao TISS wanakuaga wanapanda taratibu vyeo kutokana na Usmart wao (Refer Mkuu wa Idara ya Usalama wa sasa MK)
Most of high political Leaders hasa wale walionza toka Mfumo wa Vyama vingi umeingia nchini, Believe me ni Under cover, Wako kiusalama zaidi kuliko kichama.

NB: Usalama wa Taifa uko katika nyanja nyingi sana, Kiuchumi, Kijamii etc ndio maana watu wanawekwa kwenye hizo Idara, vyama vya siasa, mashirika ya kijamii na Mamlaka zote; Infact Usalama wa Nchi ndio unahakikisha unapata Raisi ambaye hana viashiria vya kuhatarisha Usalama wa Taifa letu (i hope mtanielewa) Huwa wanapropose na kuhakikisha wanatoa Support stahili.
Ni kweli kbsa watu wanashindwa kuelewa kuwa wapo viongoz wa upinzani wakubwa tu ni waajiriwa wa TISS hata hii hama hama ya wanachama sio jambo la kushabikia sana ukajua mnampokea MTU salma kumbe katumwa na hili litaifanya upinzani nchini kusubiri sana kuchukua nchi coz hakuna mipango inayopangwa ccm wacjue na kuwa proactive kwa kila jambo
 
kuna shida usalamani kwetu for sure...binafsi najua kazi moja kubwa sana ya under covers ni last para za sms za mange kimambi "hide my ID" undercover yoyote akishajulikana basi ni useless he deserve to die....siku mpaka najishangaa yaani kuna siku niko bar napiga story na mshikaji huku tunakula bia story zikahitaji mawasiliano wakati tunabadilishana no ndo ikabidi nimulize jamaa anaitwa nani akaniambia we save.......usalama...nikapata kigugumizi kidogo nikamuuliza unasema??? akarudia tena Somebody usalama..dah na mimi nikasve the same name...baada ya muda ikabidi ni chunguze nikakuta kweli ni usalama...now najua hadi ofisini kwao...watumishi wao wote waliopo hapo ofisini...na jamaa mwaka jana kapanda cheo ndo alitangaza kila mahali na akafanya bonge la part.... binafsi nina kaconection kaujasusi bt idara nyingine low level kabisa ila methods and tactics remain the same ..so nadhani mwaka jana depo jipya liliingia uraiani kuna kadada kembamba kweli kalegevu haswa nako ni TISS yaan ni nanga mpaka basi...kila nyumba anayoishi haipiti mwezi anatambulika so anaamua kuhama...kahama kama nne alivyokuja kwangu na mimi nikamjua hata sikumficha siku moja nikamwambia wewe ni nanga usalama gani sasa wewe? alimind akataka hadi kulia jamani mim nimehama nyumba ngap sijui ilo nisijulikane lakinj naona hata siwezi nikamwambia ndo unanga wenyewe..... pia maboss wao wanawatumia vibaya sana kiasi kwamba inakua ngumu kuhide ID..
 
Back
Top Bottom