Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Mkuu yawezekana yeye anakusanya taarifa wenye nguvu wanakuja kueliminate target
 
Hii Kitu Yote Kiintelejensia Inaitwa " BLOWN" To Know The Identity Of Unofficial Agent. Sasa Hawa Wa Kibongo bongo Nahisi Hawajui Maana Ya Kuwa Un-official Agent Ama Lah Wajafanya Kusudi Tuwaabudu.
 
Japo sijakuelewa nini hasa ilikuwa target yako ktk hili basi nitoe tu kidogo ninavyoifikiria idara hii.
Kwa nchi tulivu kama yetu Usalama wa taifa hawana changamototo yoyote kubwa ktk kazi yao ukilinganisha na Nchi nyingine dunia zenye maadui wengi iwe uadui wa nchi na nchi au vikundi vya kigaidi au uasi. Hawa wetu ukiwafanya sub na wa nchi kama Iraq, Syria, libya, Marekani, Israel, Urus n.k.
 
Hii Kitu Yote Kiintelejensia Inaitwa " BLOWN" To Know The Identity Of Unofficial Agent. Sasa Hawa Wa Kibongo bongo Nahisi Hawajui Maana Ya Kuwa Un-official Agent Ama Lah Wajafanya Kusudi Tuwaabudu.
blown cover .....ndo shida kubwa...
 

Tatizo lako unashindwa kuelewa, kwamba huko JWTZ ndo kuna tiss wengi sana, ambao kazi yao nikutoa taarifa kwa boss wao, kuhusu hali ya usalama wa nchi,siku zote, miaka yote,mapindizi ya nchi au migomo mikubwa ya nchi huanzia huko Jeshini... JWTZ ni sawa na Tiss tu, ingawa kila mtu ana majukumu na kazi zote maalum.....
 
Hii Kitu Yote Kiintelejensia Inaitwa " BLOWN" To Know The Identity Of Unofficial Agent. Sasa Hawa Wa Kibongo bongo Nahisi Hawajui Maana Ya Kuwa Un-official Agent Ama Lah Wajafanya Kusudi Tuwaabudu.
Huwa nasema sana Humu kwenye michango yangu DISCIPLINE is the Fundamental Key to Success, Most of Raia wa TZ achilia mbali Hawa Usalama hawana Discipline(Nidhamu) Nidhamu ni ile hali ya kufanya jambo lolote kama inavyopaswa na si kama unavyopenda.
Sasa hicho kitu Africa ni sawa na hakipo kwa kiwango kikubwa, watu wanafanya mambo kama wanavyopenda. So usalama wa Taifa unahitaji usiri, hata kama hupendi Siri ni lazima uwe na kaliba hiyo, kama huna basi utafanya kwa weledi mdogo, ndio maana ya Un-Offical Agent sasa kama nidhamu hakuna huwezi kufanikisha hilo.
Nidhamu ya Kuongea, nidhamu ya fedha Nidhamu!! Nidhamu!! Nidhamu!!
 
tatizo huwa hawagusiki ndicho wanachotamani vijana,ule umwamba na kufanya chochote ila hawazingatii yanayowakabili wanausalama,zikiwemo hatari zinazojadiliwa humu

Hivi huwa hawakamatwi na kufungwa kama ametenda kosa? humu hamna hatari zinazojadiliwa mkuu utaacha waanze kazi zao ohoo
 
Ubaya mwingine ni unaweza kusacrifice maisha yako kwa mission ulio ifanikisha mwenyewe..pia wanamaisha magumu sana sababu inawachukua mda mrefu kuishi maisha ambayo sio halisi

Not true brother, kumbuka tiss kuna vitengo vingi sana, wanaopata shida ni hawa tiss wanaoranda randa mitaani kukusanya taarifa,anaweza tembea toka posta mpya hadi tegeta kwa miguu,kavaa nguo chafu,kiatu kichafu hadi kimeisha upande,anafika kwenye baa anakaa kama vile katoka shamba, au tiss disaini ya machinga....anatembeza nguo,kumbe yuko kazini........ Tiss wa namna hii wanaweza pewa kazi hiyo for five years, to accomplish the mission,so wewe na mimi tunaweza zani jamaa kachoka kumbe yuko for special task....
 
Hivi huwa hawakamatwi na kufungwa kama ametenda kosa? humu hamna hatari zinazojadiliwa mkuu utaacha waanze kazi zao ohoo
Mbona kiongozi wa Nida aliwekwa mahabusu ?

Kama vigogo wa Tiss wanafungwa sembuse maofisa wadogo ?

Huyo chalii analeta story za vijiweni
 
Hivi huwa hawakamatwi na kufungwa kama ametenda kosa? humu hamna hatari zinazojadiliwa mkuu utaacha waanze kazi zao ohoo

Hua wanakufaga vifo vya ajabu sana, utasikia tu,kauwawa na watu wasiojulikana ni mfanyakazi wa idara nyeti ya serikalini
 
Mbona kiongozi wa Nida aliwekwa mahabusu ?

Kama vigogo wa Tiss wanafungwa sembuse maofisa wadogo ?

Huyo chalii analeta story za vijiweni


Naomba uwe na kumbukumbu,Kigogo wa Nida aliyewekwa mahabusu sio Dr Modestus ni kigogo mwingine baada ya Modestus kutoka pale.... Usalama pia uko sana makanisani hasa catholic, na hata huyu Boss wa Tiss wa sasa ni Askofu wa kanisa flani kama sio mchungani
 
Umeandika vyema ila hapo ulipoaema usalama wa taifa wanahakikisha anapatikana raisi ambaye hatotishia usalama wa taifa,swali ni je viongozi wanaosababisha economic sabatoge hao sio watu tishio kwa taifa? Awamu mbili zilizopita ilikuaje?
 

kweli dunia sio duara maana ndani ya dunia kuna nchi mbona sio duara?
 
swali ni je viongozi wanaosababisha economic sabatoge hao sio watu tishio kwa taifa? Awamu mbili zilizopita ilikuaje?
Swali zuri mkuu, ila Tunarudi kwenye comment zangu huko juu, kuwa NIDHAMU/DISCIPLINE, watu pamoja na hayo mambo na kila kitu kuna watu wanafanya mambo pasipo weledi, Hasa awamu ya nne jamaa walikosea, kwa sababu System ilikuwa Corrupted Tayari ( Kumbuka awamu ya nne muhusika ndiye aliyekusudiwa kuingia) So inawezekana hawakufanya kazi yao vizuri.
Kwa awamu ya Tatu, naweza kusema ile ni Economic sabotage ila siyo ya moja kwa moja, Kwa sababu jamaa alionekana kama kutumia Approach ya ubinafsishaji ili kutoka mahali tulipo (hayo ni mawazo yangu yaweza yasiwe sahihi)
But: Kuna uzi humu unaitwa Utata kifo cha Dr. omari something like that, utaelewa hata kupitia Usalama Bwana Mchonga alijutia maamuzi yake ya kuruhusu Bwana wa awamu ya 3 aingie, maana alianza kufanya vitu ndivyo sivyo.
So kukengeuka kupo as long as hakuna Discipline.
Asante kwa kuliona hilo.
 

Ni Dickson Maimu mkuu
 

'pia maboss wao wanawatumia vibaya sana kiasi kwamba inakua ngumu kuhide ID' Sasa mkuu maboss wao wanawatumiaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…