Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Huwa nashindwa kuwaelewa watu wanaosemaga kuwa TPDF hawana kazi ngumu ni bora mnyamaze tu
 
You did it all mkuu
 


Huyo aliyepanda cheo yupo ofisi ya Makamu wa Rais,alienda hadi kanisani kuomba misa ,kanisa nalificha kwa sasa, na akafanyia sherehe yake napo pia napaficha....
 
tiss wamejazana madogo wakina 'Kipara' wanalewa na tu kufany umalaya
 
Uzi huu nimeupenda una vichwa vinavyojua mambo nitalud badae kuangalia comments
 
Mzushi tu wewe
 
Huwa nashindwa kuwaelewa watu wanaosemaga kuwa TPDF hawana kazi ngumu ni bora mnyamaze tu
Kazi ya kukesha mkilinda silaha zetu ndio waona kazi ngumu hiyo, Ugumu wa kz yenu ipo pale tu ikitokea vita. Binafsi naipenda kz yenu mnakula shumbwela mbaka basi.
 
Ludi kwenye katiba usome vixur majukumi ya TPDF, harafu usiwe unajidanganya kuwa hao wote unaowaona wako na viongozi ni TISS Peke yao, ndo maana nakwambia kama huna huna uhakika na kitu usikilete hapa, kuna watu wanajua lakin wako kimya, ishu hizi ni nyeti sana
 
Ndiyo mkuu ndo nilivo maanisha,ndomana nikasema wanamaisha magumu kwa kuishi maisha ambayo sio halisi,kama unakuta machinga mwenye maisha magumu kumbe ni tiss au unakuta mwalimu wenye maisha mgumu kumbe ni tiss,huo sio uhalisia wao wa maisha..
 

'pia maboss wao wanawatumia vibaya sana kiasi kwamba inakua ngumu kuhide ID' Sasa mkuu maboss wao wanawatumiaje mkuu
Huyo aliyepanda cheo yupo ofisi ya Makamu wa Rais,alienda hadi kanisani kuomba misa ,kanisa nalificha kwa sasa, na akafanyia sherehe yake napo pia napaficha....

Daaah story heavy kweli hii kwa gizani hahahaha afadhali umewasha taa maana ilikua full kugongana
 
Comment yako imenisisimua sana mkuu. Kwa jinsi ninavyopenda kuishi maisha ya uhuru siku nikianza kuwa monitored wanaweza nipoteza siku mbili tu maana nitashindwa kuigiza vile wanataka niwe. Hii ni kazi ya watu waliojitoa haswa.

Yes inabidi uwe Committed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…