Upangaji wa Makao Makuu Dodoma. Nani aliamuru Ikulu izungukwe na Makazi ya Watu?

Du wewe noma sasa ulitaka azungukwe na Mbuga za wanyama??? Hebu tutajie hizo nchi ulizofika na kukuta raisi kazungukwa na kambi za police au jeshi??? Ukiondowa hizi za Africa watawala miungu watu....Usiwaabudu sana hawa viongozi wanaotutesa ushuru mkubwa ukiagiza gari, bara bara mashimo matupu...South africa tu hapo Ikulu yao kuna Garden na watu wanajimwaga kama kawaida na ni Africa hii....
 
Jengo lenyewe la Ikulu usanifu kama wa lkulu ya Magogoni, inasikitisha na hii ni athari ya "Mamlaka ya Rais".

Pia Jengo la Bunge Kuna uhaba mkubwa wa nafasi kabisa wakati Dodoma haina uhaba wa ardhi.
Inashangaza kweli kweli.....hao architectures walioandaa hizo ramani huenda walipitiwa.
 
Tujikite kwenye ripoti ya CAG umbwale koko wewe
 
Kwa akili yako ni salama ikulu kupakana na makazi ya wananchi?

Basi una shida kichwani pako
Kwa hiyo usalama wa Rais upo kwenye makazi yake ya kuushi tu? kama kuna njama yoyote inafanyika dhidi yake ni lazima afuatwe Ikulu?

Matukio mangapi Rais anahudhuria ambayo usalama wake ni mdogo endapo kuna njama dhidi yake?

Chukulia mfano hata kwenye matamasha na sherehe mbalimbali ambazo Rais huwa kama mgeni rasmi alafu jiulize kama ni salama endapo kuna njama ya kumuangamiza..
 
Usalama kwa kiongozi mkuu unapaswa kuwa sawa mahali popote pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…