Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
hii sasa ni masaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wsnaojifanya ni waislamu,wapo kimaslahi ya kisiasa sio kidini,na familia zao wanalipwa kwanza kabla ya kujitolea.Unaongea ukiwa wapi,hawa wanaovaa mabomu na kuua watu wasio na dini kwa jina la Allah we huwasikii?extrimist wapo kila dini
Ila ya nanii siomakafir tafuteni Dini ya kweli kutoka kwa Mungu acheni kua kama wendawazimu
Kuna watu tuna mawazo mabaya mkuu, nguvu ya Mungu inatuepusha kuyafanya.Bado hamjaona faida ya kuwa atheist?
Ni ujinga sana kuona kinachokuzuia wewe ushindwe kuua watu wasio na hatia ni MunguKuna watu tuna mawazo mabaya mkuu, nguvu ya Mungu inatuepusha kuyafanya.
Wafe..Wamefika watu 83
Zaidi ya watu 200 hawajulikani walipo.
Eneo ni Ekari 50000
Hivyo bado polisi wanaendelea fatilia
Waliokamatwa hai wamegoma kula wamesema lazima wafe ili waende mbinguni
Sio ujinga ni hekima juu ya mafundisho yake.Ni ujinga sana kuona kinachokuzuia wewe ushindwe kuua watu wasio na hatia ni Mungu
Ukafir ni mbaya SanaWe ndio mjinga na mbaya.
Imani yako imekulisha sumu mbaya sana ya chuki ndio maana uka ambiwa kwamba imani ni mbaya.
Na wewe mwenyewe ndio mfano dhahiri wa ubaya wa imani.
Una mwita mwenzako "Kafiri" na kuita imani za wengine "Ukafiri" kwa vile hazi endani na imani yako ya dini yako.
Hivyo hapa una sambaza Chuki dhidi ya imani za wengine kutetea imani yako.
Imani ni kitu kibaya sana.
Una Udini wewe ndani mwako na mtu mwenye Udini ni mjinga.Ukafir ni mbaya Sana
Kuna ujinga zaidi ya kujinyima chakula kwa siku tele ufe ili ukamuone yesu? Be serious u foolUna Udini wewe ndani mwako na mtu mwenye Udini ni mjinga.
asiyekua na Dini ni mpagani.Kafir ni mtu asiye na dini.
Una uhakika mimi ni mkristo?Kuna ujinga zaidi ya kujinyima chakula kwa siku tele ufe ili ukamuone yesu? Be serious u fool
Aliyesema wewe mkristo au kutaja ukristo Nani?Una uhakika mimi ni mkristo?
Unashindwa kujenga na kujibu hoja una nipachika dini nisiyo nayo.
Mimi sio mkristo wala muislamu.Dini ni utambulisho wa kufikirika.
Mimi sipo hapa kuwatetea wakristo au waislamu. Mimi sina Dini.
Point yangu ni kwamba kwa nini wewe uite dini za wengine Ukafiri wakati huohuo unataka dini yako iheshimiwe?
Je unadhani ni wewe tu ndio una stahili
Heshima ya dini yako na sio wengine?
Ulipo mtaja Yesu hapa ulikuwa na maana gani? Yesu si ni wa wakristo?Kuna ujinga zaidi ya kujinyima chakula kwa siku tele ufe ili ukamuone yesu? Be serious u fool
Ulipo mtaja Yesu ulikuwa unadhania mimi ni mkristo?Aliyesema wewe mkristo au kutaja ukristo Nani?
Umechanganyikiwa wewe si bure
Umekunywa chimpumu wewe inaelekea unachangia thread ambayo hata hujui inahusu nnUlipo mtaja Yesu ulikuwa unadhania mimi ni mkristo?