Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83
Unaongea ukiwa wapi,hawa wanaovaa mabomu na kuua watu wasio na dini kwa jina la Allah we huwasikii?extrimist wapo kila dini
Wale wsnaojifanya ni waislamu,wapo kimaslahi ya kisiasa sio kidini,na familia zao wanalipwa kwanza kabla ya kujitolea.
 
Waafrica wanajua dini kuliko wazungu walioitengeza.
 
Wamefika watu 83
Zaidi ya watu 200 hawajulikani walipo.

Eneo ni Ekari 50000
Hivyo bado polisi wanaendelea fatilia

Waliokamatwa hai wamegoma kula wamesema lazima wafe ili waende mbinguni
Wafe..

Wapumbavu wakubwa..
 
We ndio mjinga na mbaya.

Imani yako imekulisha sumu mbaya sana ya chuki ndio maana uka ambiwa kwamba imani ni mbaya.

Na wewe mwenyewe ndio mfano dhahiri wa ubaya wa imani.

Una mwita mwenzako "Kafiri" na kuita imani za wengine "Ukafiri" kwa vile hazi endani na imani yako ya dini yako.

Hivyo hapa una sambaza Chuki dhidi ya imani za wengine kutetea imani yako.

Imani ni kitu kibaya sana.
Ukafir ni mbaya Sana
 
Nasikia jamaa anashindwa kutiwa nguvuni kwa hoja kwamba waliokufa ni watu wazima na walifanya kwa utashi wao, kama ndivyo how comes waganga wa kienyeji hua wanakamatwa pale inapogundulika walio enda kupigiwa ramli wamefia kwao?
 
Kuna ujinga zaidi ya kujinyima chakula kwa siku tele ufe ili ukamuone yesu? Be serious u fool
Una uhakika mimi ni mkristo?
Unashindwa kujenga na kujibu hoja una nipachika dini nisiyo nayo.

Mimi sio mkristo wala muislamu.Dini ni utambulisho wa kufikirika.

Mimi sipo hapa kuwatetea wakristo au waislamu. Mimi sina Dini.

Point yangu ni kwamba kwa nini wewe uite dini za wengine Ukafiri wakati huohuo unataka dini yako iheshimiwe?

Je unadhani ni wewe tu ndio una stahili
Heshima ya dini yako na sio wengine?
 
Aliyesema wewe mkristo au kutaja ukristo Nani?
Umechanganyikiwa wewe si bure
 
Kuna ujinga zaidi ya kujinyima chakula kwa siku tele ufe ili ukamuone yesu? Be serious u fool
Ulipo mtaja Yesu hapa ulikuwa na maana gani? Yesu si ni wa wakristo?

Nika kuuliza una uhakika mimi ni mkristo.

Unasema "wapi ulitaja mimi ni mkristo" .Sasa hapo juu hukutaja jina la Yesu kumaanisha na kudhani mimi ni mkristo?

Wewe umechanganyikiwa....
 
Back
Top Bottom