professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Hao pastor wanaongozwa na roho sasaElimu ya Roho huna dogo!
[emoji116][emoji116]
وَيَسْأَلُونَكَ عَنِ الرُّوحِ ۖ قُلِ الرُّوحُ مِنْ أَمْرِ رَبِّي وَمَا أُوتِيتُم مِّنَ الْعِلْمِ إِلَّا قَلِيلًا
[ AN NAH'L - 85 ]
Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.
Ilimu umliyopewa ni ya kata.3 kama umeingiliwa/imeingilia vutu ya maiti, mnyama kama punda, nyau, nguruwe..., mmepumuliana, kuntha, mtotoView attachment 2519392
Dhahir eeh?!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app