UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi

UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi

Ukiona mtu anatetea ushoga elewa kuwa huyo ni walewale.

Chadema wanatetea na kuhamasisha ushoga.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ukiona mtu anatetea ushoga elewa kuwa huyo ni walewale.

Chadema wanatetea na kuhamasisha ushoga.
Weka ushahidi wa hao Chadema kutetea huo ushoga, badala ya kuleta porojo!

Halafu ni lini chama chako cha ccm kiliwahi kutoa tamko hadharani la kuupinga huo ushoga? Weka pia ushahidi hapa jukwaani.
 
Kabla ya hiyo kesi,ulizia updates za kesi ya yule daktari aliyeshtakiwa na mgonjwa,askari waliomuua mganyabiashara kule kusini n.k...,kesi nyingi huja kwa kadi,na ziishiapo haijulikanagi.
 
Matamanio yake
Okay, kiujumla mimi sifungamani na upande wowote. Isipokuwa matendo maovu ya padre/ustadh yasiwape watu uhalali wa kukashfu dini/imani ya wenzao.

Kila binadamu ana utashi/ukichaa wake na jambo lolote atakalofanya kwa ubaya haliwakilishi taasisi anayoitumikia.

Dhambi hiyo ataibeba mwenyewe kwakuwa hakutumwa na taasisi yake kufanya hivyo.
 
Yaani roho mtakatifu ndio anamuongoza alawiti watoto?
Tunavyoambiwa Roho Mtakatifu ndiye anayewaongoza wakristo ,hapa ndio linakuja hilo swali ,jee mpaka kulawiti ?
 
Okay, kiujumla mimi sifungamani na upande wowote. Isipokuwa matendo maovu ya padre/ustadh yasiwape watu uhalali wa kukashfu dini/imani ya wenzao.

Kila binadamu ana utashi/ukichaa wake na jambo lolote atakalofanya kwa ubaya haliwakilishi taasisi anayoitumikia.

Dhambi hiyo ataibeba mwenyewe kwakuwa hakutumwa na taasisi yake kufanya hivyo.
Mimi sijakashifu mtu , ila tunavyoambiwa wakristo huongozwa na Roho Mtakatifu.Sijui Kama mpaka Kwenye hii biashara huwaongoza?
 
Okay, kiujumla mimi sifungamani na upande wowote. Isipokuwa matendo maovu ya padre/ustadh yasiwape watu uhalali wa kukashfu dini/imani ya wenzao.

Kila binadamu ana utashi/ukichaa wake na jambo lolote atakalofanya kwa ubaya haliwakilishi taasisi anayoitumikia.

Dhambi hiyo ataibeba mwenyewe kwakuwa hakutumwa na taasisi yake kufanya hivyo.

Wengine hawa wanasema wameongozwa na Roho Mtakatifu

My Semen is a Sacred Holy Milk - Pastor Makes Members Suck His Manhood in Church
 
kinachohuzunisha ni kwamba watoto wa lio lawitiwa(victims of rape or sexual assault) hawatapata msaada wowote, kama vile canceling, au victims support kutoka kwa ustawi wa jamii.

inasikitisha sana attention yote inaelekea kwa huyu padre (perpetrator).

Hawa watoto ndio watakaoteseka miaka yao yote wasipopata msaada sasa.
 
Stick kwenye mada iliyopo. Chadema inakuwasha sana bibi wewe?
Sana tena, kila anaeutangaza na kuusherehekea ushoga ananiwasha sana.

Nakuuliza, chadema hatangazi waziwazi kuutetea na kuusambaza ushoga Tanzania?

Sona kichwa cha mada, rudia kukiandika hapa halafu uone nipo au sipo kwenye mada. Au wewe ni chadema?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom