Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada kutambua tofauti kati ya mahakama hizo mbiliamesomeshwa mashataka hayo leo Jumatatu, Septemba 26, 2022 kwa nyakati tofauti akianza na Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kisha Mahakama ya Wilaya ya Moshi.
Ili wakamalizane nje ya mahakamaMshtakiwa ameachiwa kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya kuwa na wadhamini wawili wa kuweka bondi ya Sh2 milioni. Kesi hiyo imehairishwa hadi Oktoba 18, 2022 ambapo kesi itakuja kwaajili ya kusomewa maelezo ya awali
==============================
Huyu ndiyo 41?Hafananii. Kabisa ila kwa. Uchunguzi wangu simpo jamaa alikuwa anawala kweli
Mbona anaonekana mpole...Hafananii. Kabisa ila kwa. Uchunguzi wangu simpo jamaa alikuwa anawala kweliView attachment 2368764
Hiyo picha ni ya kitambo sanaHuyu ndiyo 41?
Mbona anaonekana kama 20s!
Ni kweli sura haimfichi anaonekana ni mchafu
Jimbo la Karagwe wapo vizuri sana kwenye hiliMbona anaonekana mpole...
Huyu angeomba huduma Kwa sister hasingenyimwa....
Mtu mpaka kulawiti watoto wa kiume ina maana ni Shoga...
Na kanisani wanajificha mashoga wengi sana.
Nb..Mimi ni mkatoliki pure tena nimesoma seminary...Jimbo la Moshi mnazembea katika malezi ya waseminari na mapadre...
Mnajivunia mapadre wengi ( tunawapongeza Kwa hilo) lakin hamuwapiki vzr waseminari wenu mpaka wawe mapadre... jifunzeni Jimbo la Bukoba ( wanasheria ngumu na wanafatilia kweli kweli ili mtu aruhusiwe kuwa padre) Wana seminary moja ya Rubya lakin ni very displined seminary yenye mapadre wachunguzi wengi..
Moshi kuna seminary nyingi na nyingi za mashirika so kucontrol wanaoingia seminary na kuwa mapadre inakuwa ngumu...
Ila why ni common case kwa mapadri wa kanisa katoliki?Kwani walawiti wote hawajaoa?
What inference are you trying to draw? ILLOGICAL.
Mfiraji ni mfiraji tu haina cha padri wala kuoa sijui nini!
Yes kabisa...kuna majimbo yako serious kwenye kupika mapadre...hutakaa usikie habari kama hizi katika majimbo yenye Sheria kali kama Bukoba, kayanga, bunda NK NK .Jimbo la Karagwe wapo vizuri sana kwenye hili
Yah kayanga ndio karagwe kkkt wanaita karagwe wale jamaa wako strictly sana hata ktk utoaji wao wa sakramentiYes kabisa...kuna majimbo yako serious kwenye kupika mapadre...hutakaa usikie habari kama hizi katika majimbo yenye Sheria kali kama Bukoba, kayanga, bunda NK NK .
Jimbo la Moshi wanalipua mno kwenye kuandaa mapadre.....wanaona bora kuwa na mapadre wengi Kwa majina lakin kimsimgi sio mapadre halisi...
Ni bora muwe na mapadre wachache lakin wale wenye wito..sio kuficha mashoga na watafuta pesa ndani ya upadre....
Kusema ukweli na viongozi wa Jimbo la Moshi wawe serious kwenye hili...
Possibly no option ambayo wanaamini haiko likely kuback fire,mtoto akitishiwatishiwa ni rahisi kukaa kimyaHawa watu waruhusiwe kuoa tu, huwezi kushindana na nature.
Cha kushangaza mbona mashangingi yamejaa tele? Kuna siri kati ya makasisi na vitoto vidogo?
Ana onekana naye ni chakula.Hafananii. Kabisa ila kwa. Uchunguzi wangu simpo jamaa alikuwa anawala kweliView attachment 2368764
Kwani wanaofanya hivyo vitendo ni wale wasio oa pekee? Mimi nadhani hili ni tatizo katika jamii yetu kwa sasa.Kwa nini hawa watu hawaoi sasa , sasa genye wanazitoaje , mwisho Wa Siku ndio wanaanza Fanya huu upuuzi
Kwa hiyo ikatokea katika familia yenu kuna mwenzenu amekamatwa kwa kosa kama hilo, basi jamii inatakiwa kuwachukulia nyinyi wote ni waovu siyo!!
Ukiwaona wanavyosimama kutuhubiria tuache dhambi unaweza kudhani muda mchache uliopita wametoka kunywa chai na Mungu.
Na wanaenda mbele zaidi kutoa hukumu kwa wafu kwa kutowazika kwasababu hawashiriki ibada au wamezaa bila ndoa.
Mungu atuhurumie, kama tungeweza kuona kila jambo linalofanywa sirini sidhani kama tungekuwa na watu wa kutuhubiria.